TANZIA John Nyerere afariki dunia

TANZIA John Nyerere afariki dunia

poleni sana. hivi Yeriko nyerere ni mtoto wa nani kati ya hao nyerere jamani?

mkuu umenisaidia kuuliza hivi hawa wakina nyerere hapa jf wana uhusiano na familia ya baba wa taifa? Mungu akulaze mahala pema mzee John nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana familia ya NYERERE kwa kumpoteza ndugu yenu.

RIP JJ Nyerere
 
Poleni wafiwa. nadhani ni huyo katikati kwenye picha.

wajukuu.jpg

mmmh rip
 
Swali ni je kanisa katoriki litakubali kumzika sababu alikuwa akisali pale riverside kwa father Nkwera ambaye kanisa katoliki halitaki hata kumsikia.
But may his soul rest in peace.

kwan faza nkwera yeye haziki waumini wake
 
Poleni sana yericko nyerere pamoja na familia nzima
Yericko Nyerere hana uhusiano wowote na Familia ya Mwalimu Nyerere.
Hawa ni WAZANAKI na Huyo Yericko ni MUHEHE.
Huyu Yericko ni Msanii tu. Hana llt.
 
Last edited by a moderator:
Poleni na msiba, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
 
mhuuuuu......... Yericko Nyerere pole sana

Andrew Nyerere na Yericko Nyerere: Poleni sana familia ya Nyerere kwa msiba huu.
Kapteni John Nyerere atakumbukuwa sana na wana anga wa jeshi kutokana na umahiri wake wa kumudu ndege za kivita wakati wa ujana wake.

kwahiyo yeriko sio ndugu wa akina nyerere?

Wadau hivi tuseme mara ngapi kuwa huyu mtoto wa Kihehe HANA uhusiano na Mwalimu Nyerere?
Yaani kawatapeli kijinga na nyie mnaingia wazima!
Mjini kubaya sana. Huyu Yerico ni MUHEHE wale wenye tabia za kula wale wanyama wanaokatiza brbrni kila mara.
Na Familia ya Mwalimu Nyerere ni Wazanaki wa Butiama.

Yaani ni sawa na Kusema Mzito Kabwela ni ndugu yake na Slaa wakati Slaa Mchaga na huyu mzito ni Muhaya.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom