Mkuu Molemo, hayo usemayo ni ukweli mtupu, mwakani nastaaru uandishi na utangazaji, najiunga na chama na kuingia dimbani, sasa ile tuu kuwaza chama nitakacho jiunga nacho, akili zinahama, sijui kuna uchawi fulani?!. Hata Lemuz enzi zile alipokuwa Field Marshal ES alikuwa moto, alipobadili kuwa William zimehama kabisa. Hata mimi nilipokuwa Pasco wa jf nilikuwa moto wa kuotea mbali, sasa ni Paskali, nimejikuta ni empty shell.
Niliwahi kuuliza humu
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, JF ni ukumbi huru kwa watu wote wa aina zote, rangi zote, hali zote, jinsia zote, vyama vyote hata wasio na vyama, sasa kwanini member wa jf, akijiunga CCM anabezwa sana humu hadi kutukanwa?!. Jee mtu kujiunga CCM ni kosa?, ni ujinga?. Jee wana CCM ni...
Hivyo don't say sorry kuna ukweli fulani kuhusu CCM na ignorance.
Wanabodi, Salaam. Kuanzia leo, hadi tarehe 24 October, kwa siku hizi 30+ zilizobakia kabla ya kufanyika uchaguzi, nitajitolea kutoa makala za uhamasishaji ili wana jf tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura. Makala hizi zitakuwa ni makala elimishi, ili kuwasaidia Watanzania wenzetu ambao bado...
Wanabodi, Mtanisamehe sana kwa kuanza huu mjadala kwa maneno makali, kuwa inawezekana kabisa sisi Watanzania tulio wengi ni "ignorants!", vichwa maji kabisa!, vichwani ni weupe na watupu!, uwezo wa kufikiri kwa kina (deep thinking) hatuna!. Uwezo wa kufikiri kwa tafakuri, ("logical...
Wanabodi, Nimenote baada ya matokeo ya Kinondoni na Siha, kuna watu wanajifanya na kujidai wamekasirika sana!, na wako tayari kwa lolote na kufanya lolote kuiondoa CCM madarakani!. Ushauri wangu kwa watu wa type hii, ni kuwaasa kwa sasa wasijisumbue bure!, CCM is there to stay for a long long...
Wanabodi, Tuache siasa, na tusemezane au tuambiane ukweli, iwapo CCM itashinda tena uchaguzi wa mwaka huu, ushindi huo wa CCM, jee utatokana na Watanzania kufanya informed decision kufuatia CCM kukubalika na Watanzania walio wengi kwa kuwaletea maendeleo chanya ya kuonekanika, majengo, miundo...
P