Uchaguzi 2020 John Mnyika: Kuongea na vyombo vya Habari, saa 8 mchana

Hakuna mawakala hakuna uchaguzi period!
Upinzani huu ni wakati wa maamuzi magumu
nccr wamesema mawakala wameapishwa
Mnyika ulichagua mawakala wenye vigezo vipi?
 
huu mwandiko ndio unamuweka jpm madarakani mkuu usisahau tarehe 28 wiki ijayo ile karatasi picha ya juu kabisa weka tiki pale ludi nyumbani kale bia

'ludi' 'kale bia'. Rudi darasani ukajifunze matumizi sahihi ya Kiswahili kwanza. Sibishani na wajinga wasiojua kusoma na kuandika kwa ufasaha.
 
"Waliofanyiwa huko nyuma yanatosha" "sasa basi"
Hivyo wamekata tamaa.

Ni kijani. Mitano tena.

Iyo 28 iyo shoo kali!
 
'ludi' 'kale bia'. Rudi darasani ukajifunze matumizi sahihi ya Kiswahili kwanza. Sibishani na wajinga wasiojua kusoma na kuandika kwa ufasaha.
Mkuu mi sibishani nakuomba usifanye makosa tarehe 28 mkuu weka tiki kwa magufuli akipita lisu itakua matusi mkuu manake watanzania wote tutakua mapunga manake ndio ajenda yake namba moja
 
anaongea na wananchi kupitia vyombo vya habari.
 
21 October 2020
Vuga, Zanzibar
Tanzania

Maalim Seif akutana na mawakala wa Unguja, awaambia uchaguzi wa mara hii ni wa ukombozi

21 Oct 2020
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana hivi leo na mawakala wote wa kisiwa cha Unguja na amewakumbusha kwamba uchaguzi wa mara hii ni wa kutetea mamlaka na ukombozi wa Zanzibar kwa ajili ya vizazi vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…