Uchaguzi 2020 John Magufuli wa CCM anakiuka sheria ya maadili ya uchaguzi waziwazi. Naziomba jumuiya za kimataifa zimchukulie hatua kali sana

Akuna cha jumuiya za kimataifa wala jumuiya ya wazazi,hapa ni spana tu mwanzo mwisho.
 
Reactions: UCD
Umbea kama zilivyo porojo nyingine!
Justification ya maelezo yako meeengi yasiyo na kichwa wala miguu iko wapi?
 
Reactions: UCD
Ebu Kula Ulale Usiku ushaingia Jumuiya za Kimataifa Zinatuhusu nini sisi. Yanii kila Anachofanya Rais hampendi Si kuna Box LA Kura Wananchi wataamua kama wamemchoka au LA Na Sio izio Jumuiya Mshaona Ngoma Ishakuwa nzitoo mnakimbilia kwa Mabeberu
 
Reactions: UCD
Kajina kako tu.. kana shangaza.. kamejaa hasira za kusomeshwa namba na kutopata vya kimikatokato.. na bado.. miaka mitano tena..
 
Reactions: UCD
Jumuiya za kimataifa haziwezi kutupangia sisi nini cha kufanya, wananchi tumeamua tutamchagua JPM aongoze miaka 5 tenaa.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Reactions: UCD
Nimeona leo akitamka kuwa mzee nakupa shs 100,000!. Nadhani baadae kidogo alishtuka, akasema siyo rushwa ila nakusaidia tu ukanunue mbolea
 
Ungeandika kwa kiingereza ingependeza sana, au mtumie lissu abadirishe kwa lugha ya kibeberu aipost kwenye page za wakina bob na genge lake.
 
Acha matusi wewe. Magufuli akiwa jukwaani anakera kwa kauli zake za kihuni!
Mhuni Lissu. Kwani unalazimishwa kusikiliza hotuba zake Rais Magufuli? Si usikilize hotuba za msaliti Lissu?
 
Mhuni Lissu. Kwani unalazimishwa kusikiliza hotuba zake Rais Magufuli? Si usikilize hotuba za msaliti Lissu?
Sasa kwa taarifa yako akiendelea na kauli zake za kihuni atashughulikiwa ipasavyo. Hii nchi haiwezi kupoteza heshima yake kamwe.
 
Kigogo naye 'anayafumua' tu huko
 

Attachments

  • Screenshot_20201001-134738.jpg
    36.5 KB · Views: 2
Sasa kwa taarifa yako akiendelea na kauli zake za kihuni atashughulikiwa ipasavyo. Hii nchi haiwezi kupoteza heshima yake kamwe.
Nani atashughulikiwa Lissu au?? Na kivipi kikura au? Kama kiguvu huna uwezo huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…