We mpuuzi kweli,unatuuliza sisi kwani we uko nchi gani? Acheni propaganda za kitoto.Nimejaribu kuangalia maelezo ya mdude kuhusu kutekwa nikawa na maswali haya. Naamini yumo humu hivyo basi anijibu ama kama kuna anae jua anisaide pengine sikusikia.
1. Hizo siku zote nne alikuwa amewekwa wapi?
2. Alipewa chakula?
3. Mateso ya siku hizo zote yalikuwa ni kupigwa kichwa tu? Mbona hakina hata kovu?
4. Alitoa maelezo gani kwa watesi wake? Aliomba msamaha wamusamehe? Aliwaambia hata wakimuua ataendeleza harakati?
5. Hao watesi wake walipomuacha walimupatia maelekezo gani?
Utetezi wa mdude umekuwa too low to confirm japo nakemea kwa nguvu zote hawa watu wasio julikana.
Nimejaribu kuangalia maelezo ya mdude kuhusu kutekwa nikawa na maswali haya. Naamini yumo humu hivyo basi anijibu ama kama kuna anae jua anisaide pengine sikusikia.

Kajitekenya mwenyewe badala ya kucheka kumbe analia machozi...Nimejaribu kuangalia maelezo ya mdude kuhusu kutekwa nikawa na maswali haya. Naamini yumo humu hivyo basi anijibu ama kama kuna anae jua anisaide pengine sikusikia.
1. Hizo siku zote nne alikuwa amewekwa wapi?
2. Alipewa chakula?
3. Mateso ya siku hizo zote yalikuwa ni kupigwa kichwa tu? Mbona hakina hata kovu?
4. Alitoa maelezo gani kwa watesi wake? Aliomba msamaha wamusamehe? Aliwaambia hata wakimuua ataendeleza harakati?
5. Hao watesi wake walipomuacha walimupatia maelekezo gani?
Utetezi wa mdude umekuwa too low to confirm japo nakemea kwa nguvu zote hawa watu wasio julikana.
1. Alipoteza fahamu, waulize watekaji walimuweka wapi, alizinduka akiwa porini.
2. Alikuwa amepoteza fahamu, waulize madaktari mtu akipoteza fahamu anakula vipi?
3. Alikuwa amevimba uso mzima siku amepatikana picha zipo, makovu ni matokeo ya vidonda, je ulimuona na kidonda?
4. Kuomba msamaha, kwani watekaji walimuambia kosa lake?
5. Walimuacha wakijua wamemuua, unaweza kumpa maelekezo maiti?
Mkuu ulishaangalia muvi? Mtu anapigwa lisasi anavunjik vunjika na picha zinatoka afu kesho yake unamuona yuko anakula starehe?1. Alipoteza fahamu, waulize watekaji walimuweka wapi, alizinduka akiwa porini.
2. Alikuwa amepoteza fahamu, waulize madaktari mtu akipoteza fahamu anakula vipi?
3. Alikuwa amevimba uso mzima siku amepatikana picha zipo, makovu ni matokeo ya vidonda, je ulimuona na kidonda?
4. Kuomba msamaha, kwani watekaji walimuambia kosa lake?
5. Walimuacha wakijua wamemuua, unaweza kumpa maelekezo maiti?
Mkishashindilia na kuparamia viporo vyenu vya kande iliyochacha nakuja huku jamvini kujamber jamber na kutuaribia na kutuchafulia hali ya hewaMkuu ulishaangalia muvi? Mtu anapigwa lisasi anavunjik vunjika na picha zinatoka afu kesho yake unamuona yuko anakula starehe?
Mateso ya kipigo anacholia Mdude kinaweza pona kwa siku Mbili kweli hata kovu hakuna?
Tuna dadisi tu mkuu.Mkishashindilia na kuparamia viporo vyenu vya kande iliyochacha nakuja huku jamvini kujamber jamber na kutuaribia na kutuchafulia hali ya hewa
'Think' Dr. WatsonWe mpuuzi kweli,unatuuliza sisi kwani we uko nchi gani? Acheni propaganda za kitoto.
Kumbuka mdude ni mwana siasa.Nimejaribu kuangalia maelezo ya mdude kuhusu kutekwa nikawa na maswali haya. Naamini yumo humu hivyo basi anijibu ama kama kuna anae jua anisaide pengine sikusikia.