Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Hapo ndipo unapokosea. Sio lazima kuunga mkono juhudi za Mwenyekiti wa chama unaona dhahiri kuwa anakokipeleka sio. Na mbaya zaidi anapokuonyesha kuwa hahitaji ushauri wako. Njia sahihi ni kujitoa kwenye chama ili kiweze kuendelea kutekeleza fikra sahihi za Mwenyekiti. Kubaki ndani ya chama ingekuwa unafik. Waliobaki ndani ya chama huu ndio wakati muafaka wa kukiunda kwa namna wanavyotaka wao. Kutaka kuwalazimisha waunde juhudi za chama ambacho kimeonyesha dhahiri kuwa hakiwataki utakuwa unafik. Sasa hivi wanaendelea kujipanga kwa chaguzi zijao ambazo bila shaka watashiriki. Nyie endeleeni na mbinu yenu ya kususia. Muda ndio utakaoonyesha nani alikuwa sahihi.Hiyo ndio chungu tamu ya democracy lazima mkubali, siku zote kushinda ni mbinu kwahiyo mbinu ya lisu ilikuwa hiyo nyie mlioshindwa tafuteni mbinu nyingine kwa uchaguzi ujao kwa sasa ungeni juhudi za mwenyekiti aliekuwepo mjenge chama
Hauwezi kumpangia mtu aina ya ushauri ambao anapaswa kuwapa. Tofauti na unavyosema ni upande wenu ndio unashinda ukimlaumu Mbowe ( mara kwa nini alihudhuria tamasha, au kwa nini hajaonekana Mahakamani) wakti sijamsikia Mbowe akilalamika popote. Wengi wa wale waliotofautiana na agenda za Mwenyekiti wa sasa hivi wamejitoa kwenye chama. Wao wanaeleza mpambano dhidi ya kukitoa CCM madarakani na nyie endeleeni na mbinu zenu. Wao wamesema wako wazi kushirikiana na chama kinine chochote ili kutimiza adhma hii. Nyinyi mnataka wa capitulate na kuwaunga mkono. Hiyo haitatokea. Kubalini hilo na waacheni waendelee na shughuli zao.Shusheni pumzi ondoeni lawama unganeni na walioshinda mtembeleeni mwenyekiti toeni ushauri kwa waliokuwepo madarakani (ushauri wa kujenga na sio lawama za mbowe) endelezeni mapambano aliyoyaanzisha mwenyekiti unganeni nae katika kuwauma jino kwa jino ccm mwisho mtafanikiwa kuitoa madarakani
Wana msimamo ndio maana wanakataa kuusujudia uongozi wa chama chao cha zamani kama ambavyo wanavyokataa kusujudia chama tawala. Haijalishi dikteta kavaa nguo gani, anabaki kuwa dikteta tu.Mwisho kuweni na misimamo sio kuwa vigeugeu
Hata humu JF, ndio maana huna mchango wowote wa maana kuhusu nchi yetuCha moto humu jf?
Sipingani na watu pale wanapotofautiana kifikra ndio democracy yenyewe, katika democracy kila mtu anataka kushinda na ikitokea kashindwa anajipanga na uchaguzi ujao ili ashinde hio ni kawaidaHapo ndipo unapokosea. Sio lazima kuunga mkono juhudi za Mwenyekiti wa chama unaona dhahiri kuwa anakokipeleka sio. Na mbaya zaidi anapokuonyesha kuwa hahitaji ushauri wako. Njia sahihi ni kujitoa kwenye chama ili kiweze kuendelea kutekeleza fikra sahihi za Mwenyekiti. Kubaki ndani ya chama ingekuwa unafik. Waliobaki ndani ya chama huu ndio wakati muafaka wa kukiunda kwa namna wanavyotaka wao. Kutaka kuwalazimisha waunde juhudi za chama ambacho kimeonyesha dhahiri kuwa hakiwataki utakuwa unafik. Sasa hivi wanaendelea kujipanga kwa chaguzi zijao ambazo bila shaka watashiriki. Nyie endeleeni na mbinu yenu ya kususia. Muda ndio utakaoonyesha nani alikuwa sahihi.
