M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
You're right!Hahaha...!! Good ass!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You're right!Hahaha...!! Good ass!
Ukishirikiana na wachawi nawe utakuwa mchawi tuKaribu ndugu yangu, achana na habari ya kwenda kukaa ubalozini njoo tujenge nchi
Nimependa hiki ulichoandika hapa, sana. Kama viongozi walituambia tuingie barabarani tukagoma, leo wakiamua kuchukua uamuzi mwingine tunataka tena kuwalaumu kwanini? hapa kila mmoja popote alipo ajitazame nafsi yake, ajiulize kwenye haya mapambano yeye alitoa mchango gani? wengi tunapenda sana kupiga kelele kwenye mitandao, but when it comes to action, nothing.Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.
Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Tunapambana na ujambazi wa kisiasa,mfanano upo hapa,Mandela na ANC walipigania demokrasia ya SA,Chadema inapigania demokrasia ya TZ,
Propaganda za kijinga,?ur f...ng,kidding!mtu anapigwa risasi 18,mchana kweupeee?Bado unajiuliza Kama bongo Kuna makaburu?Tena haya ni mabaya maana ni meusi!
Mandela/ANC na Lisu/Chadema,wote wanapigania haki,Uhuru,demokrasia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wamejisahau wakala mpaka wakavimbiwa, sasa wanahangaika kutafuta ile dawa inaitwa Andrew.CCM ni mambumbumbu,imagine walipokuwa wanalawiti uchaguzi walisahau kuwa upinzani kuna sehemu wanahitajika bungeni.Yaani kwao hakuna strategic plan,ni kufanya vitu kama mafisi maji!
Mwanasheria mjinga tu ndiyo atamshauri Trump kuwa kesi haina mashiko. Wote wanajuwa Trump hashauriki. Kinachofuata ni kumwambia "there is a good chance to win this case" maneno yasiyo na maana. Baada ya hapo wanaendelea kuponda hela. Bahati nzuri anatumia pesa ya uchaguzi na siyo yake.Haha haha. Mkuu umeua. Ila so far hana evidence ya case yake. Halafu inaelekea hashsmauriki maana Mwanasheria wangemuambia kuwa kesi haina mashiko zaidi ya aibu. Wanamlia dola tu.
Nilikuwa Zanzibar,yaliyotendwa huko,yamenikumbusha 1994,wakati watusi na wahutu wanachinjana.Kwa msimamo huu nilitegemea Ile siku ya maandamano tungekuwa wote
Kwani for the past 5 years si mliwapiga pini bungeni na uraiani? Sasa kwenye kampeni majuzi si mmekiona cha mtema kuni?? Ni hivi upinzani hapa nchini ni watanzania na siyo viongozi.Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote
Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Kwa ulivyokuwa pimbi wala hujaona hata tangazo la NEC kwamba vyama pekee vyenye sifa ya kutoa viti maalumu ni CCM na CDM? TWAWEZA walishasema nyie majority ni mbumbumbu mzungu wa reli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote
Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
Nilikuwa Zanzibar,yaliyotendwa huko,yamenikumbusha 1994,wakati watusi na wahutu wanachinjana.
Ebu fikiria wanajeshi wanapita wamejaa kwenye makarandinga,wamefunika nyuso,yanaonekana macho tu,wamebeba marungu,
Kuna vijana walipewa mafunzo,huko Zenj wanaitwa mazombi,wakikukamata,Bora ukutane na Alshaababy watakupa muda wa kuongea,hao mazombi ni kipigo tu,
Masikini wana tabu sana ! wenzenu wanagawana nyumba nyinyi mnapewa kofia !Kwetu raha tuu magu2016
Kwa ulivyokuwa wala hujaona hata tangazo la NEC kwamba vyama pekee vyenye sifa ya kutoa viti maalumu ni CCM na CDM? TWAWEZA walishasema nyie majority ni mbumbumbu mzungu wa reli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mandela alikuwa anapigana na makaburu ambao waliwafanya weusi second/third class citizens. Actually weusi waliondolewa uananchi wa Africa ya Kusini na kuwa wananchi wa Bantustans. Ni aibu kuwalinganisha hali ya Watanzania na ile ya Africa Kusini wakati huo. TZ tuko huru, hakuna ubaguzi, na tunachapa kazi bila kusumbuliwa, ila sisi hatuwezi kutumiwa ili kufanikisha "political ambitions" za Mbowe na Lissu. Wao wakiharibu wanakimbilia balozi za nje, sisi tutakimbilia wapi.Kusikika miaka 5,ndio kitu gani?Mandela aliwekwa jera miaka 27!,we unaogopa kutosikika kwa miaka mitano,Chadema tunayoijenga ni taasisi,ya kuendeleza mapambano kwa miaka 100+ ijayo.
Bunch of cowards...wakati Wewe uko sebuleni unaangalia Mizengwe, kisimu chako mkononi huku unajipoza kwa balimi... Halafu unabana pu kwamba watu ni cowards, kafie mbele hukooo [emoji17] [emoji17]Kwa hili sitawalaumu Chadema hata kidogo.
Tundu Lissu na Chadema wamepigania pakubwa sana na ikafikia mahali ikabidi wa-mobilize maandamano nchi nzima, nani kajitokeza kuandamana?
Wale mamilioni waliokuwa wanahudhuria campaign rallies za Lissu wako wapi?
Hao kina Kigogo wako wapi? Wanapowaita Chadema wasaliti wao tuwaite nani?
Nonsense....they're all a bunch of cowards hiding behind keyboards goddamn it!
Masikini wana tabu sana ! wenzenu wanagawana nyumba nyinyi mnapewa kofia !
Mkuu, mnapaswa kufikiria kitaasisi zaidi badala ya kuweka personal interests mbele.
Tuliwambia hiki ni chama cha undugu na upendeleo. Wale waliyokuwa wanaambiwa waandamane, hata mmoja hakuteuliwa viti maalumu. Matokeo yake ni vigogo na wake wa vigogo ndiyo wameteuliwa.Kuhusu hii?View attachment 1622270
Bongo tupo millioni 55+, watumishi wa umma ni Kama 500K, wanaofanya maamuzi nchi iende wapi, wanaotunga sera,wanaoweka vipaumbele, ijengwe zahanati au inunuliwe Ndege, ni Kama watu 1000Mandela alikuwa anapigana na makaburu ambao waliwafanya weusi second/third class citizens. Actually weusi waliondolewa uananchi wa Africa ya Kusini na kuwa wananchi wa Bantustans. Ni aibu kuwalinganisha hali ya Watanzania na ile ya Africa Kusini wakati huo. TZ tuko huru, hakuna ubaguzi, na tunachapa kazi bila kusumbuliwa, ila sisi hatuwezi kutumiwa ili kufanikisha "political ambitions" za Mbowe na Lissu. Wao wakiharibu wanakimbilia balozi za nje, sisi tutakimbilia wapi.
Tuliwambia hiki ni chama cha undugu na upendeleo. Wale waliyokuwa wanaambiwa waandamane, hata mmoja hakuteuliwa viti maalumu. Matokeo yake ni vigogo na wake wa vigogo ndiyo wameteuliwa.