dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Mimi ni muumini wa usawa kwenye uchaguzi. Tumeshuhudia huko duniani mamlaka zikiingia kwenye uchaguzi mkuu huku wakijitahidi kuweka usawa. Kwa Tanzania mwaka huu tumefeli na tunajichafua kwelikweli.
Sasa basi, kabla taifa zima halijachafuliwa kutokana na huu upuuzi anaoleta mgombea aa CCM ambaye ni John Pombe Magufuli. Nasisitiza jumuiya za kimataifa zimchukilie hatua kali.
Anasambaza chuki na ubaguzi wa waziwazi kisiasa, hazingatii kabisa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 iliyopelekea kuundwa kwa vyama hivyo.
Mbaya zaidi anavuruga mwenendo wa uchaguzi mkuu. Kwakuwa mamlaka za kitanzania zimeshindwa kuchukua hatua dhidi yake, basi jumuiya za kimataifa zimchukulie hatua kali na kukomesha upuuzi wa dhahiri ambao ameuonyesha. Kamwe haya hayakubaliki!