Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Watakwambia wewe sio kamanda, utapigwa vita
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Ambapo kwa hiyari yenu mliamua kushiriki tena na kelele nyingi, sijui no hate no fear, mara tuvushe , mbeba maono! Mlivyokuwa mambumbumbu...
 
Uuh..Aisee!.

Ila sidhani kama wagombea wote hawana.
Wazipate wapi wakati mawakala walinyimwa fomu za matokeo na wengine walitolewa wakati wa zoezi la kuhesabu kura?
 
mkuu unajisumbua tu, majina ya wabunge wa viti maalum waliopendekezwa na chama yalishapelekwa, kilichobaki kwa tume ni kuwateua tu, viongozi wa chadema wanawadanganya sana wanachama wao. ukweli unajulikana, akina halima mdee watarudi bungeni.
Yalipelekwa lini ?
 
Unaongea utoto gani dogo? Wakati wa Dr. Slaa cdm ikiwa hai mbona haikuchukua hiyo nchi?
Alitengeneza ushawishi kwa Watanzania pia alishape structure nzuri ya kiongozi from grass root
 
Kama watakaopewa huo ubunge watakuwa ni wana-CCM waliomo ndani ya CDM, watakataaje matakwa ya dikteta boss wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwarushiwa ndizi na wazungu ni halali yetu.

Walifanya maamuzi ya kijinga kupora uchaguzi sasa wanaanza kuteseka.

Wabaki wenyewe kwenye hilo Bunge lao la chama kimoja(Bunge la Ma-CCM) lifanye kazi ya kusifu,kutukuza na kupongeza.
Andikeni barua rasmi kwa NEC na Bunge kudhibitisha haya!!! Msiongee tu!! Ambatanisha na ushahidi.
 
Ni maamuzi yenu na chama chenu, lakini tuliwashauri na tunawashauri mpeleke vichwa vyenu kwaajili ya chama chenu.
Ccm hawashindwi kuwaweka makada wao kwa jina la cdm.
Na hamtakuwa na la kuwafanya kwani hao wabunge watatumika sana kuwachafua nyie.

This time kutakuwa na kambi ya upinzani bungeni itakayokuwa ya ndiyooooo.
PELEKENI DEFENDERS WENU ENYI CDM.
 

Ungeweza kuandika huu utoto wako bila kujifanya mwanacdm, maana hakuna mwanacdm duwanzi wa sampuli yako. Ni kweli cdm inaweza kuwa na changamoto zake kama zilivyo taasisi nyingine zozote, lakini kilichotokea kwenye uchaguzi huu sio kwa sababu ulizotaja ww.

Uchaguzi huu umegubikwa na maagizo na matakwa binafsi ya rais aliye madarakani, kutokana na kiburi cha madaraka anayoyapata kupitia hii katiba mbovu inayamfanya rais ni Mungu.

Hizo namba moja na mbili zako, inabidi uziangalie kwa jicho la siasa za kichovu ndio uweze kuja na huo upuuzi ulioandika. Ni hivi, ule haukuwa uchanguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Chadema ilipotea baada ya kumpa Mnyika ukatibu Mkuu huyu ni hopeless sasa CDM inajifia kifo cha mende
 
Andikeni barua rasmi kwa NEC na Bunge kudhibitisha haya!!! Msiongee tu!! Ambatanisha na ushahidi.

NEC ni sehemu rasmi ya huo wizi uwaandikie barua ya nini? Hao NEC wakati wa mchakato waliandikiwa barua nyingi lakini hakuna lolote la maana walifanya. Mahakama imeonyesha wazi kufanya kazi kwa kuhofia nguvu ya dictator.
 
CHADEMA ilikufa baada ya Dr slaa kuondoka Hawa wengine wanafanya siasa za majitaka na matukio kwa style hii watabaki kuwa chama Cha upinzani muda wote Ikulu wasahau
Soma hoja vyema na uielewe Kisha unaporeply majibu au mchango wako uendane na hoja iliyopo!
Hoja inahusu mapendekezo ya wabunge wa viti maalum na siyo kifo Cha cdm na kufufuka kwa Slaa! Elewa.
 
Chadema ilipotea baada ya kumpa Mnyika ukatibu Mkuu huyu ni hopeless sasa CDM inajifia kifo cha mende
Waweza kumlinganisha na Bashiru wenu? Leo hafai kwa kuwa maiumbua tume na mchakato wake wa kufoji? Ccm na nec yenu mnazidi kutia aibu!
 
Nilikuwa Wakala ilopofika saa 9 na nusu nilitolewa nikaambiwa naleta vurugu,na siku ya maandamano niliandamana


Hadi saivi na kesi ya kujibu mahakaman
Lazima ulileta vurugu kweli😀 si unaona hata maandamano uliambiwa uache ukakaidi🤨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…