Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

wewe kweli huna akili pumbavu .
mnajazwaga ujinga na viongozi wenu kwenye mitandao.
mngekuwa mnatakiwa bungeni kiasi icho mpaka kufikia kufoji saini,basi kwanza wasingewakamata viongozi wenu wa chama.
mngeitwa ikulu na Rais mkaongea kisiasa na yakaisha.
mazwazwa mnazugwa na viongozi wenu kwasababu akili zenu ni fupi.
 
Hata yeye mbunge wa Nkasi wapo walioumia kwa ajili yake

Huyo aende maana kaonyesha kujali zaidi ushindi wake binafsi na sio hujuma iliyofanyika kwa ujumla wake. Ila hao viti maalum sioni kwanini waende, wakati ushenzi wote wa uchaguzi huu uko wazi. Huyo wa Nkasi aende kwa utashi wake kama yeye na waliompigia kura, lakini viti maalum viko ndani ya utaratibu wa chama. Nitawadharau sana cd kama taasisi iwapo watakubali kutoa wabunge wa viti maalum, kwenye huu uchaguzi wa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box.
 

Halafu Jiwe anaweza kuamua hata hiyo ruzuku asiwape vilevile, watamfanya nini?
 
Uuh..Aisee!.
Tume ya uchaguzi walitengeneza kanuni ambazo haziwalazimu wasimamizi kutoa fomu za matokeo ili hata kama mgombea ataonewa hatakuwa na ushahidi wa kupeleka mahakamani.

Kifupi Tume ilitumia mamlaka yake kuhakikisha uchaguzi unavurugika na kumtangaza wanayemtaka.
 
CHADEMA ikifa ndio NECCM wanafanya haya? Wewe mwenyewe unajua huo ni uongo.



Chadema ilikufa baada ya Dr slaa kuondoka Hawa wengine wanafanya siasa za majitaka na matukio kwa style hii watabaki kuwa chama Cha upinzani muda wote Ikulu wasahau
 
Mmechukuwa majimbo yote kwa nguvu. Magufuli hana "vikwazo" tena vya kuleta maendeleo. Alete tu maendeleo. Lakini bado CHADEMA wanakunyima usingizi. Umejaza comments zako hapa kwa mambo ya CHADEMA. Pilipili usiyoila yakuwashia nini?
 
Wewe sio mwanachama wa Chadema eti hujui kwanini hakukuwa na picha ya mgombea eti hujui kwanini hakukuwa na mawakala.
 
Shetani yuko na malaika wake pia. Bila shaka unajua uko upande gani.
 
Very stupid of yuh!
Kama mtateua ni kwa faida yenu, na kama hamtoteua ni kwa hasara yenu wenyewe full stop!

Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
 
Tume wanahangaika nini ?? Siwalitaka CCM ibaki peke yake bungeni?
Tume gani wamehangaika? Mnyika kasema hawajateuwa wabunge Sasa Hapo tume inahusikaje? Umsikia Nani wa tume anahangaika?
Mbowe ndo anahangaika Joyce Mukya ateuliwe, usikimbie jukwaani akiteuliwa.
 
Chadema ilikufa baada ya Dr slaa kuondoka Hawa wengine wanafanya siasa za majitaka na matukio kwa style hii watabaki kuwa chama Cha upinzani muda wote Ikulu wasahau
Haaaaa I hope jamii yako iko vzr inaenjoy matunda ya CCM WEKENI FAIR GROUND MUONE KAMA IMEKUFA AU LAAA
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Subiri ujinga wa chadema watakapo teua viti maalum kuunga mkono uchaguzi maana watatumia kura walizopata kwenye sanduku la kura kuteua wabunge.
 
Iloilo mnalolilia nyinyi kutokuwemo.

Umeuona kwenye comments zetu halafu tukibembeleza kuwepo huko bungeni? Kwenye hilo bunge kibogoyo cdm huenda kwa ridhaa ya wananchi na sio kwa mbeleko. Hii ndio sababu wakiwa humo hawana muda wa kumfagilia Yesu wa ccm. Hapa hatulili kwenda bungeni kwa hisani ya yesu kama walivyo wanaccm, bali tunataka maamuzi ya wananchi ya heshimiwe na sio kuchezewa na wahuni wa tume ya ubaguzi na vyombo vya dola.
 
CDM ndio mnazidi kupotea hamtaki kuwapa haki wadada wa CDM kupata viti maalumu kisa Mbowe amekosa ubunge

Hichi chama kina ubinafsi sana
Hahaaa .nawe ni mwanachama wa chadema? Kama siyo wakipotea kabisa na kufutika inakuhusu Nini? Si itakuwa Safi ili chama chako kiwe juuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…