Pre GE2025 John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

Pre GE2025 John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi yule Kijana mfanyabiashara wa Madini aliyeporwa fedha zake na kisha kuuawa na Askari Polisi kule Mtwara alikaidi kutii Sheria gani???? Vipi kuhusu suala la Hamza Mohammed wa mauaji ya Selander Bridge kule Dsm ambaye naye aliporwa madini yake na Maaskari Polisi, naye alikaidi kutii Sheria gani??
ni muhimu kujikita kwenye hoja mahususi mezani, na mengine ni muhimu yakawekwa au kuandikwa vyema na kwa kina ili kuyatolea ufanuzi muafaka zaidi,

hata hivyo,
bado Jeshi la police Tanzania, ni miongni mwa majeshi imara na ya kisasa zaidi katika kukabiliana na magenge ya kihalifu Africa Mashariki na eneo lote la maziwa makuu 🐒
 
Tangu zamani polisi wanafahamika kwa utekaji, kubambikia kesi na mauaji ya raia? Kilichoongezeka sasa Kamanda wa utekaji amefahamika kuwa ni Kamishina Awadhi Haji!
Huyu ndio mkuu wa hizi operesheni na Mafunzo kama cheo chake kinavyosema.
 
Tume kuwa tuki jiuliza juu ya kutekwa na kupotea kwa ndugu zetu watanzania kwa ombwe kubwa, lawama zilipelekwa kwa polisi na vyombo vingine vya usalama huku polisi kumpitia IGP na waziri Masauni wakitoka hadharani na kukanusha, ili fika mahali hadi Mh Rais aka wajibu Watanzania kwa vijembe kwamba wana jiteka wenyewe.
Kwa hili la juzi Mbeya, watu kukamatwa na polisi, badala ya kupelekwa mahali walipo kamatwa wana pelekwa Iringa, Njombe, Dar, Mwanza huu sii utekaji? Hawa si ndio wanao fanya mambo ya wasio julikana? Kwanini watuhumiwa wasafirishwe usiku bila kjpewa taarifa au hata ndugu na marafiki kujulishwa?
Polisi watoke hadharani wajibu hizi shutuma. Tuna hitaji utawala wa sheria na sio utawala wa kimabavu..
Bado kuna mambo huyajui na laiti ungekuwa haya mavi usingekunya hapa
 
unaemtaja ni miongni mwa makamanda waandamizi shupavu, jasiri na alietayari kujitolea kwa hali na mali kulinda umoja, amani na Utulivu wa waTanzania dhidi ya magenge ya kihalifu maeneo mbalimbali...

daima atakumbukwa kwa weledi na umahiri wake mkubwa katika kuzima, kudhibiti, kudhoofisha na kuyasambatatisha magenge ya kihalifu nchini, historia ya Tanzania itamkumbuka 🐒
Jambazi aliyevalishwa nguo za polisi na kupandishwa vyeo kulinda waporaji ni fedheha kwa Taifa! Siasa ni hoja na siyo viroja kama ambavyo CCM na Samia wanatuonyesha!
 
Jambazi aliyevalishwa nguo za polisi na kupandishwa vyeo kulinda waporaji ni fedheha kwa Taifa! Siasa ni hoja na siyo viroja kama ambavyo CCM na Samia wanatuonyesha!
magenge ya kihalifu pia walikua na sare maalumu na ilisadia na kurahisisha sana kwa vyombo imara vya ulinzi na usalama kuyatambua na kuyadhibiti, kuyadhoofisha na kuyasambatatisha kabisa, na kurejesha hali ya amani na Utulivu eneo husika kwa haraka, na kuondoa taharuki kwa wanainchi 🐒

siasa isitumike vibaya na kuleta taharuki na kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wanainchi katika maeneo yao 🐒
 
Jambazi raia akikamatwa hufunguliwa mashtaka ya jinai akiachiwa huru fahamu mamlaka iliyomkamata ndiyo jambazi mwenyewe! Wananchi tumewafahamu majambazi ambao wanaongozwa na jambazi Awadhi Haji!
 
Jambazi raia akikamatwa hufunguliwa mashtaka ya jinai akiachiwa huru fahamu mamlaka iliyomkamata ndiyo jambazi mwenyewe! Wananchi tumewafahamu majambazi ambao wanaongozwa na jambazi Awadhi Haji!
kiusalama,
muhalifu kaidi ni sharti adhoofishwe kwanza, adhubitiwe ndipo sasa hatua nyingine kama ambavyo umeeleza zinaweza kufuata...

inafanyika hivyo ili kunusuru kutokea taharuki, uharibifu na pengine maafa yasisababishwe na mtuhumiwa kaidi na pengine aliejizatiti kuleta fujo 🐒
 
Back
Top Bottom