John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

Ninasikitishwa sana na kuendelea kwa haya matukio. Napata hasira sana ninaposikia watu wasiojulikana. Je vyombo vimeshindwa mpk wanafanya tukio ama?
 
Mwenyezi Mungu amnusuru saa hizi anachezea kichapo cha kufa mtu huku akiwa kazibwa macho ili asiwaone wabaya wake huku kukiwa na mwanga mdogo sana.

Ben Rabiu Saanane ana miaka sasa
Azory gwanda ana siku 500+
Mdude chadema day one

Mungu ibariki Tanzania

Naomba wapenda amani popote duniani ulipo kila ukiamka andika namba ya siku hiyo tunaanza Leo ambapo mdude chadema ametekwa


Day 1
 
Ben Rabiu Saanane ana miaka sasa
Azory gwanda ana siku 500+
Mdude chadema day one

Mungu ibariki Tanzania

Naomba wapenda amani popote duniani ulipo kila ukiamka andika namba ya siku hiyo tunaanza Leo ambapo mdude chadema ametekwa


Day 1
Damu yoyote inayomwagwa bila hatia italipwa tu , tena italipwa pakubwa mno ! Omar Al - Bashir nchini Sudan alikuwa wa pili kwa ukubwa baada ya Mungu , Mtume aliwekwa namba 3 , leo yuko wapi ?

Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Polisi waanze na huyu
1088359
 
Mungu ni wetu sote, sipati picha wakosoaji wang'api wadogo wadogo wamepotea kmyakimya!!!?. Tupaze sauti wa mduduchadema iwe nguvu kwa wengineo.
 
Mkuu kuhesabu siku kutafanya arudi.??? siku wananchi tukiacha uoga na kudeal na hawa watekaji ndio suluhu ya haya mambo yatapatikana
Ndio maana zacharia kule Musoma aliwatandika risasi wakaamua kumfungulia kesi ya uhujum uchumi badala ya kesi ya kudhuru maana waliona hawatachomoka.
 
Back
Top Bottom