Unachekesha sana Mzee
Watu wooote wanaoweza Kugoma na kuingia Barabarani Au kufanya Mgomo wa aina yoyote kwa Sasa hawapo upande wenu yaani wanamkubali JIWE Mzee wa Kazi, Nazungumzia watu wa kawaida sana Wajasiriamali, Makondakta,Mama ntilie,fundi Gereji, Boda boda wat wa kaz ngumu
Ninyi wenye Degree, Master nk. Tuendeleeni kupeana LIKEs humu na kuretweet kwa sana, Wazee wa white colour Jobs [emoji23][emoji23][emoji23]
ila Swala la Mgomo Sahau kabisa Ndugu yangu
Wewe unaweza kwenda Front wewe Maanina ?