John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

We kalia mawazo mgando hivyo hivyo,lakini nakuhakikishia kuwa kama kiongozi ataelekeza hivyo basi utaona shughuli yake.
Wewe unaishi kwenye nchi ya kusadikika ya Tz......Tz yupi wa kubizana na mtu mwenye bunduki
 
Labda amejiteka kama Abdul Nondo ?
Hivi we jamaa utafikiri kweli kabla ya kuandika? Utasemaje amejiteka ingali hapo ulipotoa hiyo quotation imeeleza wazi Watu wenye silaha Na magari mawili ndio wamemchukua? KWANI NI LAZIMA UIONYESHE JAMII KILEMA CHAKO CHA KUFIKIRI KWA UWAZI HIVYO?
 
Wewe unaishi kwenye nchi ya kusadikika ya Tz......Tz yupi wa kubizana na mtu mwenye bunduki

Tarime wanaweza sio wanaume wa mikoani,wasiojulikana wa Tarime waliwekwa MTU kati ili watairiwe wakaokolewa na askari.Waliokwenye risk ya wasiojulikana nao wajihami waonyeshe mfano Sheria zinawalinda,hata wakikuchukua nao mmoja ushamtanguliza.Ni heri wakuue eneo la tukio ili hata ndugu zako watoe heshima za mwisho kuliko kupotea kabisa km Ben,ndugu ubaki njiapanda.
 
Tikio hili linaenda kuidharirisha taasisi ya urais, muda utaongea labda wasi mben saa 8
 
Watanzania yani kama hili suala mtalichukulia la kawaida kila mara mtu anachukuliwa na magari yasiyo na plate number na pia polisi kuendele kukana kwamba hawahusiki hili jambo tutalizoea na itakuwa shida.
Ifikie mahali tulikatae kwa umoja ikiwezekana wakitokea watu wa hivyo wananchi tusiogope silaha tutoke mbele tuonyeshe mfano kwa wachache hao watekaji kuwapiga na kuua hata wengine watajifunza.
Tuacheni uoga na ss tuanze kutega mitego ya kuwanasa,ifikie mahali hali hii ikome mara moja kwa kuwaadabisha.

Pia nimshauri mwenyekiti wa cdm taifa ita vyombo vya habari elekeza kuwa inapotokea jambo kama hilo na sisi tuwajibike kujibu lkn ukikaa kimya kila linapotokea tunaona kawaida litazoeleka.
Viongozi mfike mahali muelewe tu kwamba pia hampendwi ktk taifa hili hasa wa upinzani hivyo hakuna haja ya kuweka ustaarabu mbele,haki lazima ipiganiwe kwa vitendo sio maneno ya faraja faraja kama watu wako msibani,tunapigania uhai wetu wapinzani.

Swelana.
Kama wao ni chanzo cha kupotezwa wapotezwe Tu Kwa maslai mapana ya nchi maana mtu anayesababisha kupotezwa anaweza yeye kwa upande mwingine amepoteza wengi Kwa njia ya moja kwa moja au matendo yake yanasababisha watu wengine kupotea, maana mafisadi wanapoteza watu sana.
 
Mkuu

Kuna mijitu ya CCM na mingine inafanya kazi kwenye hii regime yanakenua meno nje hayajui na yenyewe kuna siku yatageukiwa it is the matter of time tu.

Ni majinga tu ndio yanayofurahia huu upumbavu....
 
Kitu hiki kifike mahali tukatae kuvamiwa watu
Watanzania yani kama hili suala mtalichukulia la kawaida kila mara mtu anachukuliwa na magari yasiyo na plate number na pia polisi kuendele kukana kwamba hawahusiki hili jambo tutalizoea na itakuwa shida.
Ifikie mahali tulikatae kwa umoja ikiwezekana wakitokea watu wa hivyo wananchi tusiogope silaha tutoke mbele tuonyeshe mfano kwa wachache hao watekaji kuwapiga na kuua hata wengine watajifunza.
Tuacheni uoga na ss tuanze kutega mitego ya kuwanasa,ifikie mahali hali hii ikome mara moja kwa kuwaadabisha.

Pia nimshauri mwenyekiti wa cdm taifa ita vyombo vya habari elekeza kuwa inapotokea jambo kama hilo na sisi tuwajibike kujibu lkn ukikaa kimya kila linapotokea tunaona kawaida litazoeleka.
Viongozi mfike mahali muelewe tu kwamba pia hampendwi ktk taifa hili hasa wa upinzani hivyo hakuna haja ya kuweka ustaarabu mbele,haki lazima ipiganiwe kwa vitendo sio maneno ya faraja faraja kama watu wako msibani,tunapigania uhai wetu wapinzani.

Swelana.
 
Tikio hili linaenda kuidharirisha taasisi ya urais, muda utaongea labda wasi mben saa 8
Kashaonja damu za watu hataacha, na akimaliza tu CHADEMA anaanza CCM wenzie.. Kina Bashe, Nape, Kinana, Shabiby, Mo, makamba n.k wajiandae
 
Kama wao ni chanzo cha kupotezwa wapotezwe Tu Kwa maslai mapana ya nchi maana mtu anayesababisha kupotezwa anaweza yeye kwa upande mwingine amepoteza wengi Kwa njia ya moja kwa moja au matendo yake yanasababisha watu wengine kupotea, maana mafisadi wanapoteza watu sana.

Hivi ni nani mwenye authority ya kupima kiwango cha righteousness cha mtu kama unavyosema?

Mpimaji awe yeye,mtoa hukumu awe yeye,nk?

Is this a Junta regime au nini?

Wote wanatekwa hawajawahi mpoteza mtu,hata kama wangetaka,hawana hiyo apparatus!

Wanaotekwa ni sababu tu ya kukosoa makosa ya serikali...

Hivi kwanini huo utekaji walao wateke mafisadi yote?Na wakati wapo wanadunda mtaani..

Unaenda kuua mtu kama Tundu Lissu anaetoa mawazo mbadala....Au mwandishi masikini kama Azori,au mtu kama Mdude mwenye kuongea mawazo tofauti?

This is insane!
 
Utajibu na nini mkubwa kama wanakuja zaidi ya 4 na kila mmoja kalemewa risasi 30 kwenye smg wewe utafanya nini wakati huo
Watanzania yani kama hili suala mtalichukulia la kawaida kila mara mtu anachukuliwa na magari yasiyo na plate number na pia polisi kuendele kukana kwamba hawahusiki hili jambo tutalizoea na itakuwa shida.
Ifikie mahali tulikatae kwa umoja ikiwezekana wakitokea watu wa hivyo wananchi tusiogope silaha tutoke mbele tuonyeshe mfano kwa wachache hao watekaji kuwapiga na kuua hata wengine watajifunza.
Tuacheni uoga na ss tuanze kutega mitego ya kuwanasa,ifikie mahali hali hii ikome mara moja kwa kuwaadabisha.

Pia nimshauri mwenyekiti wa cdm taifa ita vyombo vya habari elekeza kuwa inapotokea jambo kama hilo na sisi tuwajibike kujibu lkn ukikaa kimya kila linapotokea tunaona kawaida litazoeleka.
Viongozi mfike mahali muelewe tu kwamba pia hampendwi ktk taifa hili hasa wa upinzani hivyo hakuna haja ya kuweka ustaarabu mbele,haki lazima ipiganiwe kwa vitendo sio maneno ya faraja faraja kama watu wako msibani,tunapigania uhai wetu wapinzani.

Swelana.
 
Ishakuwa shida sasa..Kuishi kwa mashaka kama swala mbugani, Mungu tunusuru..!
 
Back
Top Bottom