John Mnyika: Mambo CHADEMA tuliyozungumza na wenzetu wa CCM

Wenzenu wa CCM!! Kumbe ni wenzenu!!! Upinzani wa kisiasa kwishney!
 
... "wenzetu" wa CCM? Hilo neno halijakaa sawasawa.
Hilo lipo sawa. Kuna theory moja siku nikipata wasaa nitaizungumzia...our man behind our enemy line! Ni mambo haya haya ya kuimarisha vyama vya siasa.
 
Acha hizo ulisema lini na wapi.
subiri hapa hapa muda si mrefu! Narudi.
====


 
Ukiukwaji wa haki na kubanwa kwa upinzani haujaanza miaka 6 iliyopita bali tangu mfumo ulipoasisiwa.kinachohitajika ni mabadiliko ya sheria kuu yaani katiba...Chadema ni wanafiki kwani ni lini walikubali matokeo ya uchaguzi? Kusema kuwa maridhiano kutokana na hali ya miaka 6 iliyopita ni kudharau wale waliomeza harufu ya mabomu tangu vyama vingi kuanzishwa
 
Hawa wanasiasa wanafikiria tu ni jinsi gani yakupiga ela mfano eti iundwe tume ya walioumizwa kweli? Yaani pesa ya Walala hoi ndio itumike kuunda tume Kwa ajili ya kujua walioumizwa? Wakishajulikana iweje?
 
Wewe unaangalia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…