johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnyika anajitambua.......ngoja tumsikie na Mbowe!Kaogopa kudhalilishwa. Maana angeshindwa vibaya mno. Mnyika hawezi jimbo. Ubungo lilimshinda akakimbilia kimbamba. Sasa Chadema Ruzuku inakwenda kupungua ndo ajiandae kurudi CCM.
Alikimbilia Kibamba? Kwani Kibamba haikuwa eneo la Ubungo? Mbona Silinde alienda Momba ilihali ilikua jimbo hilohilo la Tunduma hamkusema kakimbia?Kaogopa kudhalilishwa. Maana angeshindwa vibaya mno. Mnyika hawezi jimbo. Ubungo lilimshinda akakimbilia kimbamba. Sasa Chadema Ruzuku inakwenda kupungua ndo ajiandae kurudi CCM.
Kazaliwa kipindi cha CCM. Na primary school lazima aliimba "Naapa naahidi mbele ya chama,mapinduzi nitakulinda mpaka kufa "Alikuwa CCM huyu jamaa?
Hiyo sayansi ya kipuuzi.Bwashee siasa ni sayansi!
Furahisha roho yako, lakini Dr Slaa nae alifanya hivyo hivyo baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu.Ni jambo jema. Au kauusoma upepo ameona haurusu. Kaamua kuzugia quotation ya Nyerere.
Sawa[emoji110]Furahisha roho yako, lakini Dr Slaa nae alifanya hivyo hivyo baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu.
Furahisha roho yako, lakini Dr Slaa nae alifanya hivyo hivyo baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu.Mnyika kweli yupo smart Sana kichwani.
Kachukua maamuzi sahihi Sana baada ya kusoma nyakati na pepo.
Kiukweli upepo wa kijani umetawala Sana kiasi kwamba Kama ukisafiri kwa upepo tofauti inatakiwa usitishe tu safari yako Maana hutafika final destination.
Nafikiri hata maisha yake yanakaribia ukingoniJiwe kavuruga demokrasia. What goes around comes around mwisho wa Jiwe utakuwa mbaya sana
Kasoma alama za nyakati,angeumbuka sanaNimeupenda sana msimamo wa bwana mdogo John Mnyika wa kufuata mfano wa Mwalimu Nyerere.
Mnyika ametangaza rasmi kuachana na ubunge ili apate fursa ya kukitumikia chama vizuri zaidi katika nafasi yake ya Katibu mkuu wa Chadema.
Mungu mbariki John Mnyika.
Maendeleo hayana vyama!
Mnyika alipewa kadi ya CCM na mzee Malecela wakati akiwa makamu mwenyekiti wa CCM...... Baada ya wiki mbili akakutana na Mbowe akarubunika na kujiunga Chadema.Kazaliwa kipindi cha CCM. Na primary school lazima aliimba "Naapa naahidi mbele ya chama,mapinduzi nitakulinda mpaka kufa "
Mnyika kweli yupo smart Sana kichwani.
Kachukua maamuzi sahihi Sana baada ya kusoma nyakati na pepo.
Kiukweli upepo wa kijani umetawala Sana kiasi kwamba Kama ukisafiri kwa upepo tofauti inatakiwa usitishe tu safari yako Maana hutafika final destination.
Furahisha roho yako, lakini Dr Slaa nae alifanya hivyo hivyo baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu.Kasoma alama za nyakati,angeumbuka sana
10 YatoshaHata maoni yetu kwenye rasimu ya Warioba tulisema mwisho wa ubunge iwe miaka 10. Kama kweli Mnyika kaacha kugombea zaidi ya miaka 10 atakuwa amefanya jambo zuri sana. Tena anapaswa kutoka hadharani aseme kuwa yeye ni muumini wa ubunge mwisho miaka 10. Na hasa ukizingatia siasa na chaguzi za kihayawani chini ya awamu hii ya tano, itakuwa vizuri sana kujiepusha na chaguzi za kishenzi.
Asafi iyoNitafurahi pia kama kwenye ubunge kuwe na ukomo,ukipiga miaka yako 10 inatosha,wachia na wengine.
Kwa hiyo hata Lisu naye alikuwa CCM? Hawa akina Mbowe ni magumashi tu.Kazaliwa kipindi cha CCM. Na primary school lazima aliimba "Naapa naahidi mbele ya chama,mapinduzi nitakulinda mpaka kufa "
Hongera sana Mnyika, kwa nafasi ya ukatibu mkuu unayoishikilia umefanya uamuzi mzuri sana. Ofisi yako ndiyo injini ya chama, kwa hiyo ili utende kazi zako kwa ufanisi mkubwa, inakupasa kuachia nafasi ubunge. Jimbo la Kibamba linakwenda kumkosa kiongozi makini sana.Nimeupenda sana msimamo wa bwana mdogo John Mnyika wa kufuata mfano wa Mwalimu Nyerere.
Mnyika ametangaza rasmi kuachana na ubunge ili apate fursa ya kukitumikia chama vizuri zaidi katika nafasi yake ya Katibu mkuu wa Chadema.
Mungu mbariki John Mnyika.
Maendeleo hayana vyama!