Uchaguzi 2020 John John Mnyika kutogombea ubunge mwaka huu 2020

Na
Kaogopa kudhalilishwa. Maana angeshindwa vibaya mno. Mnyika hawezi jimbo. Ubungo lilimshinda akakimbilia kimbamba. Sasa Chadema Ruzuku inakwenda kupungua ndo ajiandae kurudi CCM.
Mbona alijaribu mara ya kwanza kura hazikutosha? AU mataga huna data
 
Atumie hii miaka 5 kuchukua jiwe na Masters yake maana nasikia mitandaoni kuwa hana jiwe ila ni Genius......
 
Mpelekeni Jihn Mrema hapo
 
Ni uamuzi mzuri.
 
Mbona hili alilisema tangia mwezi december mwaka jana? Inshaalah na mimi nitakuwa mjengoni mwezi Novemba maana hakuna wakunishinda ndani ya CCM. Tutawapiga washangae
Niwakati wa kujiverify Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…