Viongozi wa huko Wana Mali wewe wamepiga dhahabu enzi hizo za mgodi wa nyamongo.Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
unamjua Kisire?!.Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Maoni tofauti yaendane na Fact sio hisia zenu CCM wapenda Damu za Watu,mna tuonea sana.
Huo ni ujambazi wa kawaida tu, ashikwe na ashughulikiwe! Si ajabu mtahusisha tukio hilo na CCM, kama ilivyo kawaida yenu. Hata hivyo mtu aijuaye Tarime, hawezi kushangaa na matukio kama haya kwani ni part of their life na yamekuwa yakitokea sana hata kabla ya zoezi hili la uchaguzi! Jamani msichanganye issues hapa!Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
Tunaenda kupiga kura na kulinda kura zetu kesho. Huu ndo mwanzo wa ukombozi wa kweli wa Tanzania yetu.Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
Mwenye haki ni nani ya kuua RAIA, ni kada wa CHADEMA!? Mnakumbuka mauaji ya Njombe au mmeyasahau kwa sababu waliotendewa WALINYAMAZA KIMYA!? CHADEMA kuweni realistic na muwe na chembechembe za UTU! There is life after 28/10/2020.Kada wa CCM ana Mamlaka gani ya kuuwa Raia?
Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Waambie bibie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"sasa hapo ccm inahusikaje yani mnyika akifumwa na mchepuko huko basi ni chadema ndio imechepuka
Wale CHADEMA walioua wana CCM unaliongeleaje? Hakuna binadamu timamu anayefurahia kifo cha binadamu mwingine labda awe jambazi anayewaza kitu kimoja tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha mbwembwe unaifaham ICC au unaombea Huu usenge sio.CCM mwaka huu mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Kijinai(ICC) hawataukwepa asilan!!
Sawa tunawatakia kila heri ILA asilaumiwe mtu mkishughulikiwa kwa kuvunja sheria na taratibu za uchaguzi, na waliowatuma hawatakuwepo. Watakuwa wameshasepa Ubelgiji, kazi kwenu!Tunaenda kupiga kura na kulinda kura zetu kesho. Huu ndo mwanzo wa ukombozi wa kweli wa Tanzania yetu.
Huo ni ujambazi wa kawaida tu, ashikwe na ashughulikiwe! Si ajabu mtahusisha tukio hilo na CCM, kama ilivyo kawaida yenu. Hata hivyo mtu aijuaye Tarime, hawezi kushangaa na matukio kama haya kwani ni part of their life na yamekuwa yakitokea sana hata kabla ya zoezi hili la uchaguzi! Jamani msichanganye issues hapa!
Acha Kulopoka ....:ukiwa upande wa ccm mbona bundiki ni wewe tu kama unakazi nayo unapewa,hukumbuki yule mbunge wa ccm huko kanda ya ziwa alikutwa na silaha kibao na risasi na kesi ikaishia kusikojulikana
Mwambie Bibie anaona jina ICC ni sawa na CCM sijui kwa vile yote Yana ma C mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wanachama wangapi wa CCM wameuawa na kuumizwa na wanachama wa CHADEMA tangu kampeni zimeanza? Na wanachama wa CHADEMA walioumia na kuuawa na CCM ni wangapi? Je, wanauana ili wafikishane ICC?
ICC hairudishi uhai wala afya za waathirika tukumbushane kuwa wavumilivu pale tunapokua na misimamo tofauti kwenye siasa.
Unataka ujue ili iweje?Wanaomiliki bunduki kihalali au haramu huwa wanazipata wapi?
Kisire sio mganga njaa bro!! Jamaa wanamahoteli na mabasi yanapiga route kanda ya ziwa. Tatizo mnakariri mkisikia neno kijiji mnadhani kila mtu ni mkulima wa jembe la mkono.Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...