Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Tarime, Rorya huko wacha kabisa, ili uwe mwenyekiti wa kijiji, lazima iwe DON, yaani ukiwa jambazi sugu u mstaafu, mwizi wa mifugo aliyekubuhu unaheshimika na uenyekiti utapata, mtu lelema watamngecha na mapanga!

Ile kanda maalumu tata mraah!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
CCM mwaka huu mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Kijinai(ICC) hawataukwepa asilan!!

Wanachama wangapi wa CCM wameuawa na kuumizwa na wanachama wa CHADEMA tangu kampeni zimeanza? Na wanachama wa CHADEMA walioumia na kuuawa na CCM ni wangapi? Je, wanauana ili wafikishane ICC?

ICC hairudishi uhai wala afya za waathirika tukumbushane kuwa wavumilivu pale tunapokua na misimamo tofauti kwenye siasa.
 
ukiwa upande wa ccm mbona bundiki ni wewe tu kama unakazi nayo unapewa,hukumbuki yule mbunge wa ccm huko kanda ya ziwa alikutwa na silaha kibao na risasi na kesi ikaishia kusikojulikana

Mbunge ni tofauti na Mwenyekiti wa Kijiji, ushawahi kukutana na Mwenyekiti wa Kijiji popote pale?
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
 
Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Wanaomiliki bunduki kihalali au haramu huwa wanazipata wapi?
 
Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Acha upopoma we kamasy!! Yule mbunge wa shinyanga aliyekutwa na siraha 13 alizitoa wapi? Pumbavu
 
Waka hapa ushahidi hapa
 
Maoni tofauti yaendane na Fact sio hisia zenu CCM wapenda Damu za Watu,mna tuonea sana.
 
Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
We vijiji vya Nyamongo unavijua ?!. Vina migodi na waliopo huko wengi wana ukwasi. So usishangae kumiliki bastola
 
Chadema si ndo mnapenda kumwaga damu jamani naona malengo yenu mnayanatimiza. Mshindwe na mlegee. Tunafuta CDM kesho.
 
CCM hawajastaarabika kukubali kushindwa na kuachia madaraka.

Wapo tayari kuchoma moto hii nchi wabaki madarakani.
 
Yaani mtu aanze kufyatua risasi harafu wakurya wanamuangalia tu? Alifanya hivyo mabina (mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza) wasukuma, wakamzimisha hapo hapo. Mnyika huu ni uongo.
Weka akiba ya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…