John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Unaelewa ulichokiandika?
 
Hongera kwa maandiko yako ya kuombea CDM ife ni wazi utagombea kupitia CCM
Nimesema 2020 nitajiunga na chama, kwa Tanzania, chama ni kimoja tuu, CCM, hivyo vingine ni vikundi tuu vya watu vyenye malengo ya kisiasa




P
 
Myika amesoma alama za nyakati kuwa hatashinda ubunge 2020 hata yeye kakiri kuwa ubunge wake uko rehani! Ha haha kajiwahia katawi.
 
Labda Lissu, lakini...naomba nisiongee kwasababu you can't tell who is who, sisi wenye macho ya rohoni tunaona visivyo onekanika kwa macho ya kawaida.
P
 
Myika kajiongeza na amekiri ubunge wake uko rehani! Amewahi pakushika.
 
Hongera kwa maandiko yako ya kuombea CDM ife
Sijawahi kuombea Chadema ife bali niliuliza tuu kama Chadema ni sikio la kufa?.
P
 
Kwahili unamuonea, Pasco siyo mwanasiasa na wala si mwanaharakati bali ni Journalist, sasa ile tender ya PPRA wakimpiga chini mtamchangia kama Lisu? Think big.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani usahihi ni kwamba utailipia ada kadi yako kwa sababu wewe si mwanachama hai kama mimi nilivyo, kwa sisi wenye umri wa kugombea uraia zamani ilikuwa lazima uwe na kadi ya chama chetu ili mambo yako yanyooke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda Lissu, lakini...naomba nisiongee kwasababu you can't tell who is who, sisi wenye macho ya rohoni tunaona visivyo onekanika kwa macho ya kawaida.
P
Kwamba wewe una macho ya rohoni na chuki kubwa uliyo nayo kwa Chadema? Haa Haaa Haaa
 
It's very true, when it comes to perfection, JJ.Mnyika is dam good, ni replica na duplicate ya Dr. Slaa,
Tatizo ni ukimya wake una mshindo mkuu.
P
Unatafsirije Ukimya..Unataka awe mropokaji hovyo wa kuongea chochote kimjiacho kichwani.?
 
Tindo, Pasco ananishangaza sana nyakati hizi, napata taabu nimuweke Paskali ktk kundi gani nyakati hizi, ni kama vile kuna kitu anakisaka kupitia mabandiko yake. Pasco amepoteza umakini na weledi ktk chambuzi anazofanya. Kwa sasa ni vigumu hata kumtambua, chambuzi zake zinakosa objectivity na impartiality, imekuwa vigumu kumtambua kama Paskali ni mwandishi wa habari au mwanasheria.

Ukimchukulia kuwa ni mwandishi wa habari; anakosa objectivity, ukimchukulia kama mwanasheria utaona wazi anafumbia macho ukiukwaji wa sheria ili kuwapamba watawala hata ktk mambo ambayo wanafanya makosa ya wazi, kwa makusudi huku wakikanyaga sheria na haki za raia; INASHANGAZA sana. Najiuliza huenda ID yake imetekwa na inatumiwa na makada wa Chama cha siasa.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona mapungufu ya wazi ya watawala huyaoni? Mbona jinsi vyombo vya dola vinavyowa-mistreat Chadema huoni? Mbona watendaji wa serikali wanavyowahujumu Chadema huoni wala kuuliza? Ni kweli huoni, husomi na husikii? Mimi sio mfuasi wa chama chochote ndio maana niko huru kuisifu serikali na kuikosoa, wewe ujasiri wako wa kukosoa siku hizi haupo.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nimeanza kukuelewa. Nakushauri utafute ID nyingine ili uwe mtu huru. Hiyo ID yako ya sasa inakusaidia kupata consideration fulani lkn inakushushia hadhi kwa waliokufahamu wakati ukijadili masuala with objectivity and impartiality.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba wewe una macho ya rohoni na chuki kubwa uliyo nayo kwa Chadema? Haa Haaa Haaa
Kauli huumba, hili la chuki dhidi ya Chadema, naona unataka kuniumbia. Hakuna kitu kizuri kama kukubali makosa na kukubali udhaifu na kuutumia huo udhaifu kama changamoto ya perfection.

Ule waraka wa mabadiliko wa kina Kitila, ulikuwa na hoja za msingi sana za kuzifanyia kazi, mkazipuuza. Kiukweli amini usiamini Mkuu Molemo, usikute mimi ninayeikosoa Chadema, ndio naisaidia kuliko nyinyi mnaojitafunia tuu ruzuku ya kodi zetu hapo Makao Makuu Ufipa kwenye nyumba ya kukodi miaka nenda miaka rudi. Mwakani ruzuku inakata, automatically Chadema inakwenda kufa natural death by succumbing.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…