nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Namaanisha hasimzidi mbowe kiumriKatibu mkuu lazima awe na umri mkubwa kuwapita wote hao, ili ukiachana na cheo, ata kiumri aweze kupata uhalali wa kuwapangia majukumu, na pia siyo mbaya akalingana kiumri ama akamzidi mbowe. So Mashinji should be the first choice. Pia anawakilisha kanda pendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa na huo msimamo angehoji ukomo wa mwenyekiti chadema!Namuomba M/kiti mpya wa Chadema Mh Mbowe anapopeleka majina 2 leo kwa majibu wa Katiba ili kumchagua Katibu Mkuu asilisahau jina la Dr Lwaitama kulipeleka kwenye mkutano Mkuu, atakisaidia Chadema ni mwema na ni msomi mwenye msimamo usioyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
WanaJF Salaam
Ni siku nyingine muhimu kabisa katika historia ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA.
Baraza Kuu jipya la Chadema linakutana leo maalum kuichagua sekretariati mpya ya chama hicho itakayokivusha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Tunatarajia kuwaletea taarifa kamili ya uteuzi utakaofanywa na Mwenyekiti na tunawaahidi wasomaji wetu wa Jamii Forum kuwa wa kwanza kupata taarifa.
Asanteni sana, Wasalaam, Molemo wa JF
Yerico Nyerere anatufaa sanaHili ni swali tu ndugu zangu ambalo nimelileta kwenu na wala sina lengo lingine zaidi ya kutaka kujua maono na utabiri wenu tu.
Ikumbukwe kwamba hii ni nafasi nyeti sana ndani ya chama, inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa sana anayeweza kuunganisha viongozi na wanachama, mwenye uwezo wa kufuta makundi yaliyojitokeza kwenye uchaguzi huko kwenye kanda na kwenye Mabaraza, mbunifu na asiye muoga.
Mbowe kapita tena kwenye ukatibu mkuu!Molemo, hakuna updates on front page?
vyeo vyote vikubwa chadema mnagawia wabunge .Tatizo la ajira gumu kwisha mtu mbunge .halafu tena katibu mkuu mishahara yote abebe yeye ya ubunge na ukatibu mkuu .Wapeni wengine igeni CCm sio mnazungusha hao hao kakundi kadogo ka wabunge
mpeni tu mbowe ashike na hicho
Lwaitala alifaa au heche!wengine wababaifu waoga sana
Bila kukupepesa macho mtu mwenye hoja ambaye Yuko vizuri kwa nafasi hiyo Ni Silinde .Katulia Ana hoja Hana jaziba
Chadema wanga kwa hiyo huyo katibu mkuu atapatikana Leo usiku wa manane Kama mwenyekiti?
WALOGWE WALIPE LILE LIZEE DR. LWAITAMA hilo zee ninomaaa litamfukuza mbowe faster. Hapo minajua katibu nikati yalile kundi lililopanda ndege yakukodi kwenda mwanza kuomba maridhiano.
Mkuu Chadema ndiyo habari ya Mujini kwa sasaInaudhi sana kila siku habari za Chadema
Amejitahidi pia kwa nafasi yake
Ha Haa Haaa
Hakuna cha Heche wala Mnyika wala Salum
Mtaletewa katibu mkuu dizaini ya Mashinji
Mboww hataki katibu mkuu mwenye nguvu kama ilivyokuwa kwa Slaa.
Tegemeeni kuletewa katinu mkuu wa dizaini ya Mashinji.
Natamani vijana mngejitambua hakika si ccm wala cdm wala chama chochote cha upinzani kingewageuza geuza kama chapati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuvuruga ndugu