John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Hamuelewagi mapema mpaka baadae mwishoni yakiwakuta ndo mnaanza matusi. Yaani mlichofanya ni status quo. Kwani hamna wanachama wengine wenye uwezo jamani mpaka wanakuwa walewale kila siku miaka nenda miaka rudi!?
Bingwa wa kushauri, eti we ndo ulimshauri jiwe amteue poleple katibu mwenezi, na bashiru kuwa katibu mkuu.
 
Hamuelewagi mapema mpaka baadae mwishoni yakiwakuta ndo mnaanza matusi. Yaani mlichofanya ni status quo. Kwani hamna wanachama wengine wenye uwezo jamani mpaka wanakuwa walewale kila siku miaka nenda miaka rudi!?
Dogo unaumia sana? Mbona hukuumia jiwe alipomfukuza kinana akamteua bashiru?
 
Chadema hawako serious kabisa.Mwenyekiti Taifa Mbowe form six leaver katibu mkuu Mnyika form six leaver.

Hivi kweli hao waweza kaa meza moja na watu Kama Dr bashiru kuongelea chochote?

Cha pili ninachokiona Ni kuwa Mbowe kaishika Chadema vyeo vyote yeye .Yeye ndie mwenyekiti pia yeye ndie makamu. Mwenyekiti sababu Tundu Lissu hayupo nchini na yeye ndiye katibu mkuu CHADEMA sababu Mnyika mbele yabowe Hana sauti kabisa
 
Mnyika wa kabla ya Mamvi CDM ndiye alifaa kuwa KM lakini huyu bubu wa sasa labda abadilike tena.
 
Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!
Mtu mwenye karba ya dr bashiru hafai chadema maana bashiru hatabiliki. Kuna muda huwa anatoa kauli zenye ukakasi. Mbowe hana uvumilivu huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana Mnyika kwa kuteuliwa. Dr. Marcus Albanie amepewa cheo gani?
 
Yaani wee Jamaa bwana
Mkuu Molemo, kwanza ni lazima Chadema mkubali kwenye mambo ya iteligensia nyingi Chadema ni zero, totally empty kabisa! na amini nakuambia kuna watu ambao mko ndani ya box la inside Chadema hamna uwezo wa kuona outside the box.

Niliwashauri baada ya Heche Bavicha mchukueni Ben Saanane ni jembe kweli, siku ile mnamchagua Petrobras nikawaeleza humu mnamchaguaje mwajiriwa wa Diallo ambaye ni kada wa CCM?.

Wakati mambo yenu ya ndani yana leak humu jf, April 6 2013, nilipandisha bandiko hili

How long did it take kwa nyinyi kukibaini hicho kirusi?.

P
 
Mlitakiwa muangalie mtu kariba ya Dr. Bashiru, sio mnaleta mtu ambaye ameshindwa kushine hata kwenye jimbo lake tu!
Bashiru hopeless kabisa huyu sio yule alikuwa cuf
 
Back
Top Bottom