M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.
Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya uteuzi wa Magufuli kugombea urais.
Za chini chini zinasema kuna watu walikuwa wamepangwa kumuwekea pingamizi Lissu lakini waliposikia yeye anamwekea Magufuli waka freeze!