Pre GE2025 John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpaka October, 2025 tutaona na kusikia mengi, Mungu atujalie uhai na afya njema, naanza kukusanya mahindi ya popcorn, nimekaa pale na balimi yangu baridi
 
Tangu zamani polisi wanafahamika kwa utekaji, kubambikia kesi na mauaji ya raia? Kilichoongezeka sasa Kamanda wa utekaji amefahamika kuwa ni Kamishina Awadhi Haji!
 
Kazi walizopewa Polisi na Katiba yetu wameziacha na kuanza kiteka raia?!

Dereva simama nishuke.
 
Relax,
uhalifu na mipango mikakati ya kihalifu kwa mgongo wa kufanya siasa au mikutano ya hadhara inayohatarisha umoja amani na utulivu wa wananchi havitavumiliwa hata sekunde moja...

magenge ya kihalifu yatadhoofishwa, yatadhibitiwa, yatasambaratishwa na kwakweli yatatokomezwa kabisa bila kuzingatia maoni ya wahalifu wenyewe 🐒
Kilichothibitika ni kuwa mapolisi chini ya Kamishina Awadhi Haji ndiyo genge la wahalifu!
 
WEWE ni mwendawazimu
 
Kilichothibitika ni kuwa mapolisi chini ya Kamishina Awadhi Haji ndiyo genge la wahalifu!
maoni na mitazamo ya wahalifu ikionekana ndio haki, basi ni uhuru wa mtu moja moja kuafikiana au kutokuafikiana nao..

but ukweli ni kwamba,
jeshi dhaifu pekee ndio husubiri uharibifu na pengine maafa yatokee ndio lichukue hatua, mathalani Rwanda 1994...

Lakini kwa Jeshi imara, makini na la kisasa kama la police Tanzania, halipuuzii viashiria vya kuhatarisha umoja, amani na utulivu ya wanainchi..

Linachukua hatua kali sana za kujeshi kwa mujibu wa sheria, kulingana na resistance, kiburi au ukaidi wa magenge ya wahalifu ulivyo...

lililo muhimu zaidi,
ni umoja, amani na utulivu wa waTanzania,

maoni na mitazamo tofauti iwe tu ni fursa ya kurekebisha kasoro na dosari katika utekelezaji wa kuyadhoofisha, kuyadhibiti, kuyasambaratisha na kuyatokomeza magenge ya kihalifu yanayojificha nyuma ya siasa bila huruma 🐒
 
Relax,
uhalifu na mipango mikakati ya kihalifu kwa mgongo wa kufanya siasa au mikutano ya hadhara inayohatarisha umoja amani na utulivu wa wananchi havitavumiliwa hata sekunde moja...

magenge ya kihalifu yatadhoofishwa, yatadhibitiwa, yatasambaratishwa na kwakweli yatatokomezwa kabisa bila kuzingatia maoni ya wahalifu wenyewe 🐒
Siasa gan wanaotekwa ni wa upande mmoja? Leo mwenzenu anapisha mawaziri ikulu anaona aibu.
 
maoni na mitazamo ya wahalifu yakionekana ndio haki, basi ni uhuru wa mtu moja moja kuafikiana au kutokubaliana nao..

but ukweli ni kwamba,
jeshi dhaifu pekee ndio husubiri uharibifu na pengine maafa yatokee ndio lichukue hatua, mathalani Rwanda 1994...

Lakini kwa Jeshi imara, makini na la kisasa kama la police Tanzania, halipuuzii viashiria vya kuhatarisha umoja, amani na utulivu ya wanainchi..

Linachukua hatua kali sana za kujeshi kwa mujibu wa sheria, kulingana na resistance, kiburi au ukaidi wa magenge ya wahalifu ulivyo...

lililo muhimu zaidi,
ni umoja, amani na utulivu wa waTanzania,

maoni na mitazamo tofauti iwe tu ni fursa ya kurekebisha kasoro na dosari katika utekelezaji wa kuyadhoofisha, kuyadhibiti, kuyasambaratisha na kuyatokomeza magenge ya kihalifu yanayojificha nyuma ya siasa bila huruma 🐒
Jeshi ambalo halina weledi hutoa vitisho bila kuzingatia sheria na kanuni na linapofanya ukamataji hutumia nguvu na kujeruhi! Jeshi la namna hii ni genge la wahalifu lililiwekwa kisheria kwa lengo la kulinda maslahi ya watawala dhaifu, wasio na dira na kupora rasilimali za nchi!
 
