Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 567
Aje Songea uku hatuna wawakilishiFurahisha roho yako, lakini Dr Slaa nae alifanya hivyo hivyo baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu.
Nani kakuambia kaogopa....?Kaogopa kudhalilishwa. Maana angeshindwa vibaya mno. Mnyika hawezi jimbo. Ubungo lilimshinda akakimbilia kimbamba. Sasa Chadema Ruzuku inakwenda kupungua ndo ajiandae kurudi CCM.
CCM wenyewe watanyukana we Ngoja uoneMnyika kweli yupo smart Sana kichwani.
Kachukua maamuzi sahihi Sana baada ya kusoma nyakati na pepo.
Kiukweli upepo wa kijani umetawala Sana kiasi kwamba Kama ukisafiri kwa upepo tofauti inatakiwa usitishe tu safari yako Maana hutafika final destination.
Vipi Silinde kakimbia MombaKasoma alama za nyakati,angeumbuka sana
CCM yenyewe hapo wanataka kutoana rohoTusubiri Mdee atakuja na "janja" gani hapo kawe![emoji16]
Itakuwa,"narudi shule".
goddamn that song!Kazaliwa kipindi cha CCM. Na primary school lazima aliimba "Naapa naahidi mbele ya chama,mapinduzi nitakulinda mpaka kufa "
Hah hah kajua hana ubavu wa kutetea hilo jimbo,hana cha kuongea mbele ya wanajimbo lake,hayo mengine anayoyasema ni yale ya sizitaki mbichi hizi.Nimeupenda sana msimamo wa bwana mdogo John Mnyika wa kufuata mfano wa Mwalimu Nyerere.
Mnyika ametangaza rasmi kuachana na ubunge ili apate fursa ya kukitumikia chama vizuri zaidi katika nafasi yake ya Katibu mkuu wa Chadema.
Mungu mbariki John Mnyika.
Maendeleo hayana vyama!
Mnyika na Nyerere wapi na wapiNimeupenda sana msimamo wa bwana mdogo John Mnyika wa kufuata mfano wa Mwalimu Nyerere.
Mnyika ametangaza rasmi kuachana na ubunge ili apate fursa ya kukitumikia chama vizuri zaidi katika nafasi yake ya Katibu mkuu wa Chadema.
Mungu mbariki John Mnyika.
Maendeleo hayana vyama!
Ucheke? Kwani polepole na bashiru wanagombea majimbo gani?Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee nicheke mie maajabu ya dunia.
Maana kishausoma mchezo kuwa. Atabwagwa vibaya mno.
Mnyika na Nyerere wapi na wapi
Mnyika amesoma alama za nyakati,angeshindwa vibaya sana,watu wana hasira nae
Ukatibu Mkuu ni 'Fulltime Job', huwezi kuchanganya kazi hiyo na maswala mengine, kama ya ubunge.Ni jambo jema. Au kauusoma upepo ameona haurusu. Kaamua kuzugia quotation ya Nyerere.
Nina matumaini, safari hii watakikwaa kisiki.Chini ya awamu hii ya tano hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya kipimo halisi cha uhayawani, na ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Ukiwa na akili fupi utadhani wewe ni mjanja.Mnyika na Nyerere wapi na wapi
Mnyika amesoma alama za nyakati,angeshindwa vibaya sana,watu wana hasira nae