TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Inawezekana hao NEC tena kwa kauli ya mkurugenzi 'mahera' kuwa hawezi kuona bosi wake anatukanwa akakaa kimya, hawataweza kufanya lolote, ila endapo umma ukiamua kutaka mabadiriko kwa garama yoyote basi hata huyo mahera atakimbilia musoma kujificha, kila jambo lina muda katika maisha.