nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Nawapenda sana vijana wawili Jonh Mnyika na Jonh Heche, wangeweza kupewa nafasi hii, ila waachwe kwanza wachote busara Dr. Marcus Albanie au Dr.Lwaitama watawavusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app