Pre GE2025 John Mrema: Wanataka kunifukuza uanachama. Wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna baadhi walivuka mpaka na kufanya mambo ya ajabu sana. Kuna bwege mmoja anaitwa Assenga, yaani alikuwa kama kichaa. Ni wale wachaga wenye kalba kama za wahuni wa stendi. Ila nakuunga mkono kuwa wasifukuze labda iwe lazima sana. Wawaache tu, wenyewe wanaweza kujifukuza wenyewe, iwapo hawana madhara.
 
Tatizo kubwa ni rushwa. Na TL aliahidi na kujitanaibisha mapema kabisa kuwa akichukua uongozi atasafisha chama. Jaribu kufikiria kama yeye alikuwa mkuu wa nidhamu ndani ya chama je mangapi anayajua?
 
econonist G Sam OKW BOBAN SUNZU Bams msiwafukuze kina Fundi Mchundo Retired FUSO Ngongo Stuxnet Chadema sio poa kabisa...
 
Kama umefanya makosa yanyostahili ufukuzwe acha wakufukuze chama siyo cha babaako.
 
Ila wanampenda sana... mpaka muda huu wa saa 12 jioni bado yupo tu... yaani bado tu ni mwanachama wa Chadema???? Daah hakika Lissu hana kisasi
Kwani amemkosea Nini lissu mpaka atake kumfuta uanachama? Mbona sikuwahi kumsikia kwenye kampein akimsema vibaya lissu??

Kimsingi uchaguzi ushakwisha sasa ni muda wa kujenga chama, haya mambo ya kutishiana tishiana sio kabisa( kama ni kweli). Vinginevyo huyo jamaa anatafuta kiki ya kuondokea asipewe hiyo frusa
 
Alete ushahidi.
 
Mbona Mbowe alitangaza kuwa angewafukuza wapambe wa Lissu kama angeshinda!! Sasa nyie chawa wa Mbowe mtulie mnapotaka kunyolewa! Kuna Mrema na mwingine Sijui Kigaigai Hawa lazima wapishe wala rushwa; ndio waliokula hela za Samia pamoja na Mbowe. Huo ni mtaji tosha wakaanzishe biashara.
 
John MREMA alikuwa ni muumini saana wa UKANDA, TAL, ondoa huyu jamaa mara moja na kuna yule Asenga wa TABATA Nae yukokundi moja na huyu MREMA.
Hiyo ni chaga gang, walifikiri chadema ni mali yao sasa hawaamini macho yao. Walifikiri ni km Precision Air au IPPMedia
 
Kwani Mrema anachukuliwa hatua kwa ajili ya Freedom of Speech au fedha za Abdul? Hujui hawa ndo wamekula fedha za Abdul kwa nia ya kuiangamiza Chadema?
Ni kweli kuna tuhuma za RUSHWA lakini sio kumzuia Mwanachama yeyote kuzungumza au kutoa maoni yake.
 
Huyu Choko kweli.

Waliona sawa kumfanyia figisu Mchungaji.

Njia waliyopanda miba wanatakiwa kupita sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…