John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

Hivi wewe bunge la Ndugai hulijui au unataka kutusumbua tu hapa , ni kipi hukijui kuhusu hao covid 19 , mtu katolewa jela kwenda kuapishwa na siyo kwamba kaachiliwa mahakamani , we uliona wapi upuuzi kama huo ? pamoja na ubatili huu bado unauliza tu maswali yasiyo na msingi ?

Labda nikuambie tu Magufuli alivuruga uchaguzi kuanzia kwenye fomu tu , we fikiria mpaka leo rufaa ya yule mama wa Mlimba aliyeondolewa ili njuka Kunambi awe mbunge bado haijatolewa majibu na Tume ya uchaguzi , haya ndio maagizo ya mwendazake , unatarajia nyaraka za bunge ziweje katika hali hii ?
Soma vizuri kilichoandikwa kuliko kukimbilia kunitia changamoto kana kwamba kiko tofauti na maswali yaliyoulizwa. Nakiri kuna 'typing errors' lakini mantiki ya maswali inaeleweka vema.

Nahisi kila upnapo avatar na utambulisho unajua tu mawazo yako kinyume na fikra ulizokuwanazo.

Maswali yameulizwa bila upendeleo kwa upande wowote, kuwakulisha barua kwa mtindo wa 'dispatch' ni mtindo wa kizamani wakati kila zama na kitabu chake-mabadiliko ya teknolojia na uwezo wa kuhoji kisheria wangetaka wapokeaji wasaini nakala ya barua, mhuri na kamera kwa ushahidi usio kuwa na shaka. Hapo mtarukana na hamuwezi kuthibitisha karatasi hizo zilipokelewa na nani, maana saini haiwakilishi sura wala jina la mtu anayehusika.
 
Hicho ki despatch hakina muhuri mtu yoyote anaweza kupokea
Afadhali hata angetuambia katuma kwa email rasmi ya spika kidogo tungeelewa,mfumo wa despatch ni wa kizamani sana

Kwa hiyo ikiwa ni ya kizamani inakuwa haijafika?!ofisi ya spika ilipata taarifa sema wameamua kujitia jeuri,Ila Mungu yupo atashughulika nao🙏🙏🙏🙏
 
Mtoa post unamahaba na chadema hadi unakuwa mjinga...ila sishangai chadema wengi role model wenu ni tundu lisu wengine mnamuiga hadi anavyoongea.
Wewe una mahaba na ccm hadi unatamani uolewe nayo. Hivi kwa maoni yako wale covid 19 walipata kibali kwenye chama chao? Nchi hii inaendeshwa ki Magufuli ingawa kaendazake.
 
Kwani wakienda polisi kufungua kesi kwamba fomu zao zimeghushiwa na wahusika wanajipatia pesa kwa njia ya udanganyifu polisi wataacha kufungua jalada na kulipeleka mahakamani?

Kwani wewe, kama mfanyakazi wako akighushi nyaraka za ofisi au biashara yako huruhusiwi kupeleka hiyo issue polisi? Polisi wakikataa kuipeleka mahakamani hiyo issue ya Chadema, basi angalau watutangazie sisi wananchi tujue mambo yakoje !
Uhalifu wa ki dola hauhukumiwi na mamlaka zilizopo chini ya dola iliyofanya uhalifu huo.
 
Huyu Betina alishiriki igizo la kuizika Chadema Mbeya 2019, anafikiri haya madaraka ataishi nayo milele au anataka kuzikwa kitaifa kama Naibu Speaker!
Kwa dhambi hii ya "Covid 19" betina na ndugai hawatoboi 2025. Ameanza mwendazake na wao wanafuatia.
 
Leo nimeangalia kipindi cha Bunge na kushangazwa na hoja ya Kishoa kuhusu uhalali ama uharamu wa ubunge wao!

Kama hawajafukuzwa sasa walikata rufaa ya nini au wamekataa kama hawakata rufaa. Watakuwa wanapinga nini kwenye hizo rufaa maana ushahidi kwamba wMefukuzwa ni barua zao za kukata rufaa
 
Mimi naamini walipeleka lakini sote yunajuwa haya ya Bunge waliyafanya kisiasa zaidi, wale 19 wanasema walikata rufaa kaeni sikilizeni rufaa maamuzi yatolewe ili wasipate pakukimbilia lakini CDM wako kimyaa kuna udhaifu upande wa CDM katika hili hawako aggresive katika PR.
 
Unataka waje wafanyie nyumbani kwako hiyo live conference ya kuwafukuza uanachama ndiyo uamini kuwa walishafukuzwa?
Kama ndio akili za wana Chadema hizi ndio maana hata Ndungai na kufanya anavyotaka anawadharau sana naanza kumuelewa anajuwa ana deal na watu gani. badala ya kujibu hoja unani attack. Mwanachama anafukuzwa na kikao gani cha chama? wamesema wamekata rufaa kaeni sikilizeni amuaeni sio kulia mitandandaoni kungojea hisana ya Mama.
 
Kukata rufaa hakutengui uamuzi wa kamati kuu mpaka uamuzi wa rufaa utoke.

Kwahiyo mpaka sasa siyo wanachama wa CHADEMA
 
Kama ndio akili za wana Chadema hizi ndio maana hata Ndungai na kufanya anavyotaka anawadharau sana naanza kumuelewa anajuwa ana deal na watu gani. badala ya kujibu hoja unani attack. Mwanachama anafukuzwa na kikao gani cha chama? wamesema wamekata rufaa kaeni sikilizeni amuaeni sio kulia mitandandaoni kungojea hisana ya Mama.
Ndugai ana wadharau watanzania na wewe ukiwemo siyo CHADEMA tu
 
Mwanachama anafukuzwa na kamati kuu
 
Ndugai ana wadharau watanzania na wewe ukiwemo siyo CHADEMA tu
Uzuri mimi sina chama na wala sijawahi maisha yangu kupiga kura, sasa nimeona hiyo barua na sijui dispatch signature utasema kitabu cha maombolezi hata hujui nani ka sign yoyote anaweza kufake, nimeona clip nyingine huyo speaker anasema barua haina viambatanishi ya vikao sasa hilo nalo gumu la kupeleka.
 
Back
Top Bottom