MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Chunga ndimi Yako wewe usiejulikanamtimamu unaishia kupata mihemko, ghadhabu na makasiriko tu, baada ya kuona ukweli umeelezwa bayana bila mbambamba yoyote, right?🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chunga ndimi Yako wewe usiejulikanamtimamu unaishia kupata mihemko, ghadhabu na makasiriko tu, baada ya kuona ukweli umeelezwa bayana bila mbambamba yoyote, right?🐒
ni muhimu kujikita kwenye hoja mahususi mezani, na mengine ni muhimu yakawekwa au kuandikwa vyema na kwa kina ili kuyatolea ufanuzi muafaka zaidi,Hivi yule Kijana mfanyabiashara wa Madini aliyeporwa fedha zake na kisha kuuawa na Askari Polisi kule Mtwara alikaidi kutii Sheria gani???? Vipi kuhusu suala la Hamza Mohammed wa mauaji ya Selander Bridge kule Dsm ambaye naye aliporwa madini yake na Maaskari Polisi, naye alikaidi kutii Sheria gani??
unaejulikana,Chunga ndimi Yako wewe usiejulikana
Huyu ndio mkuu wa hizi operesheni na Mafunzo kama cheo chake kinavyosema.Tangu zamani polisi wanafahamika kwa utekaji, kubambikia kesi na mauaji ya raia? Kilichoongezeka sasa Kamanda wa utekaji amefahamika kuwa ni Kamishina Awadhi Haji!
Mmeshiba Kodi zetu wajinga nyieunaejulikana,
makasiriko na vitisho vya kinyoonge namna hiyo ni vya nni sasa aiseee 🤣
Bado kuna mambo huyajui na laiti ungekuwa haya mavi usingekunya hapaTume kuwa tuki jiuliza juu ya kutekwa na kupotea kwa ndugu zetu watanzania kwa ombwe kubwa, lawama zilipelekwa kwa polisi na vyombo vingine vya usalama huku polisi kumpitia IGP na waziri Masauni wakitoka hadharani na kukanusha, ili fika mahali hadi Mh Rais aka wajibu Watanzania kwa vijembe kwamba wana jiteka wenyewe.
Kwa hili la juzi Mbeya, watu kukamatwa na polisi, badala ya kupelekwa mahali walipo kamatwa wana pelekwa Iringa, Njombe, Dar, Mwanza huu sii utekaji? Hawa si ndio wanao fanya mambo ya wasio julikana? Kwanini watuhumiwa wasafirishwe usiku bila kjpewa taarifa au hata ndugu na marafiki kujulishwa?
Polisi watoke hadharani wajibu hizi shutuma. Tuna hitaji utawala wa sheria na sio utawala wa kimabavu..
kwani wewe bado kupata chakula ya mchana gentleman?Mmeshiba Kodi zetu wajinga nyie
Jambazi aliyevalishwa nguo za polisi na kupandishwa vyeo kulinda waporaji ni fedheha kwa Taifa! Siasa ni hoja na siyo viroja kama ambavyo CCM na Samia wanatuonyesha!unaemtaja ni miongni mwa makamanda waandamizi shupavu, jasiri na alietayari kujitolea kwa hali na mali kulinda umoja, amani na Utulivu wa waTanzania dhidi ya magenge ya kihalifu maeneo mbalimbali...
daima atakumbukwa kwa weledi na umahiri wake mkubwa katika kuzima, kudhibiti, kudhoofisha na kuyasambatatisha magenge ya kihalifu nchini, historia ya Tanzania itamkumbuka 🐒
Ndiye jambazi mkuu!Huyu ndio mkuu wa hizi operesheni na Mafunzo kama cheo chshe kinavyosema.
Nyanokokwani wewe bado kupata chakula ya mchana gentleman?
kodi, tozo na ushuru wako na wangu ni kwa manufaa na maendeleo ya Taifa zima Tanzania 🐒
tuliza ball na relax,Nyanoko
magenge ya kihalifu pia walikua na sare maalumu na ilisadia na kurahisisha sana kwa vyombo imara vya ulinzi na usalama kuyatambua na kuyadhibiti, kuyadhoofisha na kuyasambatatisha kabisa, na kurejesha hali ya amani na Utulivu eneo husika kwa haraka, na kuondoa taharuki kwa wanainchi 🐒Jambazi aliyevalishwa nguo za polisi na kupandishwa vyeo kulinda waporaji ni fedheha kwa Taifa! Siasa ni hoja na siyo viroja kama ambavyo CCM na Samia wanatuonyesha!
Nyanoko Hangetuliza ball na relax,
jitahidi ueleweke vyema kwa wana JF gentleman 🐒
ile muhimu zaidi usiconfuse wala kutukana members gentleman 🐒Nyanoko Hange
Nyanoko Hange geteile muhimu zaidi usiconfuse wala kutukana members gentleman 🐒
Jambazi raia akikamatwa hufunguliwa mashtaka ya jinai akiachiwa huru fahamu mamlaka iliyomkamata ndiyo jambazi mwenyewe! Wananchi tumewafahamu majambazi ambao wanaongozwa na jambazi Awadhi Haji!magenge ya kihalifu pia walikua na sare maalumu na ilisadia na kurahisisha sana kwa vyombo imara vya ulinzi na usalama kuyatambua na kuyadhibiti, kuyadhoofisha na kuyasambatatisha kabisa, na kurejesha hali ya amani na Utulivu eneo husika kwa haraka, na kuondoa taharuki kwa wanainchi 🐒
siasa isitumike vibaya na kuleta taharuki na kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wanainchi katika maeneo yao 🐒
kiusalama,Jambazi raia akikamatwa hufunguliwa mashtaka ya jinai akiachiwa huru fahamu mamlaka iliyomkamata ndiyo jambazi mwenyewe! Wananchi tumewafahamu majambazi ambao wanaongozwa na jambazi Awadhi Haji!
Kanawe Sasa inatoshaWakifanya makosa wasikamatwe?