Uchaguzi 2020 John Mnyika: Tutawaandikia NEC wachukue hatua dhidi ya mgombea Urais wa CCM kwa kukiuka maadili ya uchaguzi

Sisi wananchi tunavyojua ni kwamba Magufuli bado ni Rais wa Tanzania ambapo bado anaendelea kuwatumikia wananchi na mamlaka yake yataisha pindi tu atakapoapishwa Rais mwingine kwa hyo tusitoe ufahamu kuwa Magufuli ana kofia mbili yani ya chama na serikali manake haimaanishi kuwa kwa sababau tupo kwenye kampeni za uchaguzi Sasa maisha yasimame hapana. Tuache kupotosha wananchi kwa hoja dhaifu Kama hizi lakini pia kwa kuwa TUME ni wataalam wa Sheria watawajibu kulingana na miongozo hyo
 
umesoma katiba hapo juu au ubishi wa kijiwe cha kahawa
 
Well calculated move
 
Huyu Mnyika naye kadorolaaaaa kama kuku mwenye mdondo.
 
Wewe hujaelewa nini hapo? Hiyo Kwa Lisu ni advantage, Ana leverage umeelewa! Anatangaza hyo halafu anaitumia kumbamiza! Na NEC wanaguna hawafanyi kitu. Mlisoma shule zipi?
 
Huyu Mnyika naye kadorolaaaaa kama kuku mwenye mdondo.
Mkuu wewe umeajiliwa kwenye vikampuni vya ulinzi (from uzi wako) hujapata ajira tangu utoke chuo

Lakini unawaponda wapinzani asee tz kazi ipo
 
Mkuu wewe umeajiliwa kwenye vikampuni vya ulinzi (from uzi wako) hujapata ajira tangu utoke chuo

Lakini unawaponda wapinzani asee tz kazi ipo
Mimi siyo msukule wa takataka yoyote.

Nazungumza mambo kama ninavyoona.

Ishtoshe kwenye maisha yangu sijawahi kutegemea kusaidiwa na wala hakuna mbuzi yeyote mwenye uwezo wa kuninyang'anya uhuru wangu kwa sababu yoyote ile.
 
Ibara ya 42(3)(a) ya katiba ya JMT, 1977!! Rais atashika madaraka ya kiti cha Rais hadi siku ambayo mtu anayemfuatia kushika kiti hicho atakapo kula kiapo cha kushika madaraka ya Rais.
 
NEC hawatomfanya kitu huyu. Kisingizo ni kwamba alitoa ahadi/maagizo/amri hiyo kama Rais wa Nchi
Hata ziara ya Rais wa Burundi ni kinyume na kanuni za uchaguzi.

Kikwete akiwa Rais alizuiwa kuingia Sweden au Denmark kama sikosei kwa sababu walikuwa kwenye kampeni na waziri mkuu wao alikuwa anagombea, hivyo Kikwete aliambiwa aje baada ya uchaguzi kwa sababu kwa kupindi cha uchaguzi ziara yake itamnufaisha waziri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…