Uchaguzi 2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

Uchaguzi 2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.

ITV Tanzania

Hata kama hawa 'Marehemu' wangewahi kwenda huko 'Kuapishwa' na ilipangwa 'Kufa' hilo lingetokea tu. Tuache sana kuwa na Lawama na Uzushi.
Huu ni ujinga kufikiri namna hiyo jaribu kuwa mtu wa haki acha ubabe wa kipumbavu.
 
Mnyika ni kilaza mkubwa Yule, na Bora alipokuwa mbunge alikuwa akipata angalau muda wa kuilazimisha akili yake ishike vitu hata isivyoviweza,

Sasa hivi ndio linapalilia ujinga mkubwa kichwani Kwa kuwa hakuna tena u lazima wa kupitia angalau makabrasha ya kutoatoa ujinga, sasa kazi ya Mungu anaitolea ufafanuzi wa kipuuuzi kabisa ule

Anauhakika gani na akisemacho?
Nikupe mfano halisi kabisa.
Kama aliyekuleta duniani asingekuwepo usiku ule kwenye mkesha wa mbio za mwenge,na kukutana na yule mgambo hatimaye wakawa mwili mmoja,wewe ungetokea??
 
R.I.P mawakala ,japo mtasama kifo ni mapenzo ya Mungu ila kuna traveling risk ,wangeapishwa kwenye kata sehemu ambapo wasingelazimika kusafiri nadhani hivyo vifo vingeepukika au visingetokea vyote since wote walikuwa pamoja kwenye Gari
Hawakuwa na travelling ticknics
 
Back
Top Bottom