Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okee okeeMpaka October, 2025 tutaona na kusikia mengi, Mungu atujalie uhai na afya njema, naanza kukusanya maindi ya popcorn, nimekaa pale na balimi yangu baridi
Kilichothibitika ni kuwa mapolisi chini ya Kamishina Awadhi Haji ndiyo genge la wahalifu!Relax,
uhalifu na mipango mikakati ya kihalifu kwa mgongo wa kufanya siasa au mikutano ya hadhara inayohatarisha umoja amani na utulivu wa wananchi havitavumiliwa hata sekunde moja...
magenge ya kihalifu yatadhoofishwa, yatadhibitiwa, yatasambaratishwa na kwakweli yatatokomezwa kabisa bila kuzingatia maoni ya wahalifu wenyewe 🐒
WEWE ni mwendawazimuRelax,
uhalifu na mipango mikakati ya kihalifu kwa mgongo wa kufanya siasa au mikutano ya hadhara inayohatarisha umoja amani na utulivu wa wananchi havitavumiliwa hata sekunde moja...
magenge ya kihalifu yatadhoofishwa, yatadhibitiwa, yatasambaratishwa na kwakweli yatatokomezwa kabisa bila kuzingatia maoni ya wahalifu wenyewe 🐒
maoni na mitazamo ya wahalifu ikionekana ndio haki, basi ni uhuru wa mtu moja moja kuafikiana au kutokuafikiana nao..Kilichothibitika ni kuwa mapolisi chini ya Kamishina Awadhi Haji ndiyo genge la wahalifu!
mtimamu unaishia kupata mihemko, ghadhabu na makasiriko tu, baada ya kuona ukweli umeelezwa bayana bila mbambamba yoyote, right?🐒WEWE ni mwendawazimu
Siasa gan wanaotekwa ni wa upande mmoja? Leo mwenzenu anapisha mawaziri ikulu anaona aibu.Relax,
uhalifu na mipango mikakati ya kihalifu kwa mgongo wa kufanya siasa au mikutano ya hadhara inayohatarisha umoja amani na utulivu wa wananchi havitavumiliwa hata sekunde moja...
magenge ya kihalifu yatadhoofishwa, yatadhibitiwa, yatasambaratishwa na kwakweli yatatokomezwa kabisa bila kuzingatia maoni ya wahalifu wenyewe 🐒
Jeshi ambalo halina weledi hutoa vitisho bila kuzingatia sheria na kanuni na linapofanya ukamataji hutumia nguvu na kujeruhi! Jeshi la namna hii ni genge la wahalifu lililiwekwa kisheria kwa lengo la kulinda maslahi ya watawala dhaifu, wasio na dira na kupora rasilimali za nchi!maoni na mitazamo ya wahalifu yakionekana ndio haki, basi ni uhuru wa mtu moja moja kuafikiana au kutokubaliana nao..
but ukweli ni kwamba,
jeshi dhaifu pekee ndio husubiri uharibifu na pengine maafa yatokee ndio lichukue hatua, mathalani Rwanda 1994...
Lakini kwa Jeshi imara, makini na la kisasa kama la police Tanzania, halipuuzii viashiria vya kuhatarisha umoja, amani na utulivu ya wanainchi..
Linachukua hatua kali sana za kujeshi kwa mujibu wa sheria, kulingana na resistance, kiburi au ukaidi wa magenge ya wahalifu ulivyo...
lililo muhimu zaidi,
ni umoja, amani na utulivu wa waTanzania,
maoni na mitazamo tofauti iwe tu ni fursa ya kurekebisha kasoro na dosari katika utekelezaji wa kuyadhoofisha, kuyadhibiti, kuyasambaratisha na kuyatokomeza magenge ya kihalifu yanayojificha nyuma ya siasa bila huruma 🐒
utekaji ni dhana tu inayokuzwa na wazandiki lakini haikui nchini,Siasa gan wanaotekwa ni wa upande mmoja? Leo mwenzenu anapisha mawaziri ikulu anaona aibu.
Tume kuwa tuki jiuliza juu ya kutekwa na kupotea kwa ndugu zetu watanzania kwa ombwe kubwa, lawama zilipelekwa kwa polisi na vyombo vingine vya usalama huku polisi kumpitia IGP na waziri Masauni wakitoka hadharani na kukanusha, ili fika mahali hadi Mh Rais aka wajibu Watanzania kwa vijembe kwamba wana jiteka wenyewe.