Hauwezi kumpangia mtu aina ya ushauri ambao anapaswa kuwapa. Tofauti na unavyosema ni upande wenu ndio unashinda ukimlaumu Mbowe ( mara kwa nini alihudhuria tamasha, au kwa nini hajaonekana Mahakamani) wakti sijamsikia Mbowe akilalamika popote. Wengi wa wale waliotofautiana na agenda za Mwenyekiti wa sasa hivi wamejitoa kwenye chama. Wao wanaeleza mpambano dhidi ya kukitoa CCM madarakani na nyie endeleeni na mbinu zenu. Wao wamesema wako wazi kushirikiana na chama kinine chochote ili kutimiza adhma hii. Nyinyi mnataka wa capitulate na kuwaunga mkono. Hiyo haitatokea. Kubalini hilo na waacheni waendelee na shughuli zao.
Wana msimamo ndio maana wanakataa kuusujudia uongozi wa chama chao cha zamani kama ambavyo wanavyokataa kusujudia chama tawala. Haijalishi dikteta kavaa nguo gani, anabaki kuwa dikteta tu.
Amandla...
Ni kweli unacho sema.Sipingani na watu pale wanapotofautiana kifikra ndio democracy yenyewe, katika democracy kila mtu anataka kushinda na ikitokea kashindwa anajipanga na uchaguzi ujao ili ashinde hio ni kawaida
Mbowe hajasusia bali amekaa pembeni ili kutokuwa kivutio kwa wale wanaompinga Mwenyekiti wa sasa ndani ya chama. Kwa kukaa kwake pembeni watu kama Boni Yai, Sugu wameweza kuunga mkono Lissu bila kuonekana kama wanamsaliti Mbowe.Chama cha demokrasia na maendeleo kimeonja gharama ya demokrasia kwa mara ya kwanza lakini tayari kishagawanyika je demokrasia ya nchi ya vyama vingi itaiweza? Mbowe kapigwa propaganda na vijembe kidogo wafuasi wake na yeye mwenyewe mmesusia chama lakini kwa Samia hadi matusi mwamtukana je mkijatukanwa nyie si mtaua pia?
Hauoni yanayo endelea Marekani, Hungary na kwengine? Hizo nchi nazo ni za kiafrika?Ni bora sasa tukubali demokrasia za Afrika sio hizo mnazohubiri kwa maneno na mnataka mfanyiwe nyinyi lakini wenyewe hamuwezi kuzitekeleza mnachoweza ni udikteta uchwara wa kulazimisha kila kitu kiende vile watu wachache wenye nguvu kifedha au kimamlaka wanavyotaka
Hamna haja ya kubadilisha jina la chama kwa sababu watu wanatofautiana. Pamoja na watu kutofautiana na Lissu na kufanyiwa kampeni chafu sidhani kama kuna waliofukuzwa kwenye chama. Walioona kuwa tofauti zao ni kubwa walijitoa kwenye chama na walioona kuwa sio kubwa kiasi hicho walibakia ndani ya chama na ama kuunga mkono juhudi za uongozi uliopo ama wamejikalia kimya.Ni wakati sasa wa kubadili jina la chama endepo ikitokea kikiungana tena team mbowe vs team lissu hili neno demokrasia litoeni hamliwezi kulitekeleza kwa vitendo kwani hamziwezi gharama zake
Unaweza usiwe mwanachama lakini ukawa shabiki. Maandiko yako yanaonyesha unaelemea wapi. Mimi statement kama zako kwangu ni red flag kwa sababu hamna haja ya kutueleza kuwa uko impartial.NB: Mimi sio mwanachama wa chama chochote mkuu naongea kutokana na muonekano wa nje wa cdm kwa sasa
