Sio rahisi hivyo, anapoteza mda tu, kama kakosa Sera za kutushawishi akae kimyaa!Wewe hujaelewa nini hapo? Hiyo Kwa Lisu ni advantage, Ana leverage umeelewa! Anatangaza hyo halafu anaitumia kumbamiza! Na NEC wanaguna hawafanyi kitu. Mlisoma shule zipi?
Mnyika hata wewe sheria huzijui za Nchi ambayo mnataka kuitawala? Hivi Rais ni mingoni mwa watendaji wa Serikali?Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.
Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya uteuzi wa Magufuli kugombea urais.
Za chini chini zinasema kuna watu walikuwa wamepangwa kumuwekea pingamizi Lissu lakini waliposikia yeye anamwekea Magufuli waka freeze!
View attachment 1575884
View attachment 1575886
Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.

Wewe Gharama yoyote unayoitaka utaiweza? au Unataka kuchochea tu halafu uwaachie wenzako wateseke.Inawezekana hao NEC tena kwa kauli ya mkurugenzi 'mahera' kuwa hawezi kuona bosi wake anatukanwa akakaa kimya, hawataweza kufanya lolote, ila endapo umma ukiamua kutaka mabadiriko kwa garama yoyote basi hata huyo mahera atakimbilia musoma kujificha, kila jambo lina muda katika maisha.
Ndio mtendaji mkuuMnyika hata wewe sheria huzijui za Nchi ambayo mnataka kuitawala? Hivi Rais ni mingoni mwa watendaji wa Serikali?
Ingawa NEC hawana meno lakini makosa ya Magufuli na wapiga kampeni za CCM hata Mtoto wa shule ya msingi anaweza kuchukua hatua stahili akipewa hata robo tu ya madaraka ya Tume na kanuni/maadili ya uchaguzi mezani kwake.Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.
Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya uteuzi wa Magufuli kugombea urais.
Za chini chini zinasema kuna watu walikuwa wamepangwa kumuwekea pingamizi Lissu lakini waliposikia yeye anamwekea Magufuli waka freeze!
View attachment 1575884
View attachment 1575886
Why,is he above the Law?Hakuna wa kumchukulia Jiwe hatua yeyote hapa Tz!!Hakuna.
We are more than serious, Justice must be saved.Hizo kanuni zilitungwa ili zipambe makaratasi na Kuna wagombea haziwahusu?Ndoto za mchana hizi dah NEC hii ya kubadilisha form na kuengua wagombea imwadhibu JPM ? hampo seriously
Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.
Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya uteuzi wa Magufuli kugombea urais.
Za chini chini zinasema kuna watu walikuwa wamepangwa kumuwekea pingamizi Lissu lakini waliposikia yeye anamwekea Magufuli waka freeze!
View attachment 1575884
View attachment 1575886
Zama zimepita pamoja na katiba au una maana gani mdau? Ila kama wewe ni Mataga basi uko sahihiMnajichosha bure tu! Huu mda wa thamani ni bora mngeutumia kufocus kwenye kampeni, kutangaza Sera zenu! Hivi hamkumuelewa Bashiru alivyo sema kuwa na faida ya dola? Magu bado ni Raisi, kwenye changamoto lazima atatue! Hatuwezi kuacha kufanya maendeleo eti kisa uchaguzi, hizo zama zishapita mda mrefu! Jifunzeni kuelewa maana ya "hapa kazi tu" Magu 5 tena kazi inaendelea!
...shule uliyosoma walikukimbiza kuhitimu soma uelewe kijana wangu, " ...ila endapo umma ukiamua kutaka mabadiriko kwa garama yoyote..."Wewe Gharama yoyote unayoitaka utaiweza? au Unataka kuchochea tu halafu uwaachie wenzako wateseke.
Raisi hajatajwa hapo kwenye hiyo sheria uliyobandika!Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.
Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya uteuzi wa Magufuli kugombea urais.
Za chini chini zinasema kuna watu walikuwa wamepangwa kumuwekea pingamizi Lissu lakini waliposikia yeye anamwekea Magufuli waka freeze!
View attachment 1575884
View attachment 1575886
NEC ikipata barua ya Chadema halafu isipochukua hatua yoyote itampa Tundu Lissu uwanja mpana zaidi wa kupiga spana za hatari dhidi ya Magufuli, na NEC haiwezi kufanya fyoko. ndiyo tafsiri fupi na rahisi ya uzi huu!
Shithole sn jamaa
Na akishinda, yeye na tume ya uchaguzi washitakiwe kwa kunajisi sheria za uchaguzi!Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.