Uchaguzi 2020 John Mnyika: Kuongea na vyombo vya Habari, saa 8 mchana

Mnyika ongea na lissu na mbowe ,hatuwezi kuchanga pesa ili mfike TZ nzima kuwapa watu elimu ya uraia ili wawakatae sisiemu na vibaraka wake halafu NEC wakatae hivi hivi kuwaapisha wamakala wa upinzani ,tunataka jibu moja kwamba kama hakuna mawakala hakuna uchaguzi ,na sio kwamba hakuna uchaguzi kwamba chadema wanasusa hapana ,yaani tunagawa mabox ya kura ,tunagawana na vituo vya kupigia kura, kwa kifupi hakuna mtu kupiga kura mpaka mawakala wa upinzani waapishwe wote kwenye vituo vyote 80k+
We peleka ujinga wako Lumumba!
 
Mwaka huu mbona kazi ipo jamaniiii
Mkuu hawa jamaa waneziba masikio,wanajifanya hawaoni, hawasikii,wanalazimisha kile ambacho may be wametaget ,Sasa hacha tuone mwisho wa haya yote, maana tutalia wote,tutaumia wote kwa hili hakuna aliesalama hasa kwetu sie ,Kama uongonzi ni zaidi ya amani na utulivu wa taifa mungu atatenda so mda nasema hawezi liachataifa lake linaangamia kwa maslahi ya watu wache hata 200 hawafiki ,
 
02:04 Haya haya sasa tuamishe akili na msikio huko YouTube jamaa wapo live pale Ufipa
 
John Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea. #SasaBasi.
Saa nane na dakika tano, tupe update
 
Mm hata kama CHADEMA watakosa wakala kwenye kituo changu,nitaipigia kura hivyohivyo,bora waibe kuliko kutoipigia kura kwa kuwaogopa utopolo FC.
 
Mnyika ongea na lissu na mbowe ,hatuwezi kuchanga pesa ili mfike TZ nzima kuwapa watu elimu ya uraia ili wawakatae sisiemu na vibaraka wake halafu NEC wakatae hivi hivi kuwaapisha wamakala wa upinzani ,tunataka jibu moja kwamba kama hakuna mawakala hakuna uchaguzi ,na sio kwamba hakuna uchaguzi kwamba chadema wanasusa hapana ,yaani tunagawa mabox ya kura ,tunagawana na vituo vya kupigia kura, kwa kifupi hakuna mtu kupiga kura mpaka mawakala wa upinzani waapishwe wote kwenye vituo vyote 80k+

Unachekesha sana Mzee

Watu wooote wanaoweza Kugoma na kuingia Barabarani Au kufanya Mgomo wa aina yoyote kwa Sasa hawapo upande wenu yaani wanamkubali JIWE Mzee wa Kazi, Nazungumzia watu wa kawaida sana Wajasiriamali, Makondakta,Mama ntilie,fundi Gereji, Boda boda wat wa kaz ngumu

Ninyi wenye Degree, Master nk. Tuendeleeni kupeana LIKEs humu na kuretweet kwa sana, Wazee wa white colour Jobs [emoji23][emoji23][emoji23]

ila Swala la Mgomo Sahau kabisa Ndugu yangu

Wewe unaweza kwenda Front wewe Maanina ?
 
Mashujaa WA nyuma ya keyboard Hao
Hao wote walio humu siku Tundu anasema twende barabarani watakua kwenye TV twitter na humu kuangalia nani ameenda halafu watakua wana post humu

Makundi yote ambayo walikua wanayategemea saa hizi hayapo upande wao kama ulivyosema

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu

Tusitafute Sababu za kukwimisha Mambo
Maana tukitafuta hatutazikosa na zitakukwamisha

Tutafute Sababu za kuimarisha jambo ili tuweze kuliendeleza liwe bora zaidi ya lilipo

Raisi MAGUFULI ni Raisi aliekuja kipekee sana kwenye kasi ya kuleta Maendeleo. Africa nzima wanajua hili, Ukienda baadhi ya Kurasa za Mitandao ya nje anasifiwa Sana kwnye utendaji wake, Mfano Covid19

Tungepambana humu Mitandaoni Kumuimarisha huyo RAISI wetu ili awe bora as much as it can be, Na Sio kushirikiana na Mtu anaeshirikiana na watu wengine kutaka kuongoza Taifa kitu ambach kina leta ukakasi sana

NAJUA Siwezi Mbadilisha Mtu humu, Endeeleeni kumtukana na kutafuta sbabu za kumtukana MAGUFULI ipo siku miaka ijayo mtasema yule alitufaa sana

Mtakuja kuitafuta hii post [emoji28][emoji28]
 
Unachekesha sana Mzee

Watu wooote wanaoweza Kugoma na kuingia Barabarani Au kufanya Mgomo wa aina yoyote kwa Sasa hawapo upande wenu yaani wanamkubali JIWE Mzee wa Kazi, Nazungumzia watu wa kawaida sana Wajasiriamali, Makondakta,Mama ntilie,fundi Gereji, Boda boda wat wa kaz ngumu

Ninyi wenye Degree, Master nk. Tuendeleeni kupeana LIKEs humu na kuretweet kwa sana, Wazee wa white colour Jobs [emoji23][emoji23][emoji23]

ila Swala la Mgomo Sahau kabisa Ndugu yangu

Wewe unaweza kwenda Front wewe Maanina ?
Sina white color job za kufunga tai ,mimi fundi rangi ,nitaingia kwa road kikinuka mzee ondoa shaka.
 
John Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea. #SasaBasi.
Ccm watashindwa sana uchaguzi huu
 
1603282402738.png
 
Mnyika ongea na lissu na mbowe ,hatuwezi kuchanga pesa ili mfike TZ nzima kuwapa watu elimu ya uraia ili wawakatae sisiemu na vibaraka wake halafu NEC wakatae hivi hivi kuwaapisha wamakala wa upinzani ,tunataka jibu moja kwamba kama hakuna mawakala hakuna uchaguzi ,na sio kwamba hakuna uchaguzi kwamba chadema wanasusa hapana ,yaani tunagawa mabox ya kura ,tunagawana na vituo vya kupigia kura, kwa kifupi hakuna mtu kupiga kura mpaka mawakala wa upinzani waapishwe wote kwenye vituo vyote 80k+
Supported.
 
Naunga mkono
 
Waandishi wa nchi hii nao ni tabula rasa tu.

Press ya mwisho wameenda jamaa kawalisha tangopori la Jamana Printers,kajibiwa kauchuna jumla halafu anawaitia porojo nyingine wanaenda tena.

WTF.
 
Back
Top Bottom