mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
SHAME ON YOU, hizo ndiyo hoja zenu humu JF!? Mkikosa kutumia akili kujibu hoja mnaamua kutumia mat...β¦β¦β¦.. au siyo!?Siku Ndugu zako watakuja kutiwa dole ndio utapata Akili Mkuu ,wewe potezea tu wala hamna shida.
Yaani watu wanafikiria ni rahisi hivyo.Mwambie Bibie anaona jina ICC ni sawa na CCM sijui kwa vile yote Yana ma C mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa kosa gani au umekariri tu mambo ya Lissu na Amsterdam!? ICC haibagui eti aidha ulipigwa risasi 16 za ndege au una mtetezi Wakili mzungu, hiyo haibagui, inakwenda kwa haki na haijalishi wewe ni nani, as long as unavunja hiyo sheria ya ICC watakushughulikia tu. Hivyo hata Lissu inamuhusu pia.CCM mwaka huu mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Kijinai(ICC) hawataukwepa asilan!!
Iyo ndo tunaita ukolon maombolea" ukijumlisha na ma...ignorance ndo inakuwa noma zaidi.[emoji23]Yaani watu wanafikiria ni rahisi hivyo.
Hawa ndio watu wanaoamini kwamba mzungu anajua kila kitu na kiingereza ndio ujanja, Yaani huyu amstadamu kaharibu akili ya za watu sana.
SHAME ON YOU, hizo ndiyo hoja zenu humu JF!? Mkikosa kutumia akili kujibu hoja mnaamua kutumia mat...β¦β¦β¦.. au siyo!?
Missed you babeloveππPicha/kideo wapi!!!!!!!!
πππππ
kuna MwanaCCM ambaye sio kichaa?Taarifa haija kamilika, yaani jamaa ana kichaaa au ilikua vipi?
Tunaenda kupiga kura na kulinda kura zetu kesho. Huu ndo mwanzo wa ukombozi wa kweli wa Tanzania yetu.
Si ajabu. Mimi hapa niba Bastola na najua kuitumia. Nina vibali vyote halali vya kuimiliki.Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Yawezekana Tarime haujiui vizuri au umezaliwa jana ndo maana unauliza bunduki kaitoa wapi? kwa taarifa yako wazee wengi kule ni wastaafu wa jeshi na wanamiliki silaha kihalali kabisa. Jiulize kwa nini inaitwa kanda maalumu? Pia nikukumbushe kuwa Tarime ndo wilaya pekee iliyowahi kutaka kutambuliwa kama eneo huru na kufikia kupandisha bendera yaoMwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Nani kasema Nipo peke yangu??? Matokeo yake utayaona kesho kama nipo peke yangu au tupo wengi!Huoni kama umebaki peke yako unaesema tutalinda kura??
ACT walisema leo hazitapigwa kura, imekuwa kinyume chake.
Missed you babeloveππ
Mbona Mbozi watu wanatengeneza bunduki za magobole wewe unashangaa mbona watu wengi tu wanamiliki bastola na bunduki za kawaidaMwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...
Bado 14hrsπ₯° missed you too πππππ
Nilikuwa naburudika nao humu.. mapema leo..ππ₯³π₯³π₯³π₯³π₯³π₯³π₯³π₯³π₯³
Taarifa zao wanazileta kimangumashi nadhani kuleta taharuki! Lakini, ukweli watanzania wa sasa hivi wameishakuwa waelewa. Wanajua kuchambua wenyewe habari, na hii ni hatua kubwa na muhimu.Taarifa haija kamilika, yaani jamaa ana kichaaa au ilikua vipi?
Poleni sana.Tunashukuru kwa ujumbe.Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
Kwani waliomwua Mawazo walikuwa vichaa?Taarifa haija kamilika, yaani jamaa ana kichaaa au ilikua vipi?
Wanajisahaulisha... Ditopile... Malima... nkukiwa upande wa ccm mbona bundiki ni wewe tu kama unakazi nayo unapewa,hukumbuki yule mbunge wa ccm huko kanda ya ziwa alikutwa na silaha kibao na risasi na kesi ikaishia kusikojulikana
π€£π€£π€£ eti "Labda vijiji vya mara ni tofauti na vijiji vingine vya nchi yetu "Mwenyekiti wa Kijiji Bunduki kaipata wapi achilia mbali hata kujua kuitumia? Basi labda Vijiji vya huko Mara ni tofauti ni Vijiji vingine nivijuavyo sehemu nyingine za nchi yetu, ...