John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

Josephine anaweza kuwa mama yako Paschal? si unamzaa kabisa Josephine?

Ama kama wewe ni mjomba wake basi inaeleweka mjomba ni mama vinginevyo acha porojo
 
Slaa anajutia Sana kuingizwa kingi na jiwe akatoka chadema kwa kuonyeshwa karanga, leo jiwe kawaacha wajane chama kimerudi kwa wenyewe, waunga juhudi, wabunge asante magufuli, covid 19 Wana miaka miwili tu ya kula kodi zetu. Ushauri wa bure wasikope mikopo ya mda mrefu kwani ubunge wao unakoma October 2025.
 
huwezi kuwa msaliti halafu ukasurvive

asema magufuli
 

Ahaaa ahaaa, acha nicheke tu. Eti watakaosoma na kumuelewa ni wachache?!
 
Pangueni hoja zake!

Kwanini hamtaki kujibu hoja zake badala yake mnashambulia maisha yake binfsi
Kama yeye mwenyewe kakanusha kuwa hakueleweka vizuri kwa maana nyingine alinukuliwa vibaya inamaana kuwa hata hoja zake ni mfilisi.
 
Dr Slaa ana akili sana na anajua anacho kifanya. Katika hayo aliyosema kwenye mjadala ujumbe mkuu ulikuwa unapelekwa kwa TL kwamba mpaka leo USA pamoja na maendeleo makubwa ya technologia na demokrasia kifo cha Kennedy ni kitendawili kisicho pata jibu la moja kwa moja. Hivyo hivyo kwa Sweden na Waziri mkuu wake. TL na waina yake mmeambiwa kiutuuzima mtahangaika sana lakini mtaambulia patupu.

Mimi na mwambia TL achukue muda wake kujiuliza kwa nini Mungu alimuacha aishi hadi hii leo ana kusudi gani na yeye? Pili wale ambao kwa kauli zake na viongozi wa CDM walishawishika kupambana na vyombo vya dola na wakaingia kwenye madhila mbalimbali ikiwemo kufa. Je haki yao itapotea hivi hivi mbele ya TL na viongozi wengine wa CDM? Kwamba Mungu atakaa kimya hatachukua hatua ya kuwalipia kutokana na ulaghai wa viongozi wa CDM? Kusema kweli alishanza kufanya hivyo. Mungu amewalipia na ataendelea kuwalipia kwani TL na viongozi wenzake wakijua fika katika agenda zao ipo pia ya ujasiria siasa ndio ile mfano mmoja wapo ni kubadili gia angani.

Lakini kwa kutumia akili za kawaida tu kuna tofauti yeyote kati ya huyo kiongozi wa redibrigedi aliyetoa ushuhuda kwa Dr Slaa kuongoza utekaji na dereva wa TL aliye enda kuegesha gari liwe target ya washambuliaji akamucha TL ndani ya gari wakati yeye kashuka na kujificha chini ya uvungu wa gari na risasi hata moja kati ya more than 30 rounds is kosee njia na kulenga chini kwenye uvungu wa gari?
 
Unprofessional rubbish.
 
Pascal wacha hizo mjomba unajua kabisa kuwa kitumbua kinachozungumzwa hapa ni kile katikati ya mapaja,au hujastua kile kinywaji cheru pendwa cha Yohana Mtembezi hivyo bado hujakaa sawa?
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Asiyejua kwamba mchezo wa kujiteka na kuteka watu ulichezwa sana na upinzani ili kumchafua Magu baada ya kushindwa hoja za kisiasa, hawajui kabisa wapinzani.

Kama kesi ya ugaidi ya Mbowe nayo haijawafungua macho, basi kuna shida kubwa.
 
Makada waliotoka CHADEMA walishathibitisha humu humu JF umafia wa CHADEMA. Angalia sifa na kariba ya viongozi wakuu CHADEMA; Lema, Msigwa, Heche, Sugu, Halima Mdee enzi hizo; Alafu unashangaa nini ukiambiwa maovu wanayofanya?
Sasa utaona BAVICHA wataanzisha kampeni maalumu ya kumchafua Slaa kama wanavyofanya kwa Magufuli. Utaona visredi visivyo na idadi na kwenye makundi ya WhatsApp watakavyokuwa busy kumchafua!
 
Huyu mzee atafika mbinguni amechoka Sana, huwezi leta mzaa kwenye maisha ya watu/ watz ukabaki salama Mungu yupo ,
Swali
Kama Slaa anajua Chadema hupoteza watu wake au Wanachama wake toka mwanzo vipi asubili mgongano ndani ya Chama na kukimbia na kupewa ubalozi?

Asipokua makini Dunia itamuumbua, mfano uyo Slaa anafikilia umri alionao ataweza kuzidisha Mara mbili chini ya uso wa dunia?
Jibu
Anaweza ila mifano ipo wazi ,ni KWa wachache tu,kufa ni lazima na haikwepeki

Slaa namfutia utukufu wake anaodhani anao kupitia Mungu wake anaemwabudu na imekua
 
Laana za viapo zinaanza mtafuna, namanisha siku ya kupata upadirisho vipo viapo vingi tu ,ila wengi hukengeuka Sana badala ya kutimiza viapo hivyo
 

Hakuna wabongo huko wa kula vitambua?
 
Huyu mzee ana matatizo ya akili tumsamehe bure
 
Huyo Padre Slaa limbwata la kihaya "Inshumata" alilowekewa na Josephine Mushumbushi limemletea madhara hadi kwenye ubongo.

Muda siyo mrefu atapigwa strock nabndio utakuwa mwisho wake ili Josephine auze kitumbuwa chake kwa uhuru Sweden.
Shuntama ndo limbwata la kihaya
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kujadili swala la Lisu kupigwa risasi na kukihusisha chama chake.
Ukiona mtu anafanya hivyo basi jua huyo ni MPUMBAVU
Tuseme lisu zilipigwa risasi na wana Chadema wenzake sawa! Wamejificha wapi kwann mpaka leo hawajashitakiwa??
Yaani serikali inavyoichukia na kupambana na chadema kiasi hicho. Rejea issue ya kuitwa kwa PCCB wakina lijua likali mpaka mbowe kuitwa gaidi na wapuuzi wachache kushangili!
Kama serikali ingekuwa inajua kwamba hayo mambo yapo CHADEMA kama asemavyo slaa KINA.MBOWE WANGESHANYONGWA KITAMBO
 
Acha kubadirisha maneno- INSIDE JOB ni character ya CHABEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…