Uchaguzi 2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

Uchaguzi 2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

Hao NEC kwanini wabadilishe taratibu dakika za mwisho? na kama walifanya hivyo kwanini wasiongeze muda kufidia muda waliowapotezea hao mawakala wa vyama?

Wote mnaotetea huo upuuzi wa NEC hamna akili.
 
Mnyika ni kilaza mkubwa Yule, na Bora alipokuwa mbunge alikuwa akipata angalau muda wa kuilazimisha akili yake ishike vitu hata isivyoviweza,

Sasa hivi ndio linapalilia ujinga mkubwa kichwani Kwa kuwa hakuna tena u lazima wa kupitia angalau makabrasha ya kutoatoa ujinga, sasa kazi ya Mungu anaitolea ufafanuzi wa kipuuuzi kabisa ule

Anauhakika gani na akisemacho?
Wewe nawe ni wa kujadili haya ya ukilaza? Hata aibu huna......
 
Shida yao Kila kitu Kwao ni Kiki tu
Afu hujiona wao wakipekee nchini
Kushindwa watashindwa tu
 
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.

ITV Tanzania

Hata kama hawa 'Marehemu' wangewahi kwenda huko 'Kuapishwa' na ilipangwa 'Kufa' hilo lingetokea tu. Tuache sana kuwa na Lawama na Uzushi.
Genta, kama hawa mawakala wangeapishwa sehemu ambayo huwa wanaapishwa kwenye chaguzi zote(ofisi za kata) Je hii ajali ingewapata??
 
Hivi vifo hivi lazima vilipwe, lazima Uchaguzi huu tuwatafute MaCCM popote wanapoingia 18 zetu na Sisi tuwaonjeshe umauti, lazima walipe.
#SASABASI
 
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.

ITV Tanzania

Hata kama hawa 'Marehemu' wangewahi kwenda huko 'Kuapishwa' na ilipangwa 'Kufa' hilo lingetokea tu. Tuache sana kuwa na Lawama na Uzushi.
We dada shishi tulia una mihemko sana, wewe unajua hesabu ya kifo wewe,

Mnyika ana hoja ya msingi sana.kuna mambo wamekurupuka bila tahadhari
 
Najua ni siasa ndio maana watu wanatoa sababu za kiutopolo na kumlaumu mnyika.

Kama ulimsikiliza vizuri na ukamuelewa hakina mngekubaliana nae ,amesema mawakala walivyofika kwenye ngazi ya kata kuapishwa msimamizi akawaambia waende ngazi ya tarafa/halmashauri (kumbuka kwamba tangia jana yake waliambiwa wataapishwa ngazi ya kata) ,baada ya msimamizi kubadili gia angani(hujuma) na time ilikuwa ni ndogo ikabidi wakimbizane kwenda ngazi ya halmashauri na hapo ndipo wakapata ajali.

Kifo ni kifo pia inawezekana hata wangefanyia hapo hapo kata wangekufa kama siku yao ilifika lakini angalia risk kubwa ilikuwa wapi,kwenye jengo la kata au barabarani? Na kama kifo chao kimeandikiwa kata maana yake wasingekufa mawakala wa chadema tu peke yao wangekufa wengi kama wangeangukiwa na jengo hapo kata.

Itoshe kusema kubadili gia angani kwa msimamizi wa uchaguzi ndio kimesababisha vifo vya makamanda waliokuwa na dhamira ya kulinda kura za waTZ ili MAFISIMAJI wakiongozwa na JIKONO JANDAMA wasituibie kura zetu.
 
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.

ITV Tanzania

Hata kama hawa 'Marehemu' wangewahi kwenda huko 'Kuapishwa' na ilipangwa 'Kufa' hilo lingetokea tu. Tuache sana kuwa na Lawama na Uzushi.

Yuko sahihi kwanini tume kama sheria na kanuni zina sema watendaji wa kata waapishe mawakala kwanini mawakala walazimike kwenda mbali kwa mkurugenzi wakarundikane huko wa jimbo zima na pengine zaidi ya jimbo moja ili iweje. Hiyo ndiyo sababu ya kifo chao tuache kufunika ukweli kuna usumbufu wa makisudi unatengenezwa na NEC hata kwenye taarifa yao hawajatolea maelezo ni kwanini watendaji wa kata hawatekelezi wajibu wao
 
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.

ITV Tanzania

Hata kama hawa 'Marehemu' wangewahi kwenda huko 'Kuapishwa' na ilipangwa 'Kufa' hilo lingetokea tu. Tuache sana kuwa na Lawama na Uzushi.
Hayo mambo yako huko kwenu ccm ,sisi tunaamini kila tukio lina kisababishi.
 
Pumziko La Amani wapate Wendazao.

Ila hakuna suala la kifo kupangwa, huwa ni maneno ya kufarijiana tu...kila kifo kina kisababishi ndio maana tunaishi kwa kuchukua tahadhari na kutafuta matibabu kila pale tunapougua.
 
Hili liko wazi mkuu,
Naongea haya kukuunga mkono kwa sababu unajua Mimi si mnafiki. Siongei kwa sababu wa urafiki wetu kwani huwa nakupinga kama Nina mawazo tofauti. Ajali hii imesabajishwa na mwendo mkali lakini na aina ya gari pia. Ingeweza kutokea kwa yeyote mahali popote.View attachment 1607468
Nashukuru sana kwa Uwazi, Ukweli na Ujasiri wako 'uliotukuka' wa kutokuwa 'Mnafiki' na Mtanguliza 'Itikadi' ya 'Kisiasa' katika 'Uhalisia' wa Jambo.
 
Genta, kama hawa mawakala wangeapishwa sehemu ambayo huwa wanaapishwa kwenye chaguzi zote(ofisi za kata) Je hii ajali ingewapata??
Kuna 'Binadamu' ambaye ameshaambiwa na mpaka 'Kuhakikishiwa' na Mwenyezi Mungu mahala, muda na Siku ya Kufa? Umehoji 'Upopoma' sana.
 
Kwani Binadamu ambaye ameshaambiwa na mpaka 'Kuhakikishiwa' na Mwenyezi Mungu mahala, muda na Siku ya Kufa? Umehoji 'Upopoma' mno.
Nani kasema kila kifo ni mipango ya Mungu. Unajua kazi ya shetani ni nini??
 
Gentamicin , hapo hata Kama tunaamini vifo Ni karma or whatever, huwezi kuacha kumpa accountability aliyesababisha kwa namna yeyote mazingira au sababu ya kifo.

Kama ingekua hivyo tusingewahukumu Adhabu Kali wanao ua wengine sababu aliyekufa siku yake ilikua imefika.

Hata Mungu hakubaliani na Hilo.
Kibiblia ukifa kijana Ni 70 years.
 
Halafu naitwa GENTAMYCINE ( Gentamycine ) na siyo GENTAMICIN ( Gentamicin ) sawa Mkuu? Siku zingine 'usikosee' Kuandika vyema 'ID' yangu.
 
Back
Top Bottom