John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Ulitarajia baada ya kupata hizo milioni 100 atangaze kwenda wapi?
 
Vipi,kwani Musiba amechukua fomu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyika katu hawezi kufanya kama unavyowaza. Nimewasifu Chadema wameirudisha Chadema asilia.
 
Kama ni kweli mmechemsha vilevile, mnyika alikuwa naibu katibu mkuu muda wote kuna nini hajafanya bado? Hana jipya
Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!
Una hoja Ila naona watu wanakubeza na wanaendelea hivyo kwasababu mbowe kaamua Ila mnyika Hakuna kitu ilibidi awe John Heche Dr Albanie Kama sijakosea mbele ya jiwe unaleta watu soft Kama mnyika ambao wanakosa hata Ujasiri majimboni mwao iwe taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa panadol
Hamuelewagi mapema mpaka baadae mwishoni yakiwakuta ndo mnaanza matusi. Yaani mlichofanya ni status quo. Kwani hamna wanachama wengine wenye uwezo jamani mpaka wanakuwa walewale kila siku miaka nenda miaka rudi!?
 
Hamuelewagi mapema mpaka baadae mwishoni yakiwakuta ndo mnaanza matusi. Yaani mlichofanya ni status quo. Kwani hamna wanachama wengine wenye uwezo jamani mpaka wanakuwa walewale kila siku miaka nenda miaka rudi!?
Ana experience ya kutosha, tumeridhika nae. Hapo mwanzo alikaimu sasa amekabidhiwa mikoba na ana uhuru wa kufanya maamuzi.

Hatuhitaji PhD holders.
 
Ukorofi ndio sifa kuwa kiongozi CHADEMA?mbona wewe upo nyuma ya keyboard hutoki hadharani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana experience ya kutosha, tumeridhika nae. Hapo mwanzo alikaimu sasa amekabidhiwa niko a na ana uhuru wa kufanya maamuzi.

Hatuhitaji PhD holders.
Huhuhu tunawatakia kila lenye kheri na safari yenu. Naona mmeamua kufanya majaribio kila Mara. Je hivi mpango wa kukamata dola bado mnao?
 
Yaani wee Jamaa bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…