John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Mkuu Mliberali, be free to doubt me, ila mimi ni Tambaza, sikutajii niliscore nini ila nikaenda Ilboru special school, wanaojua wanao join Ilboru wanajua wanapataga nini!, nikajoin TSJ, nikapiga Diploma ya Journalism by then it was the highest as far as the media was concerned, kisha nikajoin UDSM kusomea sheria, LL.B, wanaojua what does it take kujoin sheria ya UDSM wanajua nazungumzia nini, my LL B ni honours, uliza mtu yoyote wa UDSM what does UDSM, LL.B with honours means.

Tunafanya journalism for the love of it na sio kwasababu we are failures and we get nothing of if it bali ni mapenzi tuu! Naomba tuheshimiane!.
P
Utanisamehe sana kaka kwa vile tunafahamiana na kuheshimiana.Ila wengi huku tukisoma comments na michango yako tunakufananisha na Le Mutuz.Sorry to say that...
 
Baraza kuu limeridhia
FB_IMG_1576596216214.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naanza ku doubt IQ yako usitake niamini kuwa mliosoma journalism ni wale failures wa form four,
mkuu kuwa objective kijiko ni spoon, koleo ni spade, ukanjanja hautakusaidia mkuu zama hizi zitapita tu.
Msamehe bure tu
 
Utanisamehe sana kaka kwa vile tunafahamiana na kuheshimiana.Ila wengi huku tukisoma comments na michango yako tunakufananisha na Le Mutuz.Sorry to say that...
Mkuu Molemo, hayo usemayo ni ukweli mtupu, mwakani nastaaru uandishi na utangazaji, najiunga na chama na kuingia dimbani, sasa ile tuu kuwaza chama nitakacho jiunga nacho, akili zinahama, sijui kuna uchawi fulani?!. Hata Lemuz enzi zile alipokuwa Field Marshal ES alikuwa moto, alipobadili kuwa William zimehama kabisa. Hata mimi nilipokuwa Pasco wa jf nilikuwa moto wa kuotea mbali, sasa ni Paskali, nimejikuta ni empty shell.

Niliwahi kuuliza humu

Hivyo don't say sorry kuna ukweli fulani kuhusu CCM na ignorance.

P
 
Nyalandu mhhh. Ila waliobaki yeyote anafaa
Halafu analimezea jimbo lake la zamani mate.Wana Singida kaskazini wakimpa tena watakuwa wajinga sana sana kwani aliwaacha kihuni huni kama wahuni wa kitaani kwetu wanavyoacha mademu zao.

Ila timu yake,mfano Hanje na Digha hawana nguvu tena.Hanje amechoka na kupauka kama mwehu.

Hata Serengeti baa siku hizi haji tena,mfukoni mweupe kabisaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mliberali, be free to doubt me, ila mimi ni Tambaza, sikutajii niliscore nini ila nikaenda Ilboru special school, wanaojua wanao join Ilboru wanajua wanapataga nini!, nikajoin TSJ, nikapiga Diploma ya Journalism by then it was the highest as far as the media was concerned, kisha nikajoin UDSM kusomea sheria, LL.B, wanaojua what does it take kujoin sheria ya UDSM wanajua nazungumzia nini, my LL B ni honours, uliza mtu yoyote wa UDSM what does UDSM, LL.B with honours means.

Tunafanya journalism for the love of it na sio kwasababu we are failures and we get nothing of if it bali ni mapenzi tuu! Naomba tuheshimiane!.
P
Sasa mbona uelezi kama Ulidisco Udsm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo Dr.Mashinji katupwa nje kabisa, au yeye kaenda kwenye baraza la wazee?! Kutoka Katibu Mkuu wa chama hadi zero, yani hawakuona mchango wake popote ambapo angeweza kuchangia kwenye chama, licha ya yeye kuhudumu kwa miaka mitano?
Kinana na Makamba wanasubili kuhojiwa usalama na madili, hii ndio tuzo yao ya utumishi uliotukuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mjinga tena mpumbavu kabisa, unajuwa verified user wapo wangapi humu JF? Au umeamuwa kuchamba mdomo tu.
Hahaha humu watu hawaheshimiani kwasababu kila mtu humu ana PhD ya kila kitu nyuma ya keyboard. Ukitaka kufahamu nasema nini, tafuta Topic hata wanazosoma Allien achana na hizi za binadamu, Ukiipata hiyo topic Anzisha uzi kasha angalia michango ya wajuvi wa JF, hahaha utachoka mwenyewe.

