Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Hajakuelewa wapi? Ni kujitoa ufahamu tu!naona hujanielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajakuelewa wapi? Ni kujitoa ufahamu tu!naona hujanielewa.
Halafu Robert & Amsterdam atamaliziaNEC ikipata barua ya Chadema halafu isipochukua hatua yoyote itampa Tundu Lissu uwanja mpana zaidi wa kupiga spana za hatari dhidi ya Magufuli, na NEC haiwezi kufanya fyoko. ndiyo tafsiri fupi na rahisi ya uzi huu!
Safi sanaHivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.
Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya uteuzi wa Magufuli kugombea urais.
Za chini chini zinasema kuna watu walikuwa wamepangwa kumuwekea pingamizi Lissu lakini waliposikia yeye anamwekea Magufuli waka freeze!
View attachment 1575884
View attachment 1575886
Mnajichosha bure tu! Huu mda wa thamani ni bora mngeutumia kufocus kwenye kampeni, kutangaza Sera zenu! Hivi hamkumuelewa Bashiru alivyo sema kuwa na faida ya dola? Magu bado ni Raisi, kwenye changamoto lazima atatue! Hatuwezi kuacha kufanya maendeleo eti kisa uchaguzi, hizo zama zishapita mda mrefu! Jifunzeni kuelewa maana ya "hapa kazi tu" Magu 5 tena kazi inaendelea!
Kwanini hakufanya kabla ya kipindi hiki cha kampeni?Mnajichosha bure tu! Huu mda wa thamani ni bora mngeutumia kufocus kwenye kampeni, kutangaza Sera zenu! Hivi hamkumuelewa Bashiru alivyo sema kuwa na faida ya dola? Magu bado ni Raisi, kwenye changamoto lazima atatue! Hatuwezi kuacha kufanya maendeleo eti kisa uchaguzi, hizo zama zishapita mda mrefu! Jifunzeni kuelewa maana ya "hapa kazi tu" Magu 5 tena kazi inaendelea!
Mkuu na zaidi ya yote hapo katiba haijamuongelea Rais inamzungumza Waziri,na sio Rais, Waziri akipewa maagizo anampa mtendaji kwa kuwa Katiba inamzuia yeye kufanya hivyo, lakini aliyeagiza ni Rais wa JMT.
Malamiko ya chadema yanazidi haya wakubwa zako huku hali si haliChadema a.k.a malalamiko fc
KInachofaika hapo ndiyo kampeni yenyewe hiyo ..... kampeni pia ni kuibua weakness ya mgombea mwingine!!Mnajichosha bure tu! Huu mda wa thamani ni bora mngeutumia kufocus kwenye kampeni, kutangaza Sera zenu! Hivi hamkumuelewa Bashiru alivyo sema kuwa na faida ya dola? Magu bado ni Raisi, kwenye changamoto lazima atatue! Hatuwezi kuacha kufanya maendeleo eti kisa uchaguzi, hizo zama zishapita mda mrefu! Jifunzeni kuelewa maana ya "hapa kazi tu" Magu 5 tena kazi inaendelea!
Weka akiba ya maneno wataalam wa Dua na Sala tumejaa hapa Bara na Visiwani ngoja apande Chopa tuanzeHakuna wa kumchukulia Jiwe hatua yeyote hapa Tz!!Hakuna.
NEC haiko huru ni tawi la CCM
Kikwete anamnadi JPM kusini huko,yuko na baby wake Salma.Chadema acheni uwongo.Malamiko ya chadema yanazidi haya wakubwa zako huku hali si haliView attachment 1575952
Ili mradi wameyabainisha mapungufu ya mgombea wa CCM na yameonekana wazi, hiyo peke yake inatosha..........Ndoto za mchana hizi dah NEC hii ya kubadilisha form na kuengua wagombea imwadhibu JPM ? hampo seriously
Kwani kilichoandikwa hapo juu ni uongo..? Mda mwngine mtumie akili zenu vizuri msipende kutolewa point 3 tu muda woteChadema a.k.a malalamiko fc
NEC ikipata barua ya Chadema halafu isipochukua hatua yoyote itampa Tundu Lissu uwanja mpana zaidi wa kupiga spana za hatari dhidi ya Magufuli, na NEC haiwezi kufanya fyoko. ndiyo tafsiri fupi na rahisi ya uzi huu!
So?Hata Chadema ni tawi la CCM
Wagombea wake wa Urais wa 2010 na 2015 washarejea CCM
Hata kwny Mchakato wa Katiba Mpya Chadema kwa kushirikiana na Rafiki yao Lipumba walisusia mchakato Bungen
Delete ccm Oct 28Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.
Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya uteuzi wa Magufuli kugombea urais.
Za chini chini zinasema kuna watu walikuwa wamepangwa kumuwekea pingamizi Lissu lakini waliposikia yeye anamwekea Magufuli waka freeze!
View attachment 1575884
View attachment 1575886