MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
We peleka ujinga wako Lumumba!Mnyika ongea na lissu na mbowe ,hatuwezi kuchanga pesa ili mfike TZ nzima kuwapa watu elimu ya uraia ili wawakatae sisiemu na vibaraka wake halafu NEC wakatae hivi hivi kuwaapisha wamakala wa upinzani ,tunataka jibu moja kwamba kama hakuna mawakala hakuna uchaguzi ,na sio kwamba hakuna uchaguzi kwamba chadema wanasusa hapana ,yaani tunagawa mabox ya kura ,tunagawana na vituo vya kupigia kura, kwa kifupi hakuna mtu kupiga kura mpaka mawakala wa upinzani waapishwe wote kwenye vituo vyote 80k+
Mkuu hawa jamaa waneziba masikio,wanajifanya hawaoni, hawasikii,wanalazimisha kile ambacho may be wametaget ,Sasa hacha tuone mwisho wa haya yote, maana tutalia wote,tutaumia wote kwa hili hakuna aliesalama hasa kwetu sie ,Kama uongonzi ni zaidi ya amani na utulivu wa taifa mungu atatenda so mda nasema hawezi liachataifa lake linaangamia kwa maslahi ya watu wache hata 200 hawafiki ,Mwaka huu mbona kazi ipo jamaniiii
Saa nane na dakika tano, tupe updateJohn Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea. #SasaBasi.
mnyika analudi ccm
Analudi ndio nini ?Mnyika analudi ccm
Mnyika ongea na lissu na mbowe ,hatuwezi kuchanga pesa ili mfike TZ nzima kuwapa watu elimu ya uraia ili wawakatae sisiemu na vibaraka wake halafu NEC wakatae hivi hivi kuwaapisha wamakala wa upinzani ,tunataka jibu moja kwamba kama hakuna mawakala hakuna uchaguzi ,na sio kwamba hakuna uchaguzi kwamba chadema wanasusa hapana ,yaani tunagawa mabox ya kura ,tunagawana na vituo vya kupigia kura, kwa kifupi hakuna mtu kupiga kura mpaka mawakala wa upinzani waapishwe wote kwenye vituo vyote 80k+
True lkn sio kwa kubebwa na kwa kuhujumu upinzani. NEC ihakikishe mawakala wote wanaapishwa, ihakikishe uchaguzi unakuwa wazi, huru na wa haki.Magufuli mitano tena
Mashujaa WA nyuma ya keyboard HaoUnachekesha sana Mzee
Watu wooote wanaoweza Kugoma na kuingia Barabarani Au kufanya Mgomo wa aina yoyote kwa Sasa hawapo upande wenu yaani wanamkubali JIWE Mzee wa Kazi, Nazungumzia watu wa kawaida sana Wajasiriamali, Makondakta,Mama ntilie,fundi Gereji, Boda boda wat wa kaz ngumu
Ninyi wenye Degree, Master nk. Tuendeleeni kupeana LIKEs humu na kuretweet kwa sana, Wazee wa white colour Jobs [emoji23][emoji23][emoji23]
ila Swala la Mgomo Sahau kabisa Ndugu yangu
Wewe unaweza kwenda Front wewe Maanina ?
Ni kweli mkuuMashujaa WA nyuma ya keyboard Hao
Hao wote walio humu siku Tundu anasema twende barabarani watakua kwenye TV twitter na humu kuangalia nani ameenda halafu watakua wana post humu
Makundi yote ambayo walikua wanayategemea saa hizi hayapo upande wao kama ulivyosema
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Sina white color job za kufunga tai ,mimi fundi rangi ,nitaingia kwa road kikinuka mzee ondoa shaka.Unachekesha sana Mzee
Watu wooote wanaoweza Kugoma na kuingia Barabarani Au kufanya Mgomo wa aina yoyote kwa Sasa hawapo upande wenu yaani wanamkubali JIWE Mzee wa Kazi, Nazungumzia watu wa kawaida sana Wajasiriamali, Makondakta,Mama ntilie,fundi Gereji, Boda boda wat wa kaz ngumu
Ninyi wenye Degree, Master nk. Tuendeleeni kupeana LIKEs humu na kuretweet kwa sana, Wazee wa white colour Jobs [emoji23][emoji23][emoji23]
ila Swala la Mgomo Sahau kabisa Ndugu yangu
Wewe unaweza kwenda Front wewe Maanina ?
NEC; mtavuna mnayopanda.Kumekucha
Ccm watashindwa sana uchaguzi huuJohn Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea. #SasaBasi.
Supported.Mnyika ongea na lissu na mbowe ,hatuwezi kuchanga pesa ili mfike TZ nzima kuwapa watu elimu ya uraia ili wawakatae sisiemu na vibaraka wake halafu NEC wakatae hivi hivi kuwaapisha wamakala wa upinzani ,tunataka jibu moja kwamba kama hakuna mawakala hakuna uchaguzi ,na sio kwamba hakuna uchaguzi kwamba chadema wanasusa hapana ,yaani tunagawa mabox ya kura ,tunagawana na vituo vya kupigia kura, kwa kifupi hakuna mtu kupiga kura mpaka mawakala wa upinzani waapishwe wote kwenye vituo vyote 80k+
Tutaona kama wao watakaa kwa amani.NEC; mtavuna mnayopanda.
Naunga mkonoMnyika ongea na lissu na mbowe ,hatuwezi kuchanga pesa ili mfike TZ nzima kuwapa watu elimu ya uraia ili wawakatae sisiemu na vibaraka wake halafu NEC wakatae hivi hivi kuwaapisha wamakala wa upinzani ,tunataka jibu moja kwamba kama hakuna mawakala hakuna uchaguzi ,na sio kwamba hakuna uchaguzi kwamba chadema wanasusa hapana ,yaani tunagawa mabox ya kura ,tunagawana na vituo vya kupigia kura, kwa kifupi hakuna mtu kupiga kura mpaka mawakala wa upinzani waapishwe wote kwenye vituo vyote 80k+