Iloilo mnalolilia nyinyi kutokuwemo.
Subiri ujinga wa chadema watakapo teua viti maalum kuunga mkono uchaguzi maana watatumia kura walizopata kwenye sanduku la kura kuteua wabunge.
Nilikuwa Wakala ilopofika saa 9 na nusu nilitolewa nikaambiwa naleta vurugu,na siku ya maandamano niliandamanaNipe orodha mnayodai imegushiwa
Halafu matokeo ya uchaguzi unayosema yalighushiwa kwanini hakuna wakala aliyepeleka nyaraka NEC kupinga matokeo ya udiwani na ubunge?
Kumbuka nilikushauri sana ukawe wakala ili kushuhudia chama chako kinavyoshindwa kihalali ukagoma😁😁😁
Natumaini unataarifa za shinikizo kutoka baadhi ya wajumbe wa BAWACHA wenye sauti kubwa kutaka waruhusiwe kupewa hizo nafasi, na bado kuna yule mwingine wa Nkasi ambaye amegoma kuachia jimbo. Katika kipindi CHADEMA wanapitia majaribio makubwa ni kipindi hiki, wakikosa msimamo watapoteza kabisa hata imani ndogo wananchi waliyo kuwa nayo na hapo ndio wafitini wao wanapopangojea kwa hamu. Wanawagawa ili wawashinde.Kinacho wafanya mgushi sahihi za wana Chadema kwenda bungeni ni nini wakati mkakati wa miaka mitano ulikua kuua upinzani.
Hayo ni maoni yako. Sheria husika haisemi hivyo. Chadema hawajasema kutotambua kura, bali wanadai kura zilizotangazwa na NEC au ZEC hazihakisi kura halisi (nyingi zaidi) walizopigiwa na wananchi. Kuna ushahidi kadhaa wa kimazingira. Usipende kuhukumu.Vyote hivyo chanzo chake ni matokeo ya uchaguzi Mkuu, kama hutambui matokeo maana yake ukatae na vitokanavyo na matokeo yale
Viongozi wa CHADEMA wanaleta ubimafsi kama ule wa Mrema mwaka 1995 alipokusa urais akataka wale viongozi waliopata ubunge waachie nyadhifa zao za uongozi ndani ya chama cha NCCR, hatua hiyo ilipelekea mgogoro mkubwa uliosambaratisha chama chao.1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
By JJ MANYIKAView attachment 1621903
mkuu unajisumbua tu, majina ya wabunge wa viti maalum waliopendekezwa na chama yalishapelekwa, kilichobaki kwa tume ni kuwateua tu, viongozi wa chadema wanawadanganya sana wanachama wao. ukweli unajulikana, akina halima mdee watarudi bungeni.Hata wakiteua hatuwezi kuwaunga mkono kwa hilo, maana ni kuhalalisha huu uhuni wa kipuuzi.
Mama nimeomba unitafute nikupe zawadi yako..mbona kimyaa..njoo inbox..kitu nikiahidi sitaki kiozee kwangu..ahadi Ni deniHawa watu ni vichaa, mwisho wa siku raia watawadharau na mitutu yao ya bunduki.View attachment 1621896
Ndivyo mnavyotapatapa..na bado sanaKinacho wafanya mgushi sahihi za wana Chadema kwenda bungeni ni nini wakati mkakati wa miaka mitano ulikua kuua upinzani.
Sasa utalazimisha na wananchi wameshailataa Chadema?Umeuona kwenye comments zetu halafu tukibembeleza kuwepo huko bungeni? Kwenye hilo bunge kibogoyo cdm huenda kwa ridhaa ya wananchi na sio kwa mbeleko. Hii ndio sababu wakiwa humo hawana muda wa kumfagilia Yesu wa ccm. Hapa hatulili kwenda bungeni kwa hisani ya yesu kama walivyo wanaccm, bali tunataka maamuzi ya wananchi ya heshimiwe na sio kuchezewa na wahuni wa tume ya ubaguzi na vyombo vya dola.
Ukapimwe akili, toka lini umeikubari Chadema? Ushindi wa Ccm ni wizi kuua na kutumia mabavu angalia chini apo wewe pimbiSasa utalazimisha na wananchi wameshailataa Chadema?
wananchi atuitaki Chadema sio bungeni tu hata mitaani.
Mi huwa sishuulishwi na uzushi na propaganda zenu,kweli nyinyi Chadema mlivyonafujo,inawezekana vipi mumkute mtu na kura feki alafu msimuamishe sura ikakaa upande?Ukapimwe akili, toka lini umeikubari Chadema? Ushindi wa Ccm ni wizi kuua na kutumia mabavu angalia chini apo wewe pimbi View attachment 1622103
mkuu unajisumbua tu, majina ya wabunge wa viti maalum waliopendekezwa na chama yalishapelekwa, kilichobaki kwa tume ni kuwateua tu, viongozi wa chadema wanawadanganya sana wanachama wao. ukweli unajulikana, akina halima mdee watarudi bungeni.
Sasa utalazimisha na wananchi wameshailataa Chadema?
wananchi atuitaki Chadema sio bungeni tu hata mitaani.
Sawa sawa kabisa Nyie maCCM mmelitafuta mtalipata muda utaongea.Chadema ilikufa baada ya Dr slaa kuondoka Hawa wengine wanafanya siasa za majitaka na matukio kwa style hii watabaki kuwa chama Cha upinzani muda wote Ikulu wasahau
Basi wangekaa kimya wanajiendesha kienyeji sana kila kitu twitter wajifunze utaasisi kwa CCM, itafika mda wanatoa tamko watu wanapuuza mana bawajui ni official or notTamko rasmi kuhusu kuteua wabunge wa vitu maalumu, ni mpaka kamati kuu ikae, na pia hawawezi kutoa press release kwa taarifa zisizo rasimi kuhusu njama hizi za NEC labda mpaka hiyo orodha feki itoke ndio wanaweza kutoa press release kukanusha.