NEC ikipata barua ya Chadema halafu isipochukua hatua yoyote itampa Tundu Lissu uwanja mpana zaidi wa kupiga spana za hatari dhidi ya Magufuli, na NEC haiwezi kufanya fyoko. ndiyo tafsiri fupi na rahisi ya uzi huu!NEC hii ya CCM ichukue hatua? hahaha
NEC haiko huru ni tawi la CCMNEC ikipata barua ya Chadema halafu isipochukua hatua yoyote itampa Tundu Lissu uwanja mpana zaidi wa kupiga spana za hatari dhidi ya Magufuli, na NEC haiwezi kufanya fyoko. ndiyo tafsiri fupi na rahisi ya uzi huu!
Hio ni mbinu tu ili wakitaka kuuonea upinzani,waambiwe ni hatua gani wamemchukulia mgombea wa CCM.NEC hii ya CCM ichukue hatua? hahaha
Ulishaona wapi mbwa anajing'ata mkiaNEC hii ya CCM ichukue hatua? hahaha
Mkuu na zaidi ya yote hapo katiba haijamuongelea Rais inamzungumza Waziri,na sio Rais, Waziri akipewa maagizo anampa mtendaji kwa kuwa Katiba inamzuia yeye kufanya hivyo, lakini aliyeagiza ni Rais wa JMT.Mnajichasha bure tu! Huu mda was thamani ni bora mngeutumia kufocus kwenye kampeni kutangaza Sera zenu! Hivi hamkumuelewa Bashiru alivyo sema kuwa na faida ya dola? Magu bado ni Raisi kwenye changamoto lazima atatue! Hatuwezi kuacha kufanya maendeleo eti kisa uchaguzi, hizo zama zishapita mda mrefu! Jifunzeni kuelewa maana ya "hapa kazi tu" Magu 5 tena kazi inaendelea!
Mnajichasha bure tu! Huu mda was thamani ni bora mngeutumia kufocus kwenye kampeni kutangaza Sera zenu! Hivi hamkumuelewa Bashiru alivyo sema kuwa na faida ya dola? Magu bado ni Raisi kwenye changamoto lazima atatue! Hatuwezi kuacha kufanya maendeleo eti kisa uchaguzi, hizo zama zishapita mda mrefu! Jifunzeni kuelewa maana ya "hapa kazi tu" Magu 5 tena kazi inaendelea!