Siasa gan wanaotekwa ni wa upande mmoja? Leo mwenzenu anapisha mawaziri ikulu anaona aibu.
utekaji ni dhana tu inayokuzwa na wazandiki lakini haikui nchini,

ni kama ambavyo tu, kila chama cha siasa kinavyotumia ushawishi wake kwa wananchi na kuwavutia wengi zaidi wakiunge mkono, ndivyo ambavyo dhana ya utekaji inavyokuzwa na wasio na ushawishi wa kisera kupaka matope wenye ushawishi na wanaoungwa mkono na wengi waonekane wabaya kitu ambacho kimegonga mwamba miaka nenda miaka rudi 🐒

ni vema ikafahamika,
whether utekaji utahubiriwa kwa namna gani, but uhalifu wa magenge ya kihalifu nyuma ya harakati za kisiasa hautavumiliwa hata sekunde moja hata mtu akiwa na shida ya kiafya ilimradi tu anahatarisha umoja, amani na utulivu wa wanainchi, atashughulikiwa 🐒
 
Tume kuwa tuki jiuliza juu ya kutekwa na kupotea kwa ndugu zetu watanzania kwa ombwe kubwa, lawama zilipelekwa kwa polisi na vyombo vingine vya usalama huku polisi kumpitia IGP na waziri Masauni wakitoka hadharani na kukanusha, ili fika mahali hadi Mh Rais aka wajibu Watanzania kwa vijembe kwamba wana jiteka wenyewe.
Kwa hili la juzi Mbeya, watu kukamatwa na polisi, badala ya kupelekwa mahali walipo kamatwa wana pelekwa Iringa, Njombe, Dar, Mwanza huu sii utekaji? Hawa si ndio wanao fanya mambo ya wasio julikana? Kwanini watuhumiwa wasafirishwe usiku bila kjpewa taarifa au hata ndugu na marafiki kujulishwa?
Polisi watoke hadharani wajibu hizi shutuma. Tuna hitaji utawala wa sheria na sio utawala wa kimabavu..
Jeshi ambalo halina weledi hutoa vitisho bila kuzingatia sheria na kanuni na linapofanya ukamataji hutumia nguvu na kujeruhi! Jeshi la namna hii ni genge la wahalifu lililiwekwa kisheria kwa lengo la kulinda maslahi ya watawala dhaifu, wasio na dira na kupora rasilimali za nchi!
Huyu Askari Polisi anayeitwa Awadh sometimes mnamlaumu bure tu, ukichunguza kwa umakini Sana kiini Cha taabu na misukosuko yote hiyo utagundua kwamba kwa sababu Katiba tuliyonayo ni mbovu, haifai hata kidogo. Katiba ya nchi iliyopo inawapa mamlaka Jeshi la Polisi kufanya hayo wanayofanya, tena inawapa kinga ili wasiweze kuwajibishwa mahali popote kwa huo Uhalifu wanaofanya.

Mimi nadhani suluhisho sahihi kwa hizi vurugu zote kabisa zilizopo ni "kupigana kufa na kupona" ili ipatikane Katiba Mpya iliyo nzuri ambayo itakomesha Mambo haya.
 
Jeshi ambalo halina weledi hutoa vitisho bila kuzingatia sheria na kanuni na linapofanya ukamataji hutumia nguvu na kujeruhi! Jeshi la namna hii ni genge la wahalifu lililiwekwa kisheria kwa lengo la kulinda maslahi ya watawala dhaifu, wasio na dira na kupora rasilimali za nchi!
Jeshi la police la kisasa kama la Tanzania, daima hutumia kiasi kidogo sana cha nguvu, tena kwa weledi sana dhidi ya wahalifu, kulingana resistance, kiburi au ukaidi wa wahalifu wanao kaidi onyo, katazo au ilani za kiusalama zinazowaamrisha kutekeleza malekezo au amri Fulani kwa vitendo 🐒

tii sheria bila shuruti, hakuna mtu atakugusa na utaishi kwa amani sana, vinginevyo utapata tabu sana 🐒
 
Hilo halihitaji hata D mbili kung'amua
 
Jeshi lililo na jambazi Awadhi Haji?
 
Hivi yule Kijana mfanyabiashara wa Madini aliyeporwa fedha zake na kisha kuuawa na Askari Polisi kule Mtwara alikaidi kutii Sheria gani???? Vipi kuhusu suala la Hamza Mohammed wa mauaji ya Selander Bridge kule Dsm ambaye naye aliporwa madini yake na Maaskari Polisi, naye alikaidi kutii Sheria gani??
 
Jeshi lililo na jambazi Awadhi Haji?
unaemtaja ni miongni mwa makamanda waandamizi shupavu, jasiri na alietayari kujitolea kwa hali na mali kulinda umoja, amani na Utulivu wa waTanzania dhidi ya magenge ya kihalifu maeneo mbalimbali...

daima atakumbukwa kwa weledi na umahiri wake mkubwa katika kuzima, kudhibiti, kudhoofisha na kuyasambatatisha magenge ya kihalifu nchini, historia ya Tanzania itamkumbuka 🐒
 
Back
Top Bottom