Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.

Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Nimependa hiki ulichoandika hapa, sana. Kama viongozi walituambia tuingie barabarani tukagoma, leo wakiamua kuchukua uamuzi mwingine tunataka tena kuwalaumu kwanini? hapa kila mmoja popote alipo ajitazame nafsi yake, ajiulize kwenye haya mapambano yeye alitoa mchango gani? wengi tunapenda sana kupiga kelele kwenye mitandao, but when it comes to action, nothing.
 
Tunapambana na ujambazi wa kisiasa,mfanano upo hapa,Mandela na ANC walipigania demokrasia ya SA,Chadema inapigania demokrasia ya TZ,
Propaganda za kijinga,?ur f...ng,kidding!mtu anapigwa risasi 18,mchana kweupeee?Bado unajiuliza Kama bongo Kuna makaburu?Tena haya ni mabaya maana ni meusi!
Mandela/ANC na Lisu/Chadema,wote wanapigania haki,Uhuru,demokrasia

Kwa msimamo huu nilitegemea Ile siku ya maandamano tungekuwa wote
 
Haha haha. Mkuu umeua. Ila so far hana evidence ya case yake. Halafu inaelekea hashsmauriki maana Mwanasheria wangemuambia kuwa kesi haina mashiko zaidi ya aibu. Wanamlia dola tu.
Mwanasheria mjinga tu ndiyo atamshauri Trump kuwa kesi haina mashiko. Wote wanajuwa Trump hashauriki. Kinachofuata ni kumwambia "there is a good chance to win this case" maneno yasiyo na maana. Baada ya hapo wanaendelea kuponda hela. Bahati nzuri anatumia pesa ya uchaguzi na siyo yake.
 
Kwa msimamo huu nilitegemea Ile siku ya maandamano tungekuwa wote
Nilikuwa Zanzibar,yaliyotendwa huko,yamenikumbusha 1994,wakati watusi na wahutu wanachinjana.

Ebu fikiria wanajeshi wanapita wamejaa kwenye makarandinga,wamefunika nyuso,yanaonekana macho tu,wamebeba marungu,
Kuna vijana walipewa mafunzo,huko Zenj wanaitwa mazombi,wakikukamata,Bora ukutane na Alshaababy watakupa muda wa kuongea,hao mazombi ni kipigo tu,
 
Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote

Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Kwani for the past 5 years si mliwapiga pini bungeni na uraiani? Sasa kwenye kampeni majuzi si mmekiona cha mtema kuni?? Ni hivi upinzani hapa nchini ni watanzania na siyo viongozi.
 
Hata mkiteua mimi sitawalaumu bana. Mmejitahidi kadri ya uwezo na chama lazima kiendelee kuimarishwa kwa namna moja ama nyingine.

Hao mnaowapigania mmewahamasisha kuandamana lakini karibia wote wameuchuna. Viongozi wa chama wanakamatwa na kutishiwa hovyo but hakuna any mass revolt.

Viongozi wa upinzani wanahitaji watu nyuma yao katika kila jambo ikiwemo pale maisha yao yanapokuwa hatarini. Kwa wingi ule ule wa mamilioni waliojitokeza kwenye campaign rallies walishindwaje kujitokeza kuandamana?
 
Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote

Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Kwa ulivyokuwa pimbi wala hujaona hata tangazo la NEC kwamba vyama pekee vyenye sifa ya kutoa viti maalumu ni CCM na CDM? TWAWEZA walishasema nyie majority ni mbumbumbu mzungu wa reli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilikuwa Zanzibar,yaliyotendwa huko,yamenikumbusha 1994,wakati watusi na wahutu wanachinjana.
Ebu fikiria wanajeshi wanapita wamejaa kwenye makarandinga,wamefunika nyuso,yanaonekana macho tu,wamebeba marungu,
Kuna vijana walipewa mafunzo,huko Zenj wanaitwa mazombi,wakikukamata,Bora ukutane na Alshaababy watakupa muda wa kuongea,hao mazombi ni kipigo tu,

Hahahaha
 
Kwa ulivyokuwa wala hujaona hata tangazo la NEC kwamba vyama pekee vyenye sifa ya kutoa viti maalumu ni CCM na CDM? TWAWEZA walishasema nyie majority ni mbumbumbu mzungu wa reli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwani ujui kuwa Rais Ana nafasi kumi?