Usipanic, haya maneno tu haya umizi kabisa , unayapotezea tu. Ndio maana kila mtu ni annonymus kasoro wewe. Dharau na madongo ya humu, unayaacha kama yalivyo. watu hawataki kukubali tofauti, wanataka woote humu tuwe na mlengo sawa, mawazo sawa na fikra, kazi na hata vipato sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mliberali, be free to doubt me, ila mimi ni Tambaza, sikutajii niliscore nini ila nikaenda Ilboru special school, wanaojua wanao join Ilboru wanajua wanapataga nini!, nikajoin TSJ, nikapiga Diploma ya Journalism by then it was the highest as far as the media was concerned, kisha nikajoin UDSM kusomea sheria, LL.B, wanaojua what does it take kujoin sheria ya UDSM wanajua nazungumzia nini, my LL B ni honours, uliza mtu yoyote wa UDSM what does UDSM, LL.B with honours means.

Tunafanya journalism for the love of it na sio kwasababu we are failures and we get nothing of if it bali ni mapenzi tuu! Naomba tuheshimiane!.
P
Pascal Mayalla kila uchao hapa JF heshima yako inadhidi kushuka.

Hakuna kitu kibaya kama kupoteza heshima na imani kwa watu.

Hii social rejection itakufanya uishi uzee mbaya sana.

Just my innocent reminder.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla kila uchao hapa JF heshima yako inadhidi kushuka.
Hakuna kitu kibaya kama kupoteza heshima na imani kwa watu.
Hii social rejection itakufanya uishi uzee mbaya sana.
Just my innocent reminder.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Pter, kwanza thanks kwa hii innocent reminder, inawezekana ni kweli nilikuwa na heshima kubwa humu jf, jee hiyo heshima kubwa jf imenisaidia nini?.

Inawezekana kabisa sasa hiyo heshima inashuka hivyo vile vitu ilivyokuwa inanifaidia, heshima ikishuka nitavikosa.

Pia inawezekana kwa kadri ninavyokuwa na heshima kubwa jf, ndivyo ninavyopitia mateso na persecutions, mambo yangu yakitiwa vibano na maisha kuwa magumu, hivyo kwa kadri heshima inavyoshuka, ndivyo vile vibano vinavyoachia

Hivyo kushuka kwa heshima yangu jf, it's a blessing in disguise, soon na mimi nitajiunga na Chama na kuunga mkono juhudi vibano viishe kabisa.

Kama heshima kubwa ya jf hainisaidii lolote kuleta mkate mezani, heshima ya jf ikishuka ndipo mkate unakuja, I choose kitakacho leta mkate.
P
 
Mkuu Molemo, hayo usemayo ni ukweli mtupu, mwakani nastaaru uandishi na utangazaji, najiunga na chama na kuingia dimbani, sasa ile tuu kuwaza chama nitakacho jiunga nacho, akili zinahama, sijui kuna uchawi fulani?!. Hata Lemuz enzi zile alipokuwa Field Marshal ES alikuwa moto, alipobadili kuwa William zimehama kabisa. Hata mimi nilipokuwa Pasco wa jf nilikuwa moto wa kuotea mbali, sasa ni Paskali, nimejikuta ni empty shell.

Niliwahi kuuliza humu

Hivyo don't say sorry kuna ukweli fulani kuhusu CCM na ignorance.

P
Hongera kwa maandiko yako ya kuombea CDM ife ni wazi utagombea kupitia CCM
 
Mkuu Pter, kwanza thanks kwa hii innocent reminder, inawezekana ni kweli nilikuwa na heshima kubwa humu jf, jee hiyo heshima kubwa jf imenisaidia nini?.

Inawezekana kabisa sasa hiyo heshima inashuka hivyo vile vitu ilivyokuwa inanifaidia, heshima ikishuka nitavikosa.

Pia inawezekana kwa kadri ninavyokuwa na heshima kubwa jf, ndivyo ninavyopitia mateso na persecutions, mambo yangu yakitiwa vibano na maisha kuwa magumu, hivyo kwa kadri heshima inavyoshuka, ndivyo vile vibano vinavyoachia

Hivyo kushuka kwa heshima yangu jf, it's a blessing in disguise, soon na mimi nitajiunga na Chama na kuunga mkono juhudi vibano viishe kabisa.

Kama heshima kubwa ya jf hainisaidii lolote kuleta mkate mezani, heshima ya jf ikishuka ndipo mkate unakuja, I choose kitakacho leta mkate.
P
Du Aisee bora umeweka wazi kwamba unaweza kufanya lolote alimradi mkono uende kinywani.Wenzako hawako hivyo bali wako tayari kusimamia wanachokiamini hata kama itagharimu maisha yao na mifano hai ni Tundu Lissu na Freeman Mbowe.Mungu Awabariki waone wajukuu wa watoto wao
 
Back
Top Bottom