Pre GE2025 John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ni muhimu kujikita kwenye hoja mahususi mezani, na mengine ni muhimu yakawekwa au kuandikwa vyema na kwa kina ili kuyatolea ufanuzi muafaka zaidi,

hata hivyo,
bado Jeshi la police Tanzania, ni miongni mwa majeshi imara na ya kisasa zaidi katika kukabiliana na magenge ya kihalifu Africa Mashariki na eneo lote la maziwa makuu πŸ’
 
Tangu zamani polisi wanafahamika kwa utekaji, kubambikia kesi na mauaji ya raia? Kilichoongezeka sasa Kamanda wa utekaji amefahamika kuwa ni Kamishina Awadhi Haji!
Huyu ndio mkuu wa hizi operesheni na Mafunzo kama cheo chake kinavyosema.
 
Bado kuna mambo huyajui na laiti ungekuwa haya mavi usingekunya hapa
 
Jambazi aliyevalishwa nguo za polisi na kupandishwa vyeo kulinda waporaji ni fedheha kwa Taifa! Siasa ni hoja na siyo viroja kama ambavyo CCM na Samia wanatuonyesha!
 
Jambazi aliyevalishwa nguo za polisi na kupandishwa vyeo kulinda waporaji ni fedheha kwa Taifa! Siasa ni hoja na siyo viroja kama ambavyo CCM na Samia wanatuonyesha!
magenge ya kihalifu pia walikua na sare maalumu na ilisadia na kurahisisha sana kwa vyombo imara vya ulinzi na usalama kuyatambua na kuyadhibiti, kuyadhoofisha na kuyasambatatisha kabisa, na kurejesha hali ya amani na Utulivu eneo husika kwa haraka, na kuondoa taharuki kwa wanainchi πŸ’

siasa isitumike vibaya na kuleta taharuki na kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wanainchi katika maeneo yao πŸ’
 
Jambazi raia akikamatwa hufunguliwa mashtaka ya jinai akiachiwa huru fahamu mamlaka iliyomkamata ndiyo jambazi mwenyewe! Wananchi tumewafahamu majambazi ambao wanaongozwa na jambazi Awadhi Haji!
 
Jambazi raia akikamatwa hufunguliwa mashtaka ya jinai akiachiwa huru fahamu mamlaka iliyomkamata ndiyo jambazi mwenyewe! Wananchi tumewafahamu majambazi ambao wanaongozwa na jambazi Awadhi Haji!
kiusalama,
muhalifu kaidi ni sharti adhoofishwe kwanza, adhubitiwe ndipo sasa hatua nyingine kama ambavyo umeeleza zinaweza kufuata...

inafanyika hivyo ili kunusuru kutokea taharuki, uharibifu na pengine maafa yasisababishwe na mtuhumiwa kaidi na pengine aliejizatiti kuleta fujo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…