Au Hilo hujui, Sasa kama chadema hawatapeleka viti maalum na upinzani unatakiwa bungeni then Rais anateua wapinzani tu

Mbona jk alimteua mbatia? Au ulikuwa ujazaliwa
 
Kusikika miaka 5,ndio kitu gani?Mandela aliwekwa jera miaka 27!,we unaogopa kutosikika kwa miaka mitano,Chadema tunayoijenga ni taasisi,ya kuendeleza mapambano kwa miaka 100+ ijayo.
Mandela alikuwa anapigana na makaburu ambao waliwafanya weusi second/third class citizens. Actually weusi waliondolewa uananchi wa Africa ya Kusini na kuwa wananchi wa Bantustans. Ni aibu kuwalinganisha hali ya Watanzania na ile ya Africa Kusini wakati huo. TZ tuko huru, hakuna ubaguzi, na tunachapa kazi bila kusumbuliwa, ila sisi hatuwezi kutumiwa ili kufanikisha "political ambitions" za Mbowe na Lissu. Wao wakiharibu wanakimbilia balozi za nje, sisi tutakimbilia wapi.
 
Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.

Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Bunch of cowards...wakati Wewe uko sebuleni unaangalia Mizengwe, kisimu chako mkononi huku unajipoza kwa balimi... Halafu unabana pu kwamba watu ni cowards, kafie mbele hukooo [emoji17] [emoji17]
 
Ccm mnahangaika nini na mambo yetu ya ndani?
Tupotezenii hatutaki kwenda bungeni

mama D
Mkuu, mnapaswa kufikiria kitaasisi zaidi badala ya kuweka personal interests mbele.

Kwenye kampeni JPM aliwapaka sana kwa wananchi juu ya ususiaji, badala ya kujaribu kujisafisha hiyo shombo ya ususiaji nyie mnataka kujipaka zaidi for the sake of your personal interests. Mnasikitisha!
 
Mandela alikuwa anapigana na makaburu ambao waliwafanya weusi second/third class citizens. Actually weusi waliondolewa uananchi wa Africa ya Kusini na kuwa wananchi wa Bantustans. Ni aibu kuwalinganisha hali ya Watanzania na ile ya Africa Kusini wakati huo. TZ tuko huru, hakuna ubaguzi, na tunachapa kazi bila kusumbuliwa, ila sisi hatuwezi kutumiwa ili kufanikisha "political ambitions" za Mbowe na Lissu. Wao wakiharibu wanakimbilia balozi za nje, sisi tutakimbilia wapi.
Bongo tupo millioni 55+, watumishi wa umma ni Kama 500K, wanaofanya maamuzi nchi iende wapi, wanaotunga sera,wanaoweka vipaumbele, ijengwe zahanati au inunuliwe Ndege, ni Kama watu 1000

Sasa kwenye demokrasia,sie wananchi wa kawaida,cinabidi tuwe na uwezo wa kuwachagua, maana sie kwa Kodi zetu, ndio tunawalipa mishahara,sasa kwenye uchaguzi uliopita, hatukupewa nafasi.

Sasa hapo uhuru upo wapi, Kama unakula ugari kwa kuku,unaona mambo safi,kwa nini isiwe ule ugari na kuku, nje imepaki Vogue,na unaweza kuwalipia ada hata watoto wa ndugu zako?

Nani anasema hapo ulipo, ndio unastahili kuwepo?

Wakati huo huo,unajua maana ya kupigwa risasi 18,Tena mchana kweupeee.
 
Tuliwambia hiki ni chama cha undugu na upendeleo. Wale waliyokuwa wanaambiwa waandamane, hata mmoja hakuteuliwa viti maalumu. Matokeo yake ni vigogo na wake wa vigogo ndiyo wameteuliwa.

Umeambiwa ni fake news boss duh
 
Back
Top Bottom