Uchaguzi 2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.

ITV Tanzania

Hata kama hawa 'Marehemu' wangewahi kwenda huko 'Kuapishwa' na ilipangwa 'Kufa' hilo lingetokea tu. Tuache sana kuwa na Lawama na Uzushi.
 
Hili liko wazi mkuu,
Naongea haya kukuunga mkono kwa sababu unajua Mimi si mnafiki. Siongei kwa sababu wa urafiki wetu kwani huwa nakupinga kama Nina mawazo tofauti. Ajali hii imesabajishwa na mwendo mkali lakini na aina ya gari pia. Ingeweza kutokea kwa yeyote mahali popote.
IMG-20201021-WA0047.jpg
 
Japo kuwa kifo ni ahadi, Hakuna kifo kisicho na kisababishi.

Mnyika ana hoja. Kifo ni matokeo ya kuwa "at a wrong place at a wrong time." Pana umbumbu mwingi unaolazimishwa na wahusika ili kukwepa lawama.

Kifo hata cha wa kwenye viroba, kupotea kwa kina Azory, Sanane, jaribio la maisha kwa Lissu nayo tuyakubali kuwa ya kupangwa na mola?

We must be nuts!
 
Namkubali sana John Mnyika kwakuwa namjua ana 'IQ' Kubwa sana ila sijui kwanini katika hili 'amepotoka' kiasi hiki.
unathibitisha Mh.Mnyika ana IQ kubwa sana

sasa mawazo ya kiPopomaz kwamba amepotoka kwa mtu mwenye IQ kubwa yafute

October28 muunge mkono
 
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.

ITV Tanzania

Hata kama hawa 'Marehemu' wangewahi kwenda huko 'Kuapishwa' na ilipangwa 'Kufa' hilo lingetokea tu. Tuache sana kuwa na Lawama na Uzushi.
Usifanye conclusion kwa assumption wewe! Haraka haraka hizo za kujaribu kuwahi mabadiliko hayo zilichangia, wala usibishe. Huwezi kukwepa lawama kirahisi hivyo!!
 
Mnyika ni kilaza mkubwa Yule, na Bora alipokuwa mbunge alikuwa akipata angalau muda wa kuilazimisha akili yake ishike vitu hata isivyoviweza,

Sasa hivi ndio linapalilia ujinga mkubwa kichwani Kwa kuwa hakuna tena u lazima wa kupitia angalau makabrasha ya kutoatoa ujinga, sasa kazi ya Mungu anaitolea ufafanuzi wa kipuuuzi kabisa ule

Anauhakika gani na akisemacho?
 
Akili nyingine hovyo kabisa. Eti kifo ni Mungu anapanga!

mumeua watoto wa watu shauri ya upumbavu wenu tu.
 
Naomba wataalamu wa hoja ya "Kifo kimepangwa na Mungu" waniambie mtoto wa kike wa miaka miwili anayebakwa na libaba la miaka thelathini mpaka kufa ni Mungu huyu huyu ninayemwabudu mimi anakuwa amepanga mtoto huyo mdogo afe kifo cha aina hiyo?
 
R.I.P mawakala ,japo mtasama kifo ni mapenzo ya Mungu ila kuna traveling risk ,wangeapishwa kwenye kata sehemu ambapo wasingelazimika kusafiri nadhani hivyo vifo vingeepukika au visingetokea vyote since wote walikuwa pamoja kwenye Gari
 
Naomba wataalamu wa hoja ya "Kifo kimepangwa na Mungu" waniambie mtoto wa kike wa miaka miwili anayebakwa na libaba la miaka thelathini mpaka kufa ni Mungu huyu huyu ninayemwabudu mimi anakuwa amepanga mtoto huyo mdogo afe kifo cha aina hiyo?

Mnyika ni form six leaver.....
 
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.

ITV Tanzania

Hata kama hawa 'Marehemu' wangewahi kwenda huko 'Kuapishwa' na ilipangwa 'Kufa' hilo lingetokea tu. Tuache sana kuwa na Lawama na Uzushi.
Wewe kila kunavyokaribia uchaguzi unakuwa mjinga mji ga
 
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.

ITV Tanzania

Hata kama hawa 'Marehemu' wangewahi kwenda huko 'Kuapishwa' na ilipangwa 'Kufa' hilo lingetokea tu. Tuache sana kuwa na Lawama na Uzushi.
Wewe ndiye mzushi, huyo anazungumzia matokeo. Ndio maana ma RPC kwa mfano, huwa wanaagiza wananchi wakati wa sherehe mbali kuwa na tahadhari ikiwemo kutulia majumbani, ili kuepuka athari zinazoweza kutokea ikiwemo ajali; nakadhalika. Ni mambo ya kawaida hayo!
 
Back
Top Bottom