nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Kwa maneno mafupi sana CHADEMA imerudi.Kwa kweli hii ni mashine kubwa.Mungu ni mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maneno mafupi sana CHADEMA imerudi.Kwa kweli hii ni mashine kubwa.Mungu ni mkubwa
Kunywa panadolKama ni kweli mmechemsha vilevile, mnyika alikuwa naibu katibu mkuu muda wote kuna nini hajafanya bado? Hana jipya
Hatari sanaKama ni kweli mmechemsha vilevile, mnyika alikuwa naibu katibu mkuu muda wote kuna nini hajafanya bado? Hana jipya
Ulitarajia baada ya kupata hizo milioni 100 atangaze kwenda wapi?Duh.. !, Duh...!, Duh...!.
Naomba hapa nisiseme kitu maana kauli huumba, nisije sema kitu halafu kikaja kutokea ikawa mimi niliyekisema nikawa ndiye nimekiumba!.
Ule ukimya wa JJ.MNYIKA mimi niliutafsiri kuwa tayari ameishajitambua na yuko njia kuu kusibiria tuu kuvunjwa kwa Bunge na kupokea zile milioni 100 za kila Mbunge kuagania, kisha ndipo atangaze ... sasa ndie Katibu Katibu Mkuu!.
Haya na tusubiri maana sisi wengine midomo yetu tukisema tuu kitu...
Anyway hongera sana JJ.Mnyika kuukwaa ukatibu Mkuu wa Chadema, sasa ni kama Dr. Slaa amerudi.
P
Vipi,kwani Musiba amechukua fomu?Nafasi ya katibu mkuu wa chama siyo nafasi ya mtu wa kubwabwaja sana. Bali mtu mwenye busara, maono, mbunifu, mtendaji mahiri, mwenye kujiamini na kusimamia kanuni na sera za chama, na mwenye msimamo thabiti juu ya utekelezaji wa maamuzi mbalimbali ya chama.
Mnyika katu hawezi kufanya kama unavyowaza. Nimewasifu Chadema wameirudisha Chadema asilia.Duh.. !, Duh...!, Duh...!.
Naomba hapa nisiseme kitu maana kauli huumba, nisije sema kitu halafu kikaja kutokea ikawa mimi niliyekisema nikawa ndiye nimekiumba!.
Ule ukimya wa JJ.MNYIKA mimi niliutafsiri kuwa tayari ameishajitambua na yuko njia kuu kusibiria tuu kuvunjwa kwa Bunge na kupokea zile milioni 100 za kila Mbunge kuagania, kisha ndipo atangaze ... sasa ndie Katibu Katibu Mkuu!.
Haya na tusubiri maana sisi wengine midomo yetu tukisema tuu kitu...
Anyway hongera sana JJ.Mnyika kuukwaa ukatibu Mkuu wa Chadema, sasa ni kama Dr. Slaa amerudi.
P
Hivi Dr Bashiru naye ni Katibu Mkuu? Kweli CCM kuna vichekesho.Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!
Kama ni kweli mmechemsha vilevile, mnyika alikuwa naibu katibu mkuu muda wote kuna nini hajafanya bado? Hana jipya
Una hoja Ila naona watu wanakubeza na wanaendelea hivyo kwasababu mbowe kaamua Ila mnyika Hakuna kitu ilibidi awe John Heche Dr Albanie Kama sijakosea mbele ya jiwe unaleta watu soft Kama mnyika ambao wanakosa hata Ujasiri majimboni mwao iwe taifaMlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!
Hamuelewagi mapema mpaka baadae mwishoni yakiwakuta ndo mnaanza matusi. Yaani mlichofanya ni status quo. Kwani hamna wanachama wengine wenye uwezo jamani mpaka wanakuwa walewale kila siku miaka nenda miaka rudi!?Kunywa panadol
Ana experience ya kutosha, tumeridhika nae. Hapo mwanzo alikaimu sasa amekabidhiwa mikoba na ana uhuru wa kufanya maamuzi.Hamuelewagi mapema mpaka baadae mwishoni yakiwakuta ndo mnaanza matusi. Yaani mlichofanya ni status quo. Kwani hamna wanachama wengine wenye uwezo jamani mpaka wanakuwa walewale kila siku miaka nenda miaka rudi!?
Ukorofi ndio sifa kuwa kiongozi CHADEMA?mbona wewe upo nyuma ya keyboard hutoki hadharani?Una hoja Ila naona watu wanakubeza na wanaendelea hivyo kwasababu mbowe kaamua Ila mnyika Hakuna kitu ilibidi awe John Heche Dr Albanie Kama sijakosea mbele ya jiwe unaleta watu soft Kama mnyika ambao wanakosa hata Ujasiri majimboni mwao iwe taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee meko alipokuwa ujenzi(minister)hakuona ufisadi mpaka alipopata urais!Kama ni kweli mmechemsha vilevile, mnyika alikuwa naibu katibu mkuu muda wote kuna nini hajafanya bado? Hana jipya
Huhuhu tunawatakia kila lenye kheri na safari yenu. Naona mmeamua kufanya majaribio kila Mara. Je hivi mpango wa kukamata dola bado mnao?Ana experience ya kutosha, tumeridhika nae. Hapo mwanzo alikaimu sasa amekabidhiwa niko a na ana uhuru wa kufanya maamuzi.
Hatuhitaji PhD holders.
Ha Haa Haaa
Mnyika ni chaguo makini kwa wakati sahihiMnyika katu hawezi kufanya kama unavyowaza. Nimewasifu Chadema wameirudisha Chadema asilia.
Sasa chama kiko mahtuti mnang’oa bendera kikiwa na afya njema si wote mtakuwa ICU!Anakabidhiwa Ukatibu Mkuu chama kikiwa mahututi. Hivi naye ni mwana wa kaskazini eeh??
Yaani wee Jamaa bwanaDuh.. !, Duh...!, Duh...!.