John Mnyika: Mambo CHADEMA tuliyozungumza na wenzetu wa CCM

Safi,ni mwanzo mzuri,kile kikosi kazi kinachoitwa cha katiba Kivunjiliwe mbali,ni wasakatonge watupu
Kifo chake kiko dhahiri. Mama akiona mazungumzo yanakwenda vizuri na CDM wameshikilia msimamo wa kutoshiriki kwenye hicho kikosi, kitapoteza umuhimu na hatimaye kufutwa.
 
Eti tume ya usuluhishi na upatanishi wanapatanishwa nani na nani? Waache siasa za hovyo Mimi nilifikiri wanamshauri mama kuhusu matozo na makodi yasioeleweka kumbe nao wanaenda kutafuta fursa Sasa naanza kuamini Tanzania hatuna upinzani wa kweli
 
Ulitaka ziandikweje hizo ni hoja zimeweka ili zijadiliwe wewe unazichukua zilivyo.
 
Eti tume ya usuluhishi na upatanishi wanapatanishwa nani na nani? Waache siasa za hovyo Mimi nilifikiri wanamshauri mama kuhusu matozo na makodi yasioeleweka kumbe nao wanaenda kutafuta fursa Sasa naanza kuamini Tanzania hatuna upinzani wa kweli
Huo sio mwafaka wa tozo bwashee, hayo ni maridhiano yao, ulitaka waridhiane tozo how? Tozo peleka hoja bungeni.
 
chadema sasa ndiyo mwisho wao jpm alikuwa anatumia nguvi kuwatoa kwenye reli mama anatumia ulimi kuwatoa kwenye reli na tayari wameshaanza kuchochora pembeni kwisha habari ya chadema
Kwako wewe yupi ni mzuri? Aliyetumia nguvu au anayetumia ulimi? Unapata taabu sana, the guy is no more.
 
hayo hayatekelezeki muangalie mambo mengine huwezi anza uchunguzi wa vitu kama hivyo ccm ikiwemo madarakani never
Ulikuwemo kwenye majadiliano? Kipindi kile isingewezekana, kwa sasa subiri matokeo.
 
Living in the past syndrome
nakuonyesha tu hao unaowaabudu walivyo vinyonga hasa mbowe linapokuja suala la hela aisee ni noma ona sasa hivi kishaanza kuwafokea msiitukane serikali
 
Mkuu hilo neno ni langu sio la mnyika hata hivyo naona kama limefit vizuri.
... bora umefafanua Mkuu! Ila next time please, never use it in a similar context!
 
Hapatakuwa na uchaguzi 2025, kama una "MACHO" yatumie vzr.
 
Hapatakuwa na uchaguzi 2025, kama una MACHO yatumie vzr.
Unawajua ccm wewe? Watawafikisha mahala mgomee uchaguzi wao wanaendelea na mamluki wao nyie mtaachwa solemba!
 
W
Weye na Mbowe nani mwenye kunuka njaa?
 
Muda wa kupatikana KATIBA mpya umefika, Kila JAMBO Lina muda wake wa kutimia.

Tutapata kitabu kipya 2026, Mungu atamtunza Mzee WARIOBA Hadi wkt huo Ili Aizindue.AMEN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…