Kwa hili la juzi Mbeya, watu kukamatwa na polisi, badala ya kupelekwa mahali walipo kamatwa wana pelekwa Iringa, Njombe, Dar, Mwanza huu sii utekaji? Hawa si ndio wanao fanya mambo ya wasio julikana? Kwanini watuhumiwa wasafirishwe usiku bila kjpewa taarifa au hata ndugu na marafiki kujulishwa?
Polisi watoke hadharani wajibu hizi shutuma. Tuna hitaji utawala wa sheria na sio utawala wa kimabavu..
Huyu Askari Polisi anayeitwa Awadh sometimes mnamlaumu bure tu, ukichunguza kwa umakini Sana kiini Cha taabu na misukosuko yote hiyo utagundua kwamba kwa sababu Katiba tuliyonayo ni mbovu, haifai hata kidogo. Katiba ya nchi iliyopo inawapa mamlaka Jeshi la Polisi kufanya hayo wanayofanya, tena inawapa kinga ili wasiweze kuwajibishwa mahali popote kwa huo Uhalifu wanaofanya.Jeshi ambalo halina weledi hutoa vitisho bila kuzingatia sheria na kanuni na linapofanya ukamataji hutumia nguvu na kujeruhi! Jeshi la namna hii ni genge la wahalifu lililiwekwa kisheria kwa lengo la kulinda maslahi ya watawala dhaifu, wasio na dira na kupora rasilimali za nchi!
Jeshi la police la kisasa kama la Tanzania, daima hutumia kiasi kidogo sana cha nguvu, tena kwa weledi sana dhidi ya wahalifu, kulingana resistance, kiburi au ukaidi wa wahalifu wanao kaidi onyo, katazo au ilani za kiusalama zinazowaamrisha kutekeleza malekezo au amri Fulani kwa vitendo 🐒Jeshi ambalo halina weledi hutoa vitisho bila kuzingatia sheria na kanuni na linapofanya ukamataji hutumia nguvu na kujeruhi! Jeshi la namna hii ni genge la wahalifu lililiwekwa kisheria kwa lengo la kulinda maslahi ya watawala dhaifu, wasio na dira na kupora rasilimali za nchi!
Jeshi lililo na jambazi Awadhi Haji?Jeshi la police la kisasa kama la Tanzania, daima hutumia kiasi kidogo sana cha nguvu, tena kwa weledi sana dhidi ya wahalifu, kulingana resistance, kiburi au ukaidi wa wahalifu wanao kaidi onyo, katazo au ilani za kiusalama zinazowaamrisha kutekeleza malekezo au amri Fulani kwa vitendo 🐒
tii sheria bila shuruti, hakuna mtu atakugusa na utaishi kwa amani sana, vinginevyo utapata tabu sana 🐒
Hivi yule Kijana mfanyabiashara wa Madini aliyeporwa fedha zake na kisha kuuawa na Askari Polisi kule Mtwara alikaidi kutii Sheria gani???? Vipi kuhusu suala la Hamza Mohammed wa mauaji ya Selander Bridge kule Dsm ambaye naye aliporwa madini yake na Maaskari Polisi, naye alikaidi kutii Sheria gani??Jeshi la police la kisasa kama la Tanzania, daima hutumia kiasi kidogo sana cha nguvu, tena kwa weledi sana dhidi ya wahalifu, kulingana resistance, kiburi au ukaidi wa wahalifu wanao kaidi onyo, katazo au ilani za kiusalama zinazowaamrisha kutekeleza malekezo au amri Fulani kwa vitendo 🐒
tii sheria bila shuruti, hakuna mtu atakugusa na utaishi kwa amani sana, vinginevyo utapata tabu sana 🐒
Mnanikumbusha mbinu za midaniTangu zamani polisi wanafahamika kwa utekaji, kubambikia kesi na mauaji ya raia? Kilichoongezeka sasa Kamanda wa utekaji amefahamika kuwa ni Kamishina Awadhi Haji!
unaemtaja ni miongni mwa makamanda waandamizi shupavu, jasiri na alietayari kujitolea kwa hali na mali kulinda umoja, amani na Utulivu wa waTanzania dhidi ya magenge ya kihalifu maeneo mbalimbali...Jeshi lililo na jambazi Awadhi Haji?