Mtu kama huyu hafai kuwa mwanasiasa maana akishindwa walioshinda hakubaliani nao hiyo sio demokrasia zile zilikuwa kampeni na katika kampeni hakuna masharti ya uchaguzi wa maneno maana kila mgombea analenga kuiteka hadhira ya watakao mchagua yeye sera zake zilikuwa ni ukongwe na hakusema chochote kuhusu mgombea mwenza hio ni uamuzi wake hakulazimishwaNa yeye kujitokeza kumuunga mkono mtu ambae hakubaliani na anavyokiendesha chama
Mimi sielemei sehemu kwa hili la team mbowe vs team lissu liko wazi ni kuwa mwenyekiti wa sasa ni lissu wote mlipaswa kumuunga mkono akiwemo mwenyekiti mstaafu mbowe angefanya hivyo kusingekuwa na makundi refer uchaguzi wa CCM 1995 mkapa vs kikwete utanielewaMaandiko yako yanaonyesha unaelemea wapi. Mimi statement kama zako kwangu
Mpuuzi mkubwa. Wewe ndio mtu wa kwanza hata humu Jf kufifisha mapambano ambayo yanahitajika kwa ajili ya ukomboziHata humu JF, ndio maana huna mchango wowote wa maana kuhusu nchi yetu
Tokea uingie humu miaka mitano iliyopita, ni vimaneno na mipasho tu kama anavyofanya mhalifu Samia huna lolote la maana ulilochangia kimawazo kunusuru nchi yetu..
Serikali haijawahi kuwa juu ya sheria. Huwa inaburuzwa mahakamani mara nyingi sana.Kaka, wewe unaona ni sahihi kwa Serikali kuwa juu ya Sheria?
Inakuwa ngumu kukujibu kwa sababu sielewi sentensi inaanzia na kuishia wapi.Mtu kama huyu hafai kuwa mwanasiasa maana akishindwa walioshinda hakubaliani nao hiyo sio demokrasia zile zilikuwa kampeni na katika kampeni hakuna masharti ya uchaguzi wa maneno maana kila mgombea analenga kuiteka hadhira ya watakao mchagua yeye sera zake zilikuwa ni ukongwe na hakusema chochote kuhusu mgombea mwenza hio ni uamuzi wake hakulazimishwa
Lissu kaona njia rahisi kumtoa mpinzani wake ni kumbagaza either kwa ukweli au uongo na hiyo ndio siasa ila baada ya uchaguzi hayo yote ni kuyaweka chini hata Lissu angeshindwa angetakiwa asiweke mambo ya kampeni moyoni na asonge mbele
Mimi sielemei sehemu kwa hili la team mbowe vs team lissu liko wazi ni kuwa mwenyekiti wa sasa ni lissu wote mlipaswa kumuunga mkono akiwemo mwenyekiti mstaafu mbowe angefanya hivyo kusingekuwa na makundi refer uchaguzi wa CCM 1995 mkapa vs kikwete utanielewa
Ukichangia wewe inatosha kabisa. Ila usijisahaulishe, wewe maandamano yako ni nyuma ya keyboard tu!Hata humu JF, ndio maana huna mchango wowote wa maana kuhusu nchi yetu
Tokea uingie humu miaka mitano iliyopita, ni vimaneno na mipasho tu kama anavyofanya mhalifu Samia huna lolote la maana ulilochangia kimawazo kunusuru nchi yetu..
Hayo unayoweka wewe siyo "mapambano"; labda uyaite mapambo.Mpuuzi mkubwa. Wewe ndio mtu wa kwanza hata humu Jf kufifisha mapambano ambayo yanahitajika kwa ajili ya ukombozi
Kamwambie Samia, anayekutuma kuja humu kutoa vitisho kwamba hilo halitawasaidia chochote. Njia yenu ipo wazi.Ukichangia wewe inatosha kabisa. Ila usijisahaulishe, wewe maandamano yako ni nyuma ya keyboard tu!
Hivi umekengueka? Hujui kuwa hata Oktoba 29 nguvu ya umma ilifanya kazi?Hayo unayoweka wewe siyo "mapambano"; labda uyaite mapambo.
"Ukombozi" hauji kwa kujaza mapambio yasiyokuwa na uzito wowote humu JF. Sasa unaungana na huyo 'narogo' katika kazi yenu mnayoshirikiana, au huoni?
Kama bado hukujifunza lolote kutokana na uliyoelezwa, wewe utakuwa hazitoshi kabisa kichwani mwako.
Hayo unayoweka wewe hayana uhusiano wowote na mapambano ya hao vijana walioweka roho zao kukomboa taifa hili.Hivi umekengueka? Hujui kuwa hata Oktoba 29 nguvu ya umma ilifanya kazi?
Hakuna kitisho chochote hapo, ila wewe mwenyewe wajijua kwamba huwezi kuingia barabarani bali utabaki nyuma ya keyboard kuripoti watoto wa watu wanavyochapika huko roadKamwambie Samia, anayekutuma kuja humu kutoa vitisho kwamba hilo halitawasaidia chochote. Njia yenu ipo wazi.
Maandamano ni lazima. Hatukubali kuburuzwa kama kuku wa shughuli.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu.
Akizungumza leo Aprili 9, 2026, kupitia baraza la kidijitali, John Heche amesisitiza kuwa muda wa kulalamika chini kwa chini umekwisha na sasa ni wakati wa kuchukua hatua madhubuti za kitaifa.
Kiongozi huyo amewataka vijana wanaodai kuunga mkono harakati hizo kuacha kusemea pembeni, badala yake waanzishe kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii na mitaani.
Ameelekeza kuandikwa na kubandikwa kwa vipeperushi kila kona ya mtaa ili kuonyesha mshikamano kwa Lissu ambaye amekaa ndani kwa mwaka mzima kwa tuhuma za uhaini. Jambo hili John Heche ameliita kuwa ni kumvua haki kiongozi huyo aliyekuwa akiwapigania wananchi bila kuwa na hatia yoyote.
John Heche amebainisha kuwa kampeni hiyo inalenga kumpa Lissu nguvu na imani kuwa watu anaowapigania ni sahihi na wako naye. Hata hivyo, ametoa onyo kali kuwa iwapo sauti yao haitasikilizwa kupitia kampeni hiyo, basi CHADEMA wataanzisha maandamano makubwa nchi nzima. Amesisitiza kuwa hawawezi kuendelea kukaa kimya wakati kiongozi wao akiteseka gerezani kwa mwaka mzima, akiamini kuwa ni lazima nchi itikisike ili haki itendeke.
Sasa mbona yanakutia kiherehere sana haya maandamano ya 'keyboard'?Ukichangia wewe inatosha kabisa. Ila usijisahaulishe, wewe maandamano yako ni nyuma ya keyboard tu!
Hao unaowaita watoto wa watu ndio watakaowatoa madarakani wanaokufuga wewe na kukunenepesha kabla hujachinjwa kuwa kitoweo.Hakuna kitisho chochote hapo, ila wewe mwenyewe wajijua kwamba huwezi kuingia barabarani bali utabaki nyuma ya keyboard kuripoti watoto wa watu wanavyochapika huko road
We kweli ni mwoga. Umekszania eti vitisho. Maneno madogo tu haya ya mtandaoni tayr ushagwaya eti vitisho!!Hao unaowaita watoto wa watu ndio watakaowatoa madarakani wanaokufuga wewe na kukunenepesha kabla hujachinjwa kuwa kitoweo.
Kazi uliyotumwa ya kuja humu kutisha watu haizai matunda yoyote, badala yake inaongeza ari ya kuwawajibisha washenzi nyie.