Uchaguzi 2020 John Magufuli wa CCM anakiuka sheria ya maadili ya uchaguzi waziwazi. Naziomba jumuiya za kimataifa zimchukulie hatua kali sana

Tutahakikisha kwamba sheria inafuata mkondo wake
Mbeya na Songwe saccos imepotea kabisa poleni
IMG-20201001-WA0035.jpg
 
Mimi ni muumini wa usawa kwenye uchaguzi. Tumeshuhudia huko duniani mamlaka zikiingia kwenye uchaguzi mkuu huku wakijitahidi kuweka usawa. Kwa Tanzania mwaka huu tumefeli na tunajichafua kwelikweli.

Sasa basi, kabla taifa zima halijachafuliwa kutokana na huu upuuzi anaoleta mgombea aa CCM ambaye ni John Pombe Magufuli. Nasisitiza jumuiya za kimataifa zimchukilie hatua kali.

Anasambaza chuki na ubaguzi wa waziwazi kisiasa, hazingatii kabisa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 iliyopelekea kuundwa kwa vyama hivyo.

Mbaya zaidi anavuruga mwenendo wa uchaguzi mkuu. Kwakuwa mamlaka za kitanzania zimeshindwa kuchukua hatua dhidi yake, basi jumuiya za kimataifa zimchukulie hatua kali na kukomesha upuuzi wa dhahiri ambao ameuonyesha. Kamwe haya hayakubaliki!

Mbaya zaidi Dr Manjuluku na yule Stooge wa Ofisi ya Msajili wako kimyaa kama vile hawaoni wala kusikia kinachoendelea!!!
 
Mimi ni muumini wa usawa kwenye uchaguzi. Tumeshuhudia huko duniani mamlaka zikiingia kwenye uchaguzi mkuu huku wakijitahidi kuweka usawa. Kwa Tanzania mwaka huu tumefeli na tunajichafua kwelikweli.

Sasa basi, kabla taifa zima halijachafuliwa kutokana na huu upuuzi anaoleta mgombea aa CCM ambaye ni John Pombe Magufuli. Nasisitiza jumuiya za kimataifa zimchukilie hatua kali.

Anasambaza chuki na ubaguzi wa waziwazi kisiasa, hazingatii kabisa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 iliyopelekea kuundwa kwa vyama hivyo.

Mbaya zaidi anavuruga mwenendo wa uchaguzi mkuu. Kwakuwa mamlaka za kitanzania zimeshindwa kuchukua hatua dhidi yake, basi jumuiya za kimataifa zimchukulie hatua kali na kukomesha upuuzi wa dhahiri ambao ameuonyesha. Kamwe haya hayakubaliki!
Nina wasiwasi na mtindio wako wa ubongo.
 
Washington, DC — The ranking Democratic and Republican members of the U.S. House Subcommittee on Africa are packing a resolution urging the government of Tanzania to respect human and economic rights and to conduct free and fair elections on October 28.

House Resolution 1120 - sponsored by California Democrat Karen Bass, who chairs the subcommittee, and the ranking Republican, Chris Smith from New Jersey - reflects growing concern over political and economic developments in Tanzania by members of Congress who follow Africa.

Since the election in 2015 of President John Magufuli, the resolution states, "Tanzania has adopted and enforced multiple repressive laws that restrict freedom of the press, and of expression, assembly, and association." Citing reports of corruption and harassment of U.S. companies operating in Tanzania, the resolution criticizes the government's "lack of respect for contracts and business operations that threaten future U.S. businesses investment and trade partnerships."

Protection of U.S. investor rights is an issue that enjoys bipartisan support, and there are several U.S. commercial disputes in the country at this time. But the driver behind this Congressional expression of concern is the government's nearly four-year dispute with Symbion Power, centered on the breach of a 15-year power purchasing agreement for the Ubungo power plant.

Symbion is a New York-based independent power producer that develops and operates projects in several African countries and has operated in the Middle East and Asia as well.
 
Unafikiri nao ni mbumbumbu kama nyinyi? By yhe way kumbe mnategemea wazungu ndiyo wawaingize Ikulu. Mtasubiri sana!
Ndioo....kama polisi wako ccm, NEC wako ccm, msajiri wa vyama yuko ccm, na mahakama yako ccm ni lazima tuombe msaada nje km ambavyo maccm mnaomba misaada ya maendeleo mnapewa na kuitumbua......ndio maana watu wanaingia misituni....

HAKI KWANZA BILA HAKI HAKUNA AMANI!
 
Hakuna Haki bila Wajibu! Haki yako inaishia pale inapoanzia Haki ya Mwingine!
 
Nendeni ulaya!
 
Nasisitiza jumuiya za kimataifa zimchukilie hatua kali.
Dunia ya leo haiko hivo. Mabeberu hawana umoja, wamegawanyika. Marekani na washirika wake wakileta ujinga nchi inakimbilia Russia na China.

Nawasihi tuachane na Magufuli, twendeni na Hashimu Rungwe....ubwabwa kwa wote.
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Mimi ni muumini wa usawa kwenye uchaguzi. Tumeshuhudia huko duniani mamlaka zikiingia kwenye uchaguzi mkuu huku wakijitahidi kuweka usawa. Kwa Tanzania mwaka huu tumefeli na tunajichafua kwelikweli.

Sasa basi, kabla taifa zima halijachafuliwa kutokana na huu upuuzi anaoleta mgombea aa CCM ambaye ni John Pombe Magufuli. Nasisitiza jumuiya za kimataifa zimchukilie hatua kali.

Anasambaza chuki na ubaguzi wa waziwazi kisiasa, hazingatii kabisa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 iliyopelekea kuundwa kwa vyama hivyo.

Mbaya zaidi anavuruga mwenendo wa uchaguzi mkuu. Kwakuwa mamlaka za kitanzania zimeshindwa kuchukua hatua dhidi yake, basi jumuiya za kimataifa zimchukulie hatua kali na kukomesha upuuzi wa dhahiri ambao ameuonyesha. Kamwe haya hayakubaliki!

Wewe pumbavu kwelikwel .Mbona hutoi hata mfano mmoja mamaangu unalalamika tuu.Unaongea mambo kwa ujumla sana.Ndiyo maana mnamshabikia huyo mjinga wenu ovyo ovyo sasa anapoanza kuchukuliwa hatua mnarukia mada nyingine. Mnakosea wapi?
 
Natamani kungekuwa na utaratibu wa kuwaadhibu wahalifu hata kabla hawajautenda uhalifu wenyewe ila kutokana tu na matendo yao tunabashiri watatenda uhalifu hivyo tunawaadhibu mapema kabla ya uhalifu wao
 
Nendeni ulaya!
Ndioo....kama polisi wako ccm, NEC wako ccm, msajiri wa vyama yuko ccm, na mahakama yako ccm ni lazima tuombe msaada nje km ambavyo maccm mnaomba misaada ya maendeleo mnapewa na kuitumbua......ndio maana watu wanaingia misituni....

HAKI KWANZA BILA HAKI HAKUNA AMANI!
 
Hakuna Haki bila Wajibu! Haki yako inaishia pale inapoanzia Haki ya Mwingine!
Sisi tunasema sawaaa...

Back
Top